Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

Mkuu nimeshafanya hivyo lakini system ni moja sababu unafanikiwa kuomba bila shida ila mwisho was siku utaitwa tu sababu fingerprint na majina yako kwenye system
Kwakuwa umeyakanyaga mwenyewe hapo lazima utowe pesa kwa officer wa kupitisha issue yako hakuna ujanja.

Kama unayaweza njoo tukupe connection ya passport ya Lesotho unaletewa free viza nchi kibao, hapo uwe na million 3 cash.

Kupanga ni kuchaguwa.
 
Huyo ameapply mara mbili passport kama nimemuelewa, maana yake mtu mmoja ameomba passport mbili, mfumo ndio umemgunduwa, unataka kusema utawaaminisha vipi maofisa kama hukuwa na nia ovu?
Nimesema baada kuona changamoto ni nyingi ikabidi nifanye kitu ili nijue shida ni Mimi na documents zangu au kurasini. Ikabidi niende tena kuomba passport 2024 ili nijue tatizo liko wapi lakini cha kushangaza nilipofika posta walipokea documents zangu vizuri bila tatizo lolote na nikahudumiwa vizuri na kupewa talehe ya kuchukua passport lakini nilikuja kuitwa tena sababu majina walionekana kwenye system kwamba nimeomba Mara mbili.hivyo nikaitwa kuhojiwa na afisa aliyenihoji alishangaa sana kusikia maelezo yangu akaniambia niandikie barua ya maelezo kama hayo juu hapo ili aambatanishe na ombi ili kiongozi yeyote aone .lakini haikuwa shida yule afisa alinielewa hata yeye alisema angekuwa ndo yeye angefanya hivyo
 
Hebu eleza hapa vizuri nini kimetokea?

Hapo immigration tuna watu kibao.
Mkuu mwaka 2022 nilipata scholarship ikabidi niende kuomba passport lakini nilinyimwa kwa kigezo cha kutoa pesa sababu kwa maelezo ya afisa anasema mzazi alishindwa kujieleza vizuri hivyo akataka pesa ingawa nilienda na documents zote kama utambulisho wangu.hiyo ni Kifupi mkuu
 
Kwakuwa umeyakanyaga mwenyewe hapo lazima utowe pesa kwa officer wa kupitisha issue yako hakuna ujanja.

Kama unayaweza njoo tukupe connection ya passport ya Lesotho unaletewa free viza nchi kibao, hapo uwe na million 3 cash.

Kupanga ni kuchaguwa.
Mkuu sijayakanyaga ndugu yangu naimani nimeeleza vizuri
 
Huyo ameapply mara mbili passport kama nimemuelewa, maana yake mtu mmoja ameomba passport mbili, mfumo ndio umemgunduwa, unataka kusema utawaaminisha vipi maofisa kama hukuwa na nia ovu?
Je, ipi hasa remedy ya kosa la namna hiyo? Ni kwamba hakuna kabisa suluhisho la tatizo la namna hiyo zaidi ya Mwombaji kunyimwa Passport?
 
Mkuu hili nililiweka sawa.sababu niliitwa posta kwa mahojiano .sababu why nimeomba Mara mbili? niliwambia ukweli pia niliwambia wanisamehe sikwamba nimefanya hivyo bila kujua ila nimefanya hivyo kwa lengo la kusikilizwa sababu ombi la kwanza nimenyimwa passport naambiwa Mimi siyo RAIA hivyo nimeomba tena kujua tatizo nini.basi yule afisa nashukuru sana alinisikiliza kwa makini sana akasema pole sana cha kufanya rudi tena kurasini kwa PCO mpya mweleze atakusaidia .lakini nilienda kwa PCO aliangalia fili langu nakusema hana mamlaka ya kunipa kwani maamuzi hayo ni kutoka kwa bosi wake lakini kama ombi lingekuwa ndani ya ofisi yake basi sikuile ile ningeondoka na passport.alichonishauli kwamba nisikate tamaa ndo maisha yalivyo na nikipenda nirudi tena nikamuone kamishina mkuu wa uhamiaji
 
Kuhusu kuomba passport Mara ya pili nililiweka sawa nilihojiwa kwa maelezo ya kina pale posta na jambo likaenda sawa sababu pale posta walinielewa .hivyo wakaniambie nifatilie ombi la mwanzo hili la pili halina maana tena hivyo nirudi kuwaona wale viongozi wa mwanzo niwaombe wanisaidie .lakini nikienda hakuna msaada najikuta narudi tena mwanzo
 
Mkuu hili nililiweka sawa.sababu niliitwa posta kwa mahojiano .sababu why nimeomba Mara mbili? niliwambia ukweli pia niliwambia wanisamehe sikwamba nimefanya hivyo bila kujua ila nimefanya hivyo kwa lengo la kusikilizwa sababu ombi la kwanza nimenyimwa passport naambiwa Mimi siyo RAIA hivyo nimeomba tena kujua tatizo nini.basi yule afisa nashukuru sana alinisikiliza kwa makini sana akasema pole sana cha kufanya rudi tena kurasini kwa PCO mpya mweleze atakusaidia .lakini nilienda kwa PCO aliangalia fili langu nakusema hana mamlaka ya kunipa kwani maamuzi hayo ni kutoka kwa bosi wake lakini kama ombi lingekuwa ndani ya ofisi yake basi sikuile ile ningeondoka na passport.alichonishauli kwamba nisikate tamaa ndo maisha yalivyo na nikipenda nirudi tena nikamuone kamishina mkuu wa uhamiaji
Uhamiaji wamekueleza kwamba wameshindwa kukupatia Passport kwa sababu ya wewe umewasilisha maombi ya Passport mara Mbili au kwa sababu wewe siyo Raia wa Tanzania?
 
Et siyo RAIA wa TANZANIA na kauli hii ilianza baada ya Mimi kushindwa kutoa ile million 1
 
Kwanini usingewareport TAKUKURU? Wenyewe wangekusaidia jinsi ya kupata ushahidi na kuwachomelea mbali.
 
Back
Top Bottom