Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

Huyu Uhuru Mungiki haki akapekwa ICC leo ndio mungu wa lissu na Chadema?
 
Jifunze kuandika kwa vituo na paragraph ndio ujibu hoja yangu. Tatizo mnatoka kuchunga mbuzi halafu ukiuza mbuzi wa ukoo unanunua techno then unakuja kujibizana na watu usiowajua.
Hiyo sasa ni mada nyingine. Mimi sitajiingiza huko. Kama mnakosa arguments basi msipende kushindana na watu wengine walio bahatika. Subiri mda wako nawe utabahatika. Upeo wako wa kuona ni Jiji la DSM na Bahari ya Hndi. Sidhani hata kama umesha wahi panda Dreamliner ambayo Hayati Magufuli kakurahihishia kuiona.
 
Mm mwenyewe n mnyonge sijawah pata huo unaouuita msaada wakati n KODI Kama angekuwa hai tungemuuliza papaaa Magufuli Kama zile pesa n zake binafs au za watanzania ?
Haina haja. Jibu nafikiri unalo mwenyewe. Ni hela za umma. Za walipa kodi kama wewe.
 
Mm mwenyewe n mnyonge sijawah pata huo unaouuita msaada wakati n KODI Kama angekuwa hai tungemuuliza papaaa Magufuli Kama zile pesa n zake binafs au za watanzania ?
Eti papaa Magufuli πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ na ndio ilimfaa aitwe hivyo maana alikuwa bwana tupatupa.
 
Mm mwenyewe n mnyonge sijawah pata huo unaouuita msaada wakati n KODI Kama angekuwa hai tungemuuliza papaaa Magufuli Kama zile pesa n zake binafs au za watanzania ?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Haina haja. Zile zilikuwa pesa za umma na Magufuli kazigawa kwa watanzania. Hakijaharibika kitu.
 
Jifunze kuandika kwa vituo na paragraph ndio ujibu hoja yangu. Tatizo mnatoka kuchunga mbuzi halafu ukiuza mbuzi wa ukoo unanunua techno then unakuja kujibizana na watu usiowajua.
Sikujua kama hizo ndiyo conditions za kutoa mada au kuchangia hoja humu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…