Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

Uhuru Kenyatta. Very Gentleman presiden!
Ukikua unaona babako ana mamlaka hata na wewe ukiyapata huwezi kuwa mshamba nayo!! JK the same babake alikuwa DC wakati wa ukoloni.. Uhuru babake alikuwa Rais wa Kenya. Ondinga babake alikuwa Makamu wa Rais.

Sisi sasa hiii. Ni balaa !!
 
Nchi inayosumbuliwa na kitu kidogo tu kinaitwa ukabila Leo hii nayo inajimwambafy??
 
Mwambie huyo kidampa wa wazungu wakenya wangapi wamekimbia nchi na kwenda ughaibuni? Pili mwuulize nchi yake ina madeni kiasi gani? Tatu mwuulize kwa nini kwenye nchi yake kuna taasis nyingi za kikoloni ambazo zinawafanya wakenya walemae? Na yeye kama rais akiwa mstari wa mbele kuwa mnafiki? Nne na mwisho mwuulize hizo siasa zao za BBI zinamsaidia nani au tuseme ziko kwa manufaa ya nani?

Hii miaka mitano aliyo pewa Magufuli itatutosha kuwaonyesha wakenya nana ana mfumo mzuri wa kisiasa ambao unawanufaisha wananchi wake. Tanzania itakuwa Paradize. Uwezo wa kufikia huko tunao na nia ya kufikia huko tunayo pia. Wakenya na mabeberu wao watuache sisi wenyewe tufanye mambo yetu tunavyo taka. Hatutaki kuambiwa na mtu mwingine nini cha kufanya. Sisi ni wanaume ambao wengi wetu ni rijali na tumetairiwa. Hatubabaishwi na ukoloni mambo leo.
 
Huyo ni beberu mkuu wa kenya atulie dawa inamuingia.watanzania tuwe wazalenzo rais wetu JPM
 
Siasa zetu zemekua za kishamba sana, kura zilizoandaliwa kwaajili ya watu fulani zinapenyezwa kwenye sanduku la kura na tukihoji tunapewa kibano na vyombo vya dola.
Yan siasa za kishamba sn kutaka kuingiza watoto wa wenzetu brbrn huku wetu wakiwa Ulaya wanasoma.
 
Yaani Kenyatta aliposikia matokeo ya Tanzania nadhani alikuwa anacheka mpaka anachanganyikiwa, haamini kuwa bado kuna nchi zinaweza kuendesha chaguzi zao ili kukidhi utashi wa kiongozi aliyeko madarakani. Amejiridhisha pasi na shaka kuwa bado watanzania wengi ni maiti, ila hao wachache waliokimbia mortuary atawapokea.
Unaelewa walimuibia odinga kura, last election. Au hilo tufumbie macho
 
Siasa za Kenya haziwezi kuwa mfano kwetu hata siku moja. Kenya wana nini cha kutufundisha kwenye siasa? Kenya tuwaige kwenye ujenzi wa barabara ambazo hata sisi tunazijenga.
Siasa mbaya kuwahi kujua hapa Africa ya Mashariki ni siasa ya Kenya. Angalia hata kwenye mgawanyo wa rasilimali.
Mwisho; Kwanini Kenya siku hizi inawashwa washwa na siasa za Tanzania? Wapi panawasha tuwakune?
Walitaka Lisu achaguliwe ili wawe wanaingia na kutoka tz kama wanavyotaka. Si ulisikia Lisu akisema ana damu nyingi sana ya Wakenya
 
I thought huyo Miguna was shot 16 times...kumbe ni kelele zako tu.

Atleast Kenyatta hajafika huko.
 
Kujifanya unajua usiyemjua ni ujinga!

Hii mitizamo ya kusifia sifia hata katika mapungufu yetu na kuuchukia ukweli halisi wa maadui zetu ni ujinga zaidi!
Sasa Kenya ina nini cha kutufundisha sisi kwenye mambo ya siasa?
 
Sasa Kenya ina nini cha kutufundisha sisi kwenye mambo ya siasa?
Kenyatta ameshakaa na Odinga mara kadhaa kumaliza tofauti zao, nyie Mbowe mnamuona adui wa taifa kwasababu ya togauti za itikadi, ndio maana Kenyatta anawaambia acheni ushamba.
 
I thought huyo Miguna was shot 16 times...kumbe ni kelele zako tu.
Msando murder

On 27 July 2017, two bodies were found on the outskirts of Nairobi. One of the dead, Christopher Msando, was the head of information, communication, and technology at the Independent Electoral and Boundaries Commission.[16] He played a major role in developing the new voting system for the election.[17] His body showed apparent marks of torture before he was murdered for unclear reasons. Alongside it was the body of a 21-year-old woman, Maryanne Ngumbu.[18] The FBI and Scotland Yard offered to help in the investigation.[19]

The murder of Msando raised suspicion among the opposition that it was part of a plot by the ruling party to rig the election, as it appeared Msando was standing in the way.



Andrew Kipkoech Rono, 58, who was arrested over allegations he sent a threatening message to Msando before he was killed, appeared before High Court judge, James Wakiaga.
 
Uhuru ni hovyo mno, tena yeye kuua ni kugusa tu, kuna waziri alikuwa anaitwa Joseph Nkaissery wa mambo ya ndani , huyu alikuwa mlengo wa Raila , wakajua uchaguzi huu unakuja mambo ya kuamrisha polisi kupiga wafuasi wa Raila waziri hata kubali , walichofanya kina uhuru wakamuwekea sumu akafa mwezi mmoja kabla ya uchaguzi. Bado uchaguzi wa pili kuna dada mmoja alitorokea USA alikuwa senior wa IEBC alikuwa anatishiwa kuuwawa, alitoroka ghafla kwa mazingira ya kutatanisha, alikuwa anaitwa Rosenly Akombe, Uhuru ni hovyo mno. Yaani EAC hakuna nchi ya afadhali , marais wote wameingia kwa kuiba kura.
 
Kenyatta ameshakaa na Odinga mara kadhaa kumaliza tofauti zao, nyie Mbowe mnamuona adui wa taifa kwasababu ya togauti za itikadi, ndio maana Kenyatta anawaambia acheni ushamba.
Acha ujinga mkuu! Kenyata juzi kamtimua makamu wake kisa madaraka ya 2022 hivi unajua hilo?

Kwanza unajua kama 2007 watu 1500 walikufa sababu ya kenyata na odinga?.

Kenya pale ni ukabila tupu, full uhasama, hawana choxhote cha kutwambia.

Mbowe na chadema wanashindwa kihalali kwenye box la kura katika uchaguzi wa kidemocrasi, sasa unataka nae aitwe waridhiane nini?
 
I thought huyo Miguna was shot 16 times...kumbe ni kelele zako tu.

Atleast Kenyatta hajafika huko.
Hujui Kenya mkuu bora ukae kimya tu.

Katika nchi yenye makovu ya kisiasa ni kenya
 
Back
Top Bottom