Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kwa hiyo hapo ulipo una zika?.
Kwenye nchi "ile" ya Bwana "yule" hata alipoambiwa gonjwa la ZIKA limeingia nchini mwake akamfukuza kazi mkurugenzi, sembuse Covid-19!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hapo ulipo una zika?.
Kwenye nchi "ile" ya Bwana "yule" hata alipoambiwa gonjwa la ZIKA limeingia nchini mwake akamfukuza kazi mkurugenzi, sembuse Covid-19!!!!
Wee bwana haya mambo mazito yaache yapite tu. Siyo lazima utie neno. Hivi unajua kwamba there is a huge debate whether the phrase "asymptomatic carrier" should be used for covid 19!!!?
They are in this trilema as the disease has the peculiar features such as percentage of disease carriers, incubation period and time the pathogens live in the host before they disappear. The report will be out soon katika lugha rahisi inayoeleweka kwa watu wengi.
Hapo hongera umempa kwa lipi sasa. Kushindwa kuidhibiti korona au kutangaza kila siku idadi mpya ya wagonjwa?Hongera sana mzee kenyatta, mficha maradhi kifoo humuuumbuaa,[emoji23] waswahili wanaendelea kuzika wabunge, mawaziri hata na maraisi wastaaafu!! huku wakijidanganyaaa no koronaaaaa![emoji23]
Endelea pia kuwabana kabisa kuleee mipakanii na nyanya zaooo hukoo!!
Kwani ulivyo Vunjika mguu na chupa ya konyagi ulikuwa umevaa barakoaNani kakudanganya mie sivai mask [emoji40]? Uliniona wapi kama sivai mask hadi uandike?
[emoji15][emoji15][emoji15]
Nani kakudanganya mie sivai mask [emoji40]? Uliniona wapi kama sivai mask hadi uandike?
[emoji15][emoji15][emoji15]
Hehehe Sio kila kitu cha kung'ang'ania, unatumia nguvu nyingi ila haitobadilisha ukweli kwamba nyote mumepagawa, hamna common sense au tathmini za kisayansi, kuandika andika humu hakutobadilisha ukweli wa hilo neno.
Huyo mlevi ndio awe rais??? Humu ndani siku hizi watoto wengi sanaKama kungekuwa na EAC federal government, top brass ingekuwa hivi:
President: Uhuru Kenyatta
VP: Bob Wine au Tundu Lissu au Zitto Kabwe
PM: Paul Kagame au Freedom Mbowe au John P Magufuli
Katika suala la korona huna haja ya kutumia nguvu kama unavyoamini na unavyojaribu kuwaambisha wengine. Ukweli ni kwamba kila taifa linatumia njia ambayo linaona inafaa, kwa kuzingatia afya ya wananchi wake. Kama wananchi wako wana afya nzuri, nchi haiwezi ikawa na taharuki na kuanza kuchukua hatua kali ambazo siyo muafaka. Tanzania ni mfano wa nchi ambayo afya ya jamii inazidi ubora wa kiwango cha wastani, ndiyo maana maafa siyo makubwa sana. Kwa hiyo kupanda ni kuchagua lipi linakufaa katika mapambano haya.
Nakuhurumia ndugu yanguKenyatta anapaswa kudili na corona kwa njia anazojua yeye mwenyewe. Aache kulalamika. Wananchi wake wanamacho, wanaakili, wanaona na wanasikia kila kitu kilichopo Tanzania. Huku tz hakuna corona hata chembe, huo ndio ukweli na wakenya msijaribu kutuletea corona yenu hapa.
Nyie wenye hamuwezi kupata corona endeleeni kujivinjari.
Subjectivity haitowasaidia ktk kila jambo.Kwa hiyo video ya jana wameanza kuamka, walikua wanafahamika kwa uwoga sana yaani "keyboard warriors", nimeshangaa sana kuona wamejitokeza kihivyo licha ya mikwara, halafu nimesoma sehemu kwamba huyo huyo Tundu Lissu atahudhuria sherehe ya kutoa heshima kwa jeneza la Mkapa na maelfu ya Watanzania wako tayari kumiminika huko, aisei hayo matukio yenu yananikumbusha mbali sana wakati Wakenya walikua wanaanza kuamka, zaidi ya miaka 20 iliyopita.
Naona wana Lumumba mtakua na kazi ngumu sana, sijui hata kwanini mpo huku kwenye jukwaa la Wakenya, mngeenda kupambana kwenye majukwaa yenu ya siasa mjaribu kupooza moto wa Lissu.
Peleka hii mada kenya af jibu utalipata [emoji3][emoji3]Kama kungekuwa na EAC federal government, top brass ingekuwa hivi:
President: Uhuru Kenyatta
VP: Bob Wine au Tundu Lissu au Zitto Kabwe
PM: Paul Kagame au Freedom Mbowe au John P Magufuli
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakuhurumia ndugu yangu
Huwezi kuficha kwa sababu ugonjwa utakuumbua tu ukificha.Mungu awasaidie kama alvyotusadia Tanzania. Hakuna kinachofichwa, ni utukufu wa Bwana umetufunika!
Alafu hawajui hayo mapokezi ya Lisu bado walimobilise Tanzania nzima network ya ofisi na viongozi, bado turn up ilikuwa kama vile.Kasema kweli. Tanzania sio kwamba hakuna Coronavirus,bali hakuna taarifa zinazohusu Coronavirus. Hawapimi wala hawatoi taarifa. Ignorance is bliss.
Sometimes not knowing all the facts about Coronavirus is better. Maana Panic inaua kuliko Coronavirus yenyewe.
Hili ni janga la kisayansi linapaswa kushughulkiw kisayansi sio hayo matamko yasiyokua na mantiki na mifano sijui ya nyoka wala nini.