Mi namuelewa Mhe. Kenyatta, kapanic flan hivi.
kachukua hatua alizoshauriwa na wataalam wake km kufunga mipaka, lockdown, kufunga shule na kuchukua mkopo kwa mabeparu ili tu atokomeze corona, ila mwisho hajapata matokeo chanya.
Ss akisikia wapiga kura wanataka achukue hatua km za Tz lazma awe mkali kiasi. Cos Tz pamoja na kuchukua local approach za kupambana na Corona, hawajafanya lockdown, hawajafunga mipaka, hawadaiwi na mabepari deni lolote kisa Corona na wananchi wanapiga kazi mwanzo mwisho...
kiukwel, Kenya ni miongoni iliyoyumba kiuchum, kisiasa hata kijamii, cos machafuko kwa jamii dhidi ya Serikali yamekuwa hayaishi. Ss matokeo yake wanachuki na nchi jiran waliopiga hatua kuhusu Corona.
Mi nashauri, Kenyatta alirelax kwanza, hii vita ya corona haijaisha, asitafute vita na jiran tena. Tz iko vzr sana ktk uchum ss hv, na hata akilia lia haimaanishi tutamuonea huruma. Apambane tu,
Karithi utawala akihisi hauna changamoto, fungua akili kuna suluhisho mbele.
Bravo Magufuli, tunapiga kaz,
tunakuombea kwa Mungu kila siku, uchumi tunauona ukikuwa,
[emoji122][emoji122]SGR & Strigler George...
nature do not abide with human rules...