Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamia Kenya mkuu! Hii ni nchi huru! Mbelgiji wenu ndio huyo kasepa. Nendeni na washabiki wake mkakae Kenya.Kumbe ndio maana hakuja kwenye lile igizo la kumuapisha akawaachia wasanii wengine kina Museveni.
Jamaa ana uelewa wa juu sana hasa linapokuja suala la mahusiano kati ya wanasiasa, amepevuka sana kidiplomasia, kagonga pale pale hajataka unafiki.
Haya yanayotokea hapa kwetu atakuwa anayaona mambo ya kishamba sana, kutofutiana itikadi ndio unamuona mwenzio adui, mpaka anakimbia nchi aliyozaliwa upo kimya husemi chochote?!
Sasa hivi tunavumilia mwaka 2028 wenyewe tutaingia barabarani pale Magufuli atakuwa anamalizia muhula wa tatu kuingia wa nne. Hatutahitaji kina Mbowe wala Zitto.Wenyewe tutatoka.Anza wewe na familia yako kuingia mitaani. Au Waite BBC na media yoyote ya Kenya watatangaza everything you vomit, they will never ask for evidence....talk, talk, talk.
Shangaa mkuu, Uhuru na Makamo wake wametimuana juzi alafu leo eti anasema nini.Kwambaaa ule ukabila wao umeisha? Si wana chinjana wao kwa wao wale
Hajui hata anaogoza niniSisi tunaongozwa na Zinjanthropus na ametuganda kama luba, yuko tayari kuua ili abaki madarakani.
Duuuh,upekee wetu ni huu mpinzani kuwa adui na kuwindwa kama swala!Siasa zetu ni za kiubaguzi kwamba watu wakichagua upinzani hakuna kupeleka maendeleo!Siasa za Kenya huwezi fananisha na Tanzania.
Kila mtu anasiasa zake peke yake.
Babu Seif kachoka .Acha tu aombe makubaliano.Hana tena Energy. Acha amalizie uzee wake kwa amani na furaha moyoni mwake.Soon ataanza kuvaa pempers kachoka sana Babu Seif.Kwa jinsi Watanzania tulivyo, labda wajukuu wako ndiyo watachoka na kuingia barabarani.
Nilikuwa nafikiri Wazanzibar wanacourage kumbe nao ni bure kabisa sawa na sisi wa bara. Yaani uhuni uliofanyika safari hii katika dunia hii ni Watanzania tu ndiyo tunaweza kuvumilia na kuendelea na maisha yetu kama vile hakuna kilichotokea.
sindano imeingia kwenye moyo,Hongera kenyataAwapokee tu na kazi awape kabisa.
Uhuru kaongea ukweli, fanyieni kazi maneno hayo ya busara!Siasa sio uadui wa kutoana roho!Shangaa mkuu, Uhuru na Makamo wake wametimuana juzi alafu leo eti anasema nini
Walishavuka huko na ndio maana wakiona watu wanataka kwenda huko wanawapa tahadhari![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni nchi gani jirani na Kenya iliwahi kuwa na machafuko ya kisiasa watu 1500 wakauawa?
Ni Kenya pekee ambapo zaidi ya watu 1500 waliuawa kisa siasa.
Vipi ameongelea pia yale mauaji ya watu 1500 yaliyosababishwa na yeye ile 2007?Uhuru kaongea ukweli,fanyieni kazi maneno hayo ya busara!Siasa sio uadui wa kutoana roho!
Nani kawindwa?Walishavuka huko na ndio maana wakiona watu wanataka kwenda huko wanawapa tahadhari!
Siasa sio uadui mpaka kuwindana kama swala amavyowindwa na simba!
Akifanya hivyo utakuwa ni ubinafsi.Babu Seif kachoka .Acha tu aombe makubaliano.Hana tena Energy. Acha amalizie uzee wake kwa amani na furaha moyoni mwake.Soon ataanza kuvaa pempers kachoka sana Babu Seif.
Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa Nyerere ambaye alivunjavunja ukabila na kufanya taifa liwe moja!Kwa watawaKenya hawana siasa zaidi ya ukabila na 2022 watauana. mark my words.
Tume huru itakuja siku tukichapana kwanza na dola. Kama ilivyokuwa Kenya. As far as kuna amani tume huru tusahau. Nyerere alikosea sana kutuacha bila katiba mpya.Akifanya hivyo utakuwa ni ubinafsi.
Kama wanapewa maridhiano basi watumie nafasi hiyo kuhakikisha kuwa CCM wanakubaliana na masharti yao ambayo mojawapo na muhimu liwe la kuunda tume mpya huru ya uchaguzi.
Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa Nyerere ambaye alivunjavunja ukabila na kufanya taifa liwe moja! Kwa watawala tulionao sasa nchi hii isingekuwa na msingi imara aliouacha nyerere, nchi ingekuwa vipande vipande kwa chuki inayosambaa kwa kasi!Kenya hawana siasa zaidi ya ukabila na 2022 watauana. mark my words.
Ruksa kwa Lema, nyalandu na wengine waende kupata hifadhi.
Kenya Inchi ya Amani, Wanasiasa wa Kenya Wanajua Siasa, sio huku Tanzania Inchi ya Kuuwana na kutiana vilema tu.