Anza wewe na familia yako kuingia mitaani. Au Waite BBC na media yoyote ya Kenya watatangaza everything you vomit, they will never ask for evidence. Talk, talk, talk.Kenya mmekomaa kisiasa. Sisi pia inabidi tuingie mtaani ndo viongozi watapata akili. Ila siku itafika tu ambayo wananchi wengi watasema sasa yatosha kuvumilia. Wenyewe wataingia mtaani.
Tumenyooshwa, jee tunajifundisha nini na matokeo haya?
Jamaa wametumia kanuni ya kushambulia kisiasa: " piga adui yako kisiasa kwenye chaguzi mpaka achakae kabisa na asiweze kurudusha mashambulizi kabisa, na ikitokea amejikusanya na kuweza kujibu mashambulizi, basi yawe hafifu mno kiasi ambacho huwezi kuumia. Lakini mpinzani wako umuachie makovu ambayo kuyarekebisha lazima yamuuwe".
Unapendeza tufanye nini katika hii hali mpya kisiasa? Michango ya mawazo ni lazima katika hali kama hii kisiasa.Kuna ukawaida gani, au unalazimisha ionekane ni kawaida? Tumekuwa tukisema tatizo la siasa za nchi yetu ni Magu, na watu wanakaa kimya kulinda uhai wao. Leo hii mpaka Kenya wanatuchora, tena wanatuchora ndani ya vyombo vyao rasmi vya kimamlaka.
Si KenyaKuna ukawaida gani, au unalazimisha ionekane ni kawaida? Tumekuwa tukisema tatizo la siasa za nchi yetu ni Magu, na watu wanakaa kimya kulinda uhai wao. Leo hii mpaka Kenya wanatuchora, tena wanatuchora ndani ya vyombo vyao rasmi vya kimamlaka.
This is our image world wideYaani Kenyatta aliposikia matokeo ya Tanzania nadhani alikuwa anacheka mpaka anachanganyikiwa, haamini kuwa bado kuna nchi zinaweza kuendesha chaguzi zao ili kukidhi utashi wa kiongozi aliyeko madarakani. Amejiridhisha pasi na shaka kuwa bado watanzania wengi ni maiti, ila hao wachache waliokimbia mortuary atawapokea.
Wenzio wa Kawe tupo hapa kwenye foleni Ubungo Maji kwenye kanisa la ufufuo na uzima kuchukua nauli na masurufu ya safari yetu ya Birmingham dadeki!!Namalizia Pepsi yangu nianze kufikiria kwenda Kenya.
Kwa hiyo unataka kutuambiaje hapa?Kenya hawana siasa zaidi ya ukabila na 2022 watauana. mark my words.
Hawana moral authority ya kuingilia siasa zetu.Kwa hiyo unataka kutuambiaje hapa?
Kenya wameshajitambua sana, pia wana kiongozi mzuri sanaSiasa zetu zemekua za kishamba sana, kura zilizoandaliwa kwaajili ya watu fulani zinapenyezwa kwenye sanduku la kura na tukihoji tunapewa kibano na vyombo vya dola.
Aliona aibu kuhalalisha dhuluma.Kumbe ndio maana hakuja kwenye lile igizo la kumuapisha akawaachia wasanii wengine kina Museveni.
Jamaa ana uelewa wa juu sana hasa linapokuja suala la mahusiano kati ya wanasiasa, amepevuka sana kidiplomasia, kagonga pale pale hajataka unafiki.
Haya yanayotokea hapa kwetu atakuwa anayaona mambo ya kishamba sana, kutofutiana itikadi ndio unamuona mwenzio adui, mpaka anakimbia nchi aliyozaliwa upo kimya husemi chochote?!
Kwa jinsi Watanzania tulivyo, labda wajukuu wako ndiyo watachoka na kuingia barabarani.Kenya mmekomaa kisiasa. Sisi pia inabidi tuingie mtaani ndo viongozi watapata akili. Ila siku itafika tu ambayo wananchi wengi watasema sasa yatosha kuvumilia. Wenyewe wataingia mtaani.
Subiri pigo la Jumuia ya Madola ( UN), EU na USA... nao useme the same!!Hawana moral authority ya kuingilia siasa zetu.
Wahi Kenya unangojea nini sasa? Watu mliokosa uzalendo ni tatizo kubwa sana kwa nchi yetu.you are very Uhuru, ni hatari nchi kuongozwa na mtu aliyekulia kwenye mazingira ya ufukara na uchawi