denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Huu uzalendo gani wa kijinga mnaofundisha watu siku hizi?!Tatizo watanzania wengi wamekosa uzalendo wa nchi yetu. Naagalia watu wengi humu mnakoment kwa mhemko. Alafu mbaya zaidi vijana wengi humu hajawahi vuka Tanzania japo mkae nje ya tanzania angalau mwaka mmoja. Kifupi tanzania ni nchi yetu sote lazima tuilinde na kuitetea.
Watanzania wenzenu wanalazimishwa kikimbia nchi yao kisa itikadi zao tofauti za kisiasa wewe unaita huo ndio uzalendo? wamepigwa risasi, wametekwa, wamebambikiwa kesi.
Huu ujinga sijui mmejifunza shule gani.