Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha... Naona unajaribu kujifariji Lisu ndio huyo kakimbilia Ubelgiji.Uhuru Kenyatta. Very Gentleman presiden!
Ukikua unaona babako ana mamlaka hata na wewe ukiyapata huwezi kuwa mshamba nayo!! JK the same babake alikuwa DC wakati wa ukoloni.. Uhuru babake alikuwa Rais wa Kenya. Ondinga babake alikuwa Makamu wa Rais.
Sisi sasa hiii. Ni balaa!
Sasa Kenya ina nini cha kutufundisha sisi kwenye mambo ya siasa?
Ni ukabila tu mkuu ndio wanawezaKenya ni moja ya nchi ya hovyo sana tu katika historia ya ukombozi wa Afrika. Wao wakati Watanzania wakimwaga damu, jasho na kutapanya rasilimali ili kumkomboa mtu mweusi mwenzao, Kenya wakiongozwa na hayati Kenyata baba wa Uhuru walijifanya Wazungu weusi. Uhuru ananini cha maana kutuambia Watanzania. Tell him to shut up his offal mouth.
Unaelewa walimuibia odinga kura, last election. Au hilo tufumbie macho
Demokrasia Wanatuzidi ila sote tunajua nchi gani huuana zaidi kipindi cha uchaguzi Kati ya Kenya na Tz.Wakati anamuibia ulisikia chama chake kukishinda kwa ushindi wa kishindo? Kuna popote uliona mabeg ya kura wizi huku kukiwa hakuna aliyekamatwa? Na matokeo yao ya uchaguzi yalitenguliwa mahakamani. Hilo bunge la Kenya umeona likiwa limejaa watu wa chama kimoja, waliopita kwa maagizo ya rais aliye madarakani? Wakenya pamoja na changamoto zao za kikabila, lakini bado wana demokrasia ya kweli kuliko hii ya kwetu, na wanatuzidi kwa mbali kiuchumi.
Yan siasa za kishamba sn kutaka kuingiza watoto wa wenzetu brbrn huku wetu wakiwa ulaya wanasoma
Kenyatta sio dokta wala professor ila brain yake ni ya Kiprofessor, kwa Africa masharki hyu ndyo Rais bora katika nyakati hizi...ni mchawi tu hatukubali hili!!Kenya katika swala la Ukabila na siasa za kimaeneo wamekubuhu! lakini bila kupepesa macho, ndio nchi katika ukandaa wetu yenye demokrasia halisi ya uhuru wa mawazo ya watu, uhuru wa vyombo vya habari na uhuru mpana katika vyombo vyao vya kutoa haki yani MAHAKAMA!
lakini sio majambazi ya kura za wananchi,na hawatumii polisi kuiba kuraKenya ni moja ya nchi ya hovyo sana tu katika historia ya ukombozi wa Afrika. Wao wakati Watanzania wakimwaga damu, jasho na kutapanya rasilimali ili kumkomboa mtu mweusi mwenzao, Kenya wakiongozwa na hayati Kenyata baba wa Uhuru walijifanya Wazungu weusi. Uhuru ananini cha maana kutuambia Watanzania. Tell him to shut up his offal mouth.
Demokrasia Wanatuzidi ila sote tunajua nchi gani huuana zaidi kipindi cha uchaguzi Kati ya Kenya na Tz.
Wanatuzidi kwa mbali kiuchumi, uchumi ni kitu kipana boss, huwezi sema tu wanatuzidi mbali kiuchumi, kuna factors hutumiwa kupima uchumi sio layman tu unasema wametuzidi mbali kiuchumi
lakini sio majambazi ya kura za wananchi,na hawatumii polisi kuiba kura
Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
Tatizo kuingia mtaani kwa sasa tumeshashindwa bado tunavumilia.Hivyo for the time being wabunge waende tu bungeni. Hii ya kuingia mtaani itakuja yenyewe pale Magufuli atakuwa katika mwaka wake wa 14 akitawala. Hata wana CCM wenyewe wengi watakuwa wamemchoka. Hapo ndo saa ya ukombozi wa kweli itatimia.
Walikuwa wanauana huko nyuma tena ni uchaguzi wa 2007 ambao umewafanya wapate katiba mpya na kuheshimiana, ila viwango vya mauaji kwa sasa ukilingaisha na sisi, wao wana afadhali. Tofauti yetu sisi na wao, wao vyombo vyao viko huru kutangaza uhayawani wowote, wakati wa kwetu ni ngumu kutangaza kwani vyombo haviko huru, ila kutokana na kukua kwa teknolojia ukweli wote wa mauaji tunaujua hapa kwetu.
Kwenye uchumi, Kigezo namba moja ni foreign exchange, chukua hela ya Tanzania nenda bank kabadilishe kisha uje na mrejesho. Chukua bidhaa za Kenya za viwandani, linganisha na za Tanzania kisha upime ubora halafu ninasubiri mrejesho. Kama ni hizi ndege tunazojisifia wanazo kibao, kama ni flyover wanazo muda mrefu tu. Kama ni bandari wana zaidi ya moja na zina viwango vya juu na huduma bora. Sisi tuna wazidi ukubwa wa eneo na watu, sifa ambazo ni nje ya uwezo wa kiutawala.
Dah, we uchumi ni mwepesi sana bhana [emoji1787]
Hata last election, licha ya kwamba it was the safest, wameuana zaidi ya zanzibar.
Alafu bandari mbona sisi tunazo kuwazidi, foreign exchange is nuthn, hela yao ina thamani Sawa na Yen ya Japan, hela ya Tz ni ndogo ila inafanya manunuzi mengi kushinda same amount ukiwa Kenya.
Uchumi achana nao bhana, tubase kwa siasa
Itapendeza zaidi kama litampata kwenye ule upara mpaka adondoke.Natumai jiwe limetupwa kwa jiwe.