Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

OK samahani wakuu kama hamjuanielewa vizuri. Mwaka 2022 nilipata ufadhili wa masomo hivyo ikabidi niende kurasini kuomba passport ,nilienda na documents zote kama utambulisho wangu.nilipofika mapokezi nikasikilizwa vizuri na nikaambiwa niende chumba namba 115 kwa afisa aliyeitwa renatus Vincent. Afisa huyu baada ya kumpa documents zangu alinihoji vizuri na akaniambia nimpe namba ya mzazi ili aongee naye kama ni kweli hivyo basi baada ya kumpigia hawakuelewana vizuri sababu ya kelele ikabidi afisa huyo aniambie nilipie na kwenda kupiga picha na kuweka fingerprint hivyo ataongea naye kwa mda wake .nakumbuka nilipoenda kupiga picha nikapewa talehe ambayo naikumbuka 24/01/2022 ya kwenda kuchukua passport posta. Lakini nilipoenda kuchukua passport sikuikuta zaidi niliambiwa kuna document ambayo haipo hivyo nirudi tena kurasini kwa yule afisa.hivyo nilipoenda kwa yule afisa akaniambia bado hajaongea na mzazi nimpe mda aongee naye, nakumbuka ijumaa nilipompigia sababu alinipa namba alisema siwezi kupata passport sababu mzazi kashindwa kujieleza vizuri na ikizingatia anatokea kigoma. Hivyo ikabidi niwatoe wazazi mkoani waje hapa kurasini kuhojiwa vizuri lakini afisa huyo alikataa kabisa kusaidia zaidi ya kusema Mimi siyo Mtanzania hivyo nimpe milioni 1 anisaidie au niombe uraia. Baaada ya kuona hanisaidii ikabidi niende kwa kiongozi wake ambaye ni PCO kwa jina la pale anaitwa mama Dora ingawa sasa hayupo.kiongozi huyu hakuonesha kumisaidia sababu alikuwa upande wa yule afisa naye alitaka nitoe hiyo pesa. Ikabidi nitafute msaada zaidi sababu hakuna anayenisaidia ikabidi nitafute namba ya kamishina wa passport kwa jina anaitwa Gerald kihinga ,nakumbuka nilipompigia simu kumweleza changamoto yangu alisikitika sana akaniambia niende nipewe passport sababu yeye alikuwa amesafiri yupo kagera. Nilipoenda kurasini yule afisa pamoja na yule PCO wakaniambia watanipa passport ya miaka 5 wakasema niende kiachukue posta.nakumbuka ilikuwa jumatatu nilipoenda pasta lakini nilipoenda niliambiwa haipo ikabidi nimpigie tena kihinga nakumbuka aliniambia njoo huku kurasini. Hivyo basi nilipokuwa namngoja kihinga ndani ya ofisi yake ngafula akatokea PCO nakumbuka aliniambia kwahyo umekuja kunisemea kwa boss wangu? Basi PCO yule akanifukuza nisionane na kamishina akanipeleka ofisini kwake pia akamuita yule afisa was mwanzo then Mimi wakanitoa nje wakabaki wawili nakumbuka walikaa kama nusu saa then wakanichukua hadi kwa kihinga na wakati wanaingia wakaniambia nibaki nje kwanza hivyo sijui kilichoendelea ndani ndo nikaitwa ndani baada ya dakika 30 basi kihinga akabadilika akasema nitoe milioni 1 niombe uraia .sasa nikawa sina mtetezi tena ikabidi nitafute mbunge wangu ambaye alikuwa kitila mkumbo nikampigia simu nikamueleza hakika nakumbuka alisikitika sana akasema hata yeye mkewake jambo hili liliwahi kumkuta hivyo ndo maisha akasema ngoja awasiliane na uhamiaji.nakumbuka alinipigia ijumaa jioni saa mbili usiku aliniambia jumatatu niende uhamiaji kwa Kamishina sababu jambo limekaa sawa.basi jumatatu na mapema nikadamka hadi kwa kihinga ,lakini bado alisema mitoe milioni 1 ili anipe mtu anisaidie.ikabidi niende siku nyingine nakumbuka siku hiyo nilienda nimevaa nguo nyekundu hakika nakumbuka siku hiyo msaidizi wa kamishina aliniambia niende nje nikatafute nguo nyingine nivae sababu nguo ile ilikuwa nyekundu kama jenzi ya simba na ukizingatia kamishina alikuwa ni yanga na walikuwa wamefungwa siku iliyopita na simba.yule msaidizi alisema hatikusikiliza nahiyo nguo bora urudi uje wakati mwingine.basi ikabidi nimpigie tena kitila mkumbo kumwambia kwamba bado wanataka pesa nakumbuka alisema watafutie tu wape kwani siunaenda kusoma nje sasa pesa hiyo itakushinda nini? Basi hadi leo nikimtafuta hapokei wala hajibu SMS kama mwanzo.ikabidi nianze kumtafuta waziri wa mambo ya ndani ambaye alikuwa masauni ,nikafanikiwa kupata namba zake nikampigia pia nikamtumia ujumbe kwa njia ya WhatsApp alinijibu akanipa namba ya kamishina mkuu wa uhamiaji akasema nimtafute .siku iliyofuata nikamtafuta akasema niende uhamiaji nakumbuka nilipoenda afisa wakanikataza kuingia wakisema wewe ni nani umepata wapi namba ya mheshimiwa na kwanini umtafute basi tuwambie sisi unashida gani. Ikabidi niende siku yake nakumbuka nilienda asubuhi lakini nilionana naye saa kumi jioni.akaniita akanihoji pia akamuita yule afisa lakini nasikitika yule afisa akaanza kuongea uongo kwamba nipipofika mapokezi watoa huduma walinishuku kwamba Mimi siyo RAIA. Basi kamishina akasema niende nitafute cheti cha kuzaliwa cha bibi au babu then nimpe yule afisa was mwanzo. Nilipoenda kutafuta nikakosa nikamfata yule afisa kumwambia nimekosa ila nina barua ya kiapo lakini yule afisa alikataa na akisema kesi haipo kwake hivyo ipo kwa kishina mkuu.sasa nikajikuta sina msaada tena nikimpigia kamishina anasema nilikupa mtu na yule mtu nikimfata anasema kesi yako iko juu .basi ikabidi niandikie barua tena kwa waziri wa mambo ya ndani wa sasa lakini tokea mwezi wa 1 haijajibiwa hadi sasa.hii ni kiufupi hali inavyoendelea kwahyo nakosa msaada sababu kila hatua nimefanya ya kuomba msaada bila mafanikio na ukitegemea tunapambania ndoto zetu na taifa kwa ujumla ,naombeni msaada hakika nimehangaika sana
Pole kwa changamoto yako, tunafahamu ni kweli Kigoma kuna watu wasio watanzania kujichanganya na raia wa Tanzania mwishoe wanasema ni raia hivyo basi Uhamiaji wanastahili kuchunguza kwa kina na kupata uhakika wa uraia wako ila sio kukunyima passport bila uchunguzi.

Pia hakikisha umejaza fomu zako vizuri, kukosea fomu kunaweza kuleta utata na mkanganyiko kama huu ulionao.
 
Huyu ana hoja ya kuchanganya uraia hilo swala lake kwa hatua alizoenda lingeshafanyiwa utatuzi kinachomuuma hapo kukosa hiyo nafasi ya kwenda kusoma nje.WARUNDI WENGI WAMEPENYA HUMU TANZANIA KWA KUJIITA WAHA,WASHUBI,WASUBI NA WAHANGAZA
 
Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo mzito wa uonevu moyoni mwangu. Ninaomba msaada! Ninaomba mwenye kusikia kilio cha mnyonge anisaidie!

Mwaka 2022 nilipata nafasi adimu ambayo ilikuwa mwanga wa matumaini kwangu na kwa familia yangu. Nilijua maisha yangu yatabadilika, nikajua juhudi zangu hatimaye zitalipa. Lakini ndoto hiyo ilizimwa kwa sababu tu sikuwa na pesa ya kutoa rushwa! Nimehangaika kwa miaka miwili sasa, nikilia na kusihi, lakini kila ninapokwenda, nimepuuzwa! Nimefungiwa milango! Nimechukuliwa kama mtu asiye na thamani!

Badala ya msaada, nimetishiwa! Nimeambiwa nitafunguliwa kesi ya uongo, nitaambiwa si Mtanzania eti kwa sababu sikutoa rushwa! Naumia! Naumia sana! Nauliza, hivi kweli haki ni ya matajiri peke yao? Hivi kweli maskini hana nafasi katika nchi hii?

Mheshimiwa Rais, tafadhali, naomba msaada wako! Mimi ni kijana mdogo tu, sina nguvu ya kupigana na mfumo huu wenye uonevu. Nimechoka! Sina pa kukimbilia tena! Naomba unisikie, naomba unione, naomba unisaidie!

Na kwa yeyote anayeguswa na mateso yangu, naomba unisaidie! Kama una njia yoyote ya kunisaidia, tafadhali usikae kimya, nisaidie kwa hali na mali! Nimeumia vya kutosha, nimenyanyaswa vya kutosha, nimeonewa vya kutosha!

Sauti ya mnyonge ni dhaifu, lakini haipaswi kupotea! Tafadhali, yeyote mwenye huruma, mwenye utu, mwenye uwezo wa kunisaidia, ninaomba msaada wenu! Nimebakia peke yangu kwenye giza, naomba mwangaza wenu!

Mheshimiwa Rais, na watu wote wenye utu, tafadhali, naomba msaada wenu! Usiniruhusu niteseke hivi!
Sema shida dadavua bayana iliyo ya kweli, umeongea unailalia kama shoga acha ufala wa aina hio
 
Kwahyo tukusaidie kulalamika bila kujua tatizo...?sawa usione tuna roho mbaya wacha nikusaidie "MH RAIS MSAIDIE HUYU NDUGU AMECHOKA AMECHOKA AMECHOKA"
Kumbe anataka Passport.

Alishindwa kujieleza vizuri hapo awali kweli inawezekana sio mtanzania!
 
Mkuu mwaka 2022 nilipata scholarship ikabidi niende kuomba passport lakini nilinyimwa kwa kigezo cha kutoa pesa sababu kwa maelezo ya afisa anasema mzazi alishindwa kujieleza vizuri hivyo akataka pesa ingawa nilienda na documents zote kama utambulisho wangu.hiyo ni Kifupi mkuu
Bado hujaliona tatizo lako hapo? Mama yako kama ni Mtanzania anashindwa vipi kujieleza?
Hivi kisandu yupoo
Anaitwa DJ Namilson, sijui kana kaenda kwao Marekani au kafia wapi!
Mkuu sijayakanyaga ndugu yangu naimani nimeeleza vizuri
Wewe wasema, lakini mimi siyo immigration bado maelezo yako yana ukakasi.
Je, ipi hasa remedy ya kosa la namna hiyo? Ni kwamba hakuna kabisa suluhisho la tatizo la namna hiyo zaidi ya Mwombaji kunyimwa Passport?
Passport ni mali ya Jamhuri, ukiweza kueleza kwa misingi ya kisheria kwa nini uapply passport mbili utaeleweka, kama hujadeal na hizi mambo hujui seriously problem aliyocomit mleta mada.

Kwanza hii mifumo ya biometric fingerprint na passport mpya vimeletwa kudhibiti udanganyifu na mleta mada amenaswa na mfumo baada ya kufanya udanganyifu.
Nani amemuelwe anieleweshe?/ alfu Mkuu ukihitaji msaada Fongokaaa usaidiwe
Yeye mwenyewe hajielewi, unategemea utamuelewa?
Et siyo RAIA wa TANZANIA na kauli hii ilianza baada ya Mimi kushindwa kutoa ile million 1
Thibitisha uraia wako simple tu, mama yako mzazi tu ameshindwa kujieleza.
Mkuu mbona nimeeleza kila kitu
Bado hujasema.
Et mama katokea Kongo baba Burundi
Thibitisha uraia wao wa kuzaliwa ni rahisi tu, vyeti vya ubatizo au shule walizosoma.

Tena kwa issue ya passport wazazi huwa inahitajika Arfidavit tu.
 
Kumbe anataka Passport.

Alishindwa kujieleza vizuri hapo awali kweli inawezekana sio mtanzania!
Mkuu wa Majeshi Nkunda alishatowa tahadhari, Tanzania kuna wageni wengi wameingia mpaka kwenye vyombo vya serikali.
 
Bado hujaliona tatizo lako hapo? Mama yako kama ni Mtanzania anashindwa vipi kujieleza?

Anaitwa DJ Namilson, sijui kana kaenda kwao Marekani au kafia wapi!

Wewe wasema, lakini mimi siyo immigration bado maelezo yako yana ukakasi.

Passport ni mali ya Jamhuri, ukiweza kueleza kwa misingi ya kisheria kwa nini uapply passport mbili utaeleweka, kama hujadeal na hizi mambo hujui seriously problem aliyocomit mleta mada.

Kwanza hii mifumo ya biometric fingerprint na passport mpya vimeletwa kudhibiti udanganyifu na mleta mada amenaswa na mfumo baada ya kufanya udanganyifu.

Yeye mwenyewe hajielewi, unategemea utamuelewa?

Thibitisha uraia wako simple tu, mama yako mzazi tu ameshindwa kujieleza.

Bado hujasema.

Thibitisha uraia wao wa kuzaliwa ni rahisi tu, vyeti vya ubatizo au shule walizosoma.

Tena kwa issue ya passport wazazi huwa inahitajika Arfidavit tu.
1. Kama siyo Raia wa Tanzania, Je, mleta mada anaishi nchini Tanzania akiwa na hadhi ipi hasa kuhusu uraia wake?
a) Ni Mhamiaji haramu??
b) Ni Mkimbizi??
c) Au ni Raia asiye na nchi??

Kila tatizo hapa juu Lina suluhisho lake kisheria.
2. (a) Kama ni Mhamiajj haramu, anapaswa kuwa Deported out of the Country to his country of the origin.

(b) Kama ni Mkimbizi, basi apewe Nyaraka za kusafiria kulingana na Hadhi yake ya Ukimbizi. Serikali ina wajibu wa kufanya hivyo au imfukuze mtu huyo kuondoka hapa nchini Tanzania.

(c) Endapo kama ni Raia asiye na Nchi, basi Serikali au Mamlaka zingine zenye uhusiano wa kiutendaji na Serikali impatie Mtu huyu Hati ya Kusafiria ya Kimataifa (International Passport or International Travel Document)
 
Huyu ana hoja ya kuchanganya uraia hilo swala lake kwa hatua alizoenda lingeshafanyiwa utatuzi kinachomuuma hapo kukosa hiyo nafasi ya kwenda kusoma nje.WARUNDI WENGI WAMEPENYA HUMU TANZANIA KWA KUJIITA WAHA,WASHUBI,WASUBI NA WAHANGAZA
Kweli kafika Hadi pale kwa CGI. Hapo shida kweli huwenda Uraia wake unamashaka. Hili lipo sana kweli kwa watu wa Kanda hizo na mipakani
 
Kweli kafika Hadi pale kwa CGI. Hapo shida kweli huwenda Uraia wake unamashaka. Hili lipo sana kweli kwa watu wa Kanda hizo na mipakani
Bado hujaliona tatizo lako hapo? Mama yako kama ni Mtanzania anashindwa vipi kujieleza?

Anaitwa DJ Namilson, sijui kana kaenda kwao Marekani au kafia wapi!

Wewe wasema, lakini mimi siyo immigration bado maelezo yako yana ukakasi.

Passport ni mali ya Jamhuri, ukiweza kueleza kwa misingi ya kisheria kwa nini uapply passport mbili utaeleweka, kama hujadeal na hizi mambo hujui seriously problem aliyocomit mleta mada.

Kwanza hii mifumo ya biometric fingerprint na passport mpya vimeletwa kudhibiti udanganyifu na mleta mada amenaswa na mfumo baada ya kufanya udanganyifu.

Yeye mwenyewe hajielewi, unategemea utamuelewa?

Thibitisha uraia wako simple tu, mama yako mzazi tu ameshindwa kujieleza.

Bado hujasema.

Thibitisha uraia wao wa kuzaliwa ni rahisi tu, vyeti vya ubatizo au shule walizosoma.

Tena kwa issue ya passport wazazi huwa inahitajika Arfidavit tu.
Kumbe anataka Passport.

Alishindwa kujieleza vizuri hapo awali kweli inawezekana sio mtanzania!
Huyu ana hoja ya kuchanganya uraia hilo swala lake kwa hatua alizoenda lingeshafanyiwa utatuzi kinachomuuma hapo kukosa hiyo nafasi ya kwenda kusoma nje.WARUNDI WENGI WAMEPENYA HUMU TANZANIA KWA KUJIITA WAHA,WASHUBI,WASUBI NA WAHANGAZA
Pole kwa changamoto yako, tunafahamu ni kweli Kigoma kuna watu wasio watanzania kujichanganya na raia wa Tanzania mwishoe wanasema ni raia hivyo basi Uhamiaji wanastahili kuchunguza kwa kina na kupata uhakika wa uraia wako ila sio kukunyima passport bila uchunguzi.

Pia hakikisha umejaza fomu zako vizuri, kukosea fomu kunaweza kuleta utata na mkanganyiko kama huu ulionao.

Tatizo hilo la mleta mada Serikali inawajibika nalo moja kwa moja katika kulipatia Ufumbuzi hata kama itathibitika kwa vielelezo kwamba kweli mleta mada siyo Raia wa Tanzania.

1. Kama siyo Raia wa Tanzania, Je, mleta mada anaishi nchini Tanzania akiwa na hadhi ipi hasa kuhusu uraia wake?
a) Ni Mhamiaji haramu??
b) Ni Mkimbizi??
c) Au ni Raia asiye na nchi??

Kila tatizo hapa juu Lina suluhisho lake kisheria.
2. (a) Kama ni Mhamiajj haramu, anapaswa kuwa Deported out of the Country to his country of the origin.

(b) Kama ni Mkimbizi, basi apewe Nyaraka za kusafiria kulingana na Hadhi yake ya Ukimbizi. Serikali ina wajibu wa kufanya hivyo au imfukuze mtu huyo kuondoka hapa nchini Tanzania.

(c) Endapo kama ni Raia asiye na Nchi, basi Serikali au Mamlaka zingine zenye uhusiano wa kiutendaji na Serikali impatie Mtu huyu Hati ya Kusafiria ya Kimataifa (International Passport or International Travel Document)
 
Sijui Raisi Nini Nini..sijui amfanyie Nini...hata sikumwelewa..nikasepa zangu
 
Bado hujaliona tatizo lako hapo? Mama yako kama ni Mtanzania anashindwa vipi kujieleza?

Anaitwa DJ Namilson, sijui kana kaenda kwao Marekani au kafia wapi!

Wewe wasema, lakini mimi siyo immigration bado maelezo yako yana ukakasi.

Passport ni mali ya Jamhuri, ukiweza kueleza kwa misingi ya kisheria kwa nini uapply passport mbili utaeleweka, kama hujadeal na hizi mambo hujui seriously problem aliyocomit mleta mada.

Kwanza hii mifumo ya biometric fingerprint na passport mpya vimeletwa kudhibiti udanganyifu na mleta mada amenaswa na mfumo baada ya kufanya udanganyifu.

Yeye mwenyewe hajielewi, unategemea utamuelewa?

Thibitisha uraia wako simple tu, mama yako mzazi tu ameshindwa kujieleza.

Bado hujasema.

Thibitisha uraia wao wa kuzaliwa ni rahisi tu, vyeti vya ubatizo au shule walizosoma.

Tena kwa issue ya passport wazazi huwa inahitajika Arfidavit tu.
Mkuu nimeshafanya hivyo
 
Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo mzito wa uonevu moyoni mwangu. Ninaomba msaada! Ninaomba mwenye kusikia kilio cha mnyonge anisaidie!

Mwaka 2022 nilipata nafasi adimu ambayo ilikuwa mwanga wa matumaini kwangu na kwa familia yangu. Nilijua maisha yangu yatabadilika, nikajua juhudi zangu hatimaye zitalipa. Lakini ndoto hiyo ilizimwa kwa sababu tu sikuwa na pesa ya kutoa rushwa! Nimehangaika kwa miaka miwili sasa, nikilia na kusihi, lakini kila ninapokwenda, nimepuuzwa! Nimefungiwa milango! Nimechukuliwa kama mtu asiye na thamani!

Badala ya msaada, nimetishiwa! Nimeambiwa nitafunguliwa kesi ya uongo, nitaambiwa si Mtanzania eti kwa sababu sikutoa rushwa! Naumia! Naumia sana! Nauliza, hivi kweli haki ni ya matajiri peke yao? Hivi kweli maskini hana nafasi katika nchi hii?

Mheshimiwa Rais, tafadhali, naomba msaada wako! Mimi ni kijana mdogo tu, sina nguvu ya kupigana na mfumo huu wenye uonevu. Nimechoka! Sina pa kukimbilia tena! Naomba unisikie, naomba unione, naomba unisaidie!

Na kwa yeyote anayeguswa na mateso yangu, naomba unisaidie! Kama una njia yoyote ya kunisaidia, tafadhali usikae kimya, nisaidie kwa hali na mali! Nimeumia vya kutosha, nimenyanyaswa vya kutosha, nimeonewa vya kutosha!

Sauti ya mnyonge ni dhaifu, lakini haipaswi kupotea! Tafadhali, yeyote mwenye huruma, mwenye utu, mwenye uwezo wa kunisaidia, ninaomba msaada wenu! Nimebakia peke yangu kwenye giza, naomba mwangaza wenu!

Mheshimiwa Rais, na watu wote wenye utu, tafadhali, naomba msaada wenu! Usiniruhusu niteseke hivi!
Umegeneralize mno, be specific wapi na wapi ulifanyiwa nini.
 
Wewe ni muongo, kama ni mkweli kuna part umetuficha kwa makusudi, eti "ALIKUA KWENYE KELELE " 😂😂, kwanza mtake radhi engineer Masauni
 
Watu miungu serikalini wapo kuwasumbua watu tu. Kukomesha hili ilikua kuweka miamala yote online na inafuatiliwa na watu maalum nje ya idara husika.
Mola atakufungulia suluhisho na faraja, usikate tamaa.
 
Back
Top Bottom