misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Ukabila na siasa za kimaeneo ndio jambo zuri kwa muskabali wa ustawi wa wakenya?Kenya katika swala la Ukabila na siasa za kimaeneo, lakini vila kupepesa macho, ndio nchi katika ukandaa wetu yenye demokrasia halisi ya uhuru wa mawazo ya watu, uhuru wa vyombo vya habari na uhuru mpana katika vyombo vyao vya kutoa haki yani MAHAKAMA!
Huijui Kenya, baki kusifia kitu ambacho ukijui ila jaribu kufanya utafiti juu ya mambo ya Kenya,Tanzania itabaki kuwa bora katika nchi za Afrika mashariki na kwa afrika kiujumla.