Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

Mwaka 2022 nilipata ufadhili wa masomo hivyo ikabidi niende kurasini kuomba passport ,nilienda na documents zote kama utambulisho wangu.nilipofika mapokezi nikasikilizwa vizuri na nikaambiwa niende chumba namba 115 kwa afisa aliyeitwa renatus Vincent.

Afisa huyu baada ya kumpa documents zangu alinihoji vizuri na akaniambia nimpe namba ya mzazi ili aongee naye kama ni kweli hivyo basi baada ya kumpigia hawakuelewana vizuri sababu ya kelele ikabidi afisa huyo aniambie nilipie na kwenda kupiga picha na kuweka fingerprint hivyo ataongea naye kwa mda wake .nakumbuka nilipoenda kupiga picha nikapewa talehe ambayo naikumbuka 24/01/2022 ya kwenda kuchukua passport posta.

Lakini nilipoenda kuchukua passport sikuikuta zaidi niliambiwa kuna document ambayo haipo hivyo nirudi tena kurasini kwa yule afisa.hivyo nilipoenda kwa yule afisa akaniambia bado hajaongea na mzazi nimpe mda aongee naye, nakumbuka ijumaa nilipompigia sababu alinipa namba alisema siwezi kupata passport sababu mzazi kashindwa kujieleza vizuri na ikizingatia anatokea kigoma.

Hivyo ikabidi niwatoe wazazi mkoani waje hapa kurasini kuhojiwa vizuri lakini afisa huyo alikataa kabisa kusaidia zaidi ya kusema Mimi siyo Mtanzania hivyo nimpe milioni 1 anisaidie au niombe uraia. Baaada ya kuona hanisaidii ikabidi niende kwa kiongozi wake ambaye ni PCO kwa jina la pale anaitwa mama Dora ingawa sasa hayupo.

Kiongozi huyu hakuonesha kumisaidia sababu alikuwa upande wa yule afisa naye alitaka nitoe hiyo pesa. Ikabidi nitafute msaada zaidi sababu hakuna anayenisaidia ikabidi nitafute namba ya kamishina wa passport kwa jina anaitwa Gerald kihinga ,nakumbuka nilipompigia simu kumweleza changamoto yangu alisikitika sana akaniambia niende nipewe passport sababu yeye alikuwa amesafiri yupo kagera.

Nilipoenda kurasini yule afisa pamoja na yule PCO wakaniambia watanipa passport ya miaka 5 wakasema niende kiachukue posta.nakumbuka ilikuwa jumatatu nilipoenda pasta lakini nilipoenda niliambiwa haipo ikabidi nimpigie tena kihinga nakumbuka aliniambia njoo huku kurasini.

Hivyo basi nilipokuwa namngoja kihinga ndani ya ofisi yake ngafula akatokea PCO nakumbuka aliniambia kwahyo umekuja kunisemea kwa boss wangu? Basi PCO yule akanifukuza nisionane na kamishina akanipeleka ofisini kwake pia akamuita yule afisa was mwanzo then Mimi wakanitoa nje wakabaki wawili nakumbuka walikaa kama nusu saa then wakanichukua hadi kwa kihinga na wakati wanaingia wakaniambia nibaki nje kwanza hivyo sijui kilichoendelea ndani ndo nikaitwa ndani baada ya dakika 30 basi kihinga akabadilika akasema nitoe milioni 1 niombe uraia.

Sasa nikawa sina mtetezi tena ikabidi nitafute mbunge wangu ambaye alikuwa kitila mkumbo nikampigia simu nikamueleza hakika nakumbuka alisikitika sana akasema hata yeye mkewake jambo hili liliwahi kumkuta hivyo ndo maisha akasema ngoja awasiliane na uhamiaji.

Nakumbuka alinipigia ijumaa jioni saa mbili usiku aliniambia jumatatu niende uhamiaji kwa Kamishina sababu jambo limekaa sawa.basi jumatatu na mapema nikadamka hadi kwa kihinga ,lakini bado alisema mitoe milioni 1 ili anipe mtu anisaidie.ikabidi niende siku nyingine nakumbuka siku hiyo nilienda nimevaa nguo nyekundu hakika nakumbuka siku hiyo msaidizi wa kamishina aliniambia niende nje nikatafute nguo nyingine nivae sababu nguo ile ilikuwa nyekundu kama jenzi ya simba na ukizingatia kamishina alikuwa ni yanga na walikuwa wamefungwa siku iliyopita na simba, yule msaidizi alisema hatikusikiliza nahiyo nguo bora urudi uje wakati mwingine.basi ikabidi nimpigie tena kitila mkumbo kumwambia kwamba bado wanataka pesa nakumbuka alisema watafutie tu wape kwani siunaenda kusoma nje sasa pesa hiyo itakushinda nini?

Basi hadi leo nikimtafuta hapokei wala hajibu SMS kama mwanzo ikabidi nianze kumtafuta waziri wa mambo ya ndani ambaye alikuwa masauni ,nikafanikiwa kupata namba zake nikampigia pia nikamtumia ujumbe kwa njia ya WhatsApp alinijibu akanipa namba ya kamishina mkuu wa uhamiaji akasema nimtafute .siku iliyofuata nikamtafuta akasema niende uhamiaji nakumbuka nilipoenda afisa wakanikataza kuingia wakisema wewe ni nani umepata wapi namba ya mheshimiwa na kwanini umtafute basi tuwambie sisi unashida gani.

Ikabidi niende siku yake nakumbuka nilienda asubuhi lakini nilionana naye saa kumi jioni.akaniita akanihoji pia akamuita yule afisa lakini nasikitika yule afisa akaanza kuongea uongo kwamba nipipofika mapokezi watoa huduma walinishuku kwamba Mimi siyo RAIA.

Basi kamishina akasema niende nitafute cheti cha kuzaliwa cha bibi au babu then nimpe yule afisa was mwanzo. Nilipoenda kutafuta nikakosa nikamfata yule afisa kumwambia nimekosa ila nina barua ya kiapo lakini yule afisa alikataa na akisema kesi haipo kwake hivyo ipo kwa kishina mkuu, sasa nikajikuta sina msaada tena nikimpigia kamishina anasema nilikupa mtu na yule mtu nikimfata anasema kesi yako iko juu .basi ikabidi niandikie barua tena kwa waziri wa mambo ya ndani wa sasa lakini tokea mwezi wa kwanza sijajibiwa hivyo nakosa msaada.naomba mheshimiwa rais na viongozi wengine watakaoguswa jambo hili naomba msaada
Una docs ulizofanya malipo
Na docs zako zingine vyeti vya kuzaliwa ama kiapo nk
 
Aseee kaka pole sanaa ....i feel unachopitia mzee baba na inatia hasira sanaa yan wanaopewa ma mlaka wakiamua jambo lao watalifany kwa ushirikiano sanaa na hayo mambo bado yapo na yanatokea sanaa ..usikate tamaa Mzee baba keep going japo n pesa na muda unaondk ila pambania mzeee ...lakn ukumbuke Oct usifanye makosa kweny maamuzi yako....
 
labda post pia kwenye page zao za mitandaoni, instagram, X(twitter) etc.

Ila kabla ya kufanya hivyo jirishishe na suala la uraia wako na wa wazazi wako... inawezekana kuna jambo halipo sawa ndo linawapa uchochoro wa kukupiga hela
 
Sasa kwa sababu nilipata namba kule makao makuu Dodoma ilikuulizia nini kinaendelee .basi kila siku napigwa kalenda naambiwa inafanyiwa kazi nikiwatafuta wanipe status nini kinaendelea wanatupiana mpira Mara mtafute huyu Mara huyu kwahyo najikuta nina namba nyingi za watu hasa viongozi utazania Mimi ni usalama hivyo hali hii unanitesa sana hata kumpa mtu simu yangu akiangalia majina na akiona namba unakuta wanaogopa wakizania Mimi ni mtu wa system hivyo ingawa now sina ajira permanent lakini nimekosa sana kazi wakinishuku kwamba labda mm ni usalama. Ukweli Mimi ni kijana mdogo nina miaka 26 natamani kupambania ndoto hakika ni maumivu sana kuona taifa lako linakukana sababu ya rushwa .hivyo imepelekea ile scholarship kupita mda wake sababu sina passport.
 
Hautofundishwa kila kitu ila jifunze kuzitumia vizuri stationeries zilizopo karibu na ofisi za serikali.
 
Una docs ulizofanya malipo
Na docs zako zingine vyeti vya kuzaliwa ama kiapo nk
Zote zipo mkuu.tena ikabidi nijitasimini nione kama Mimi ndo tatizo ikabidi niende kimyakimya kuomba tena passport pale posta ili niangalie je documents zangu ndo shida au watu.basi nakumbuka posta pale nikifanya maombi nikamaliza nikapewa na talehe yakuchukua kwahyo nikaona tatizo siyo Mimi.lkn kwa kuwa nilishaomba hapo mwanzo majina yalikutana kwenye system ikabidi niitwe posta kuhojiwa why nimeomba Mara 2 nakumbuka afisa ambaye alinihoji alitoa machozi akaniambia nakuruhusu ondoka tu ila tuoandike barua hata rais akiiona atajua kuna jambo haliko sawa .hivyo akaniambia nirudi tena kurasini sababu ndo ombi limekwama kule
 
Mwaka 2022 nilipata ufadhili wa masomo hivyo ikabidi niende kurasini kuomba passport ,nilienda na documents zote kama utambulisho wangu.nilipofika mapokezi nikasikilizwa vizuri na nikaambiwa niende chumba namba 115 kwa afisa aliyeitwa renatus Vincent.

Afisa huyu baada ya kumpa documents zangu alinihoji vizuri na akaniambia nimpe namba ya mzazi ili aongee naye kama ni kweli hivyo basi baada ya kumpigia hawakuelewana vizuri sababu ya kelele ikabidi afisa huyo aniambie nilipie na kwenda kupiga picha na kuweka fingerprint hivyo ataongea naye kwa mda wake .nakumbuka nilipoenda kupiga picha nikapewa talehe ambayo naikumbuka 24/01/2022 ya kwenda kuchukua passport posta.

Lakini nilipoenda kuchukua passport sikuikuta zaidi niliambiwa kuna document ambayo haipo hivyo nirudi tena kurasini kwa yule afisa.hivyo nilipoenda kwa yule afisa akaniambia bado hajaongea na mzazi nimpe mda aongee naye, nakumbuka ijumaa nilipompigia sababu alinipa namba alisema siwezi kupata passport sababu mzazi kashindwa kujieleza vizuri na ikizingatia anatokea kigoma.

Hivyo ikabidi niwatoe wazazi mkoani waje hapa kurasini kuhojiwa vizuri lakini afisa huyo alikataa kabisa kusaidia zaidi ya kusema Mimi siyo Mtanzania hivyo nimpe milioni 1 anisaidie au niombe uraia. Baaada ya kuona hanisaidii ikabidi niende kwa kiongozi wake ambaye ni PCO kwa jina la pale anaitwa mama Dora ingawa sasa hayupo.

Kiongozi huyu hakuonesha kumisaidia sababu alikuwa upande wa yule afisa naye alitaka nitoe hiyo pesa. Ikabidi nitafute msaada zaidi sababu hakuna anayenisaidia ikabidi nitafute namba ya kamishina wa passport kwa jina anaitwa Gerald kihinga ,nakumbuka nilipompigia simu kumweleza changamoto yangu alisikitika sana akaniambia niende nipewe passport sababu yeye alikuwa amesafiri yupo kagera.

Nilipoenda kurasini yule afisa pamoja na yule PCO wakaniambia watanipa passport ya miaka 5 wakasema niende kiachukue posta.nakumbuka ilikuwa jumatatu nilipoenda pasta lakini nilipoenda niliambiwa haipo ikabidi nimpigie tena kihinga nakumbuka aliniambia njoo huku kurasini.

Hivyo basi nilipokuwa namngoja kihinga ndani ya ofisi yake ngafula akatokea PCO nakumbuka aliniambia kwahyo umekuja kunisemea kwa boss wangu? Basi PCO yule akanifukuza nisionane na kamishina akanipeleka ofisini kwake pia akamuita yule afisa was mwanzo then Mimi wakanitoa nje wakabaki wawili nakumbuka walikaa kama nusu saa then wakanichukua hadi kwa kihinga na wakati wanaingia wakaniambia nibaki nje kwanza hivyo sijui kilichoendelea ndani ndo nikaitwa ndani baada ya dakika 30 basi kihinga akabadilika akasema nitoe milioni 1 niombe uraia.

Sasa nikawa sina mtetezi tena ikabidi nitafute mbunge wangu ambaye alikuwa kitila mkumbo nikampigia simu nikamueleza hakika nakumbuka alisikitika sana akasema hata yeye mkewake jambo hili liliwahi kumkuta hivyo ndo maisha akasema ngoja awasiliane na uhamiaji.

Nakumbuka alinipigia ijumaa jioni saa mbili usiku aliniambia jumatatu niende uhamiaji kwa Kamishina sababu jambo limekaa sawa.basi jumatatu na mapema nikadamka hadi kwa kihinga ,lakini bado alisema mitoe milioni 1 ili anipe mtu anisaidie.ikabidi niende siku nyingine nakumbuka siku hiyo nilienda nimevaa nguo nyekundu hakika nakumbuka siku hiyo msaidizi wa kamishina aliniambia niende nje nikatafute nguo nyingine nivae sababu nguo ile ilikuwa nyekundu kama jenzi ya simba na ukizingatia kamishina alikuwa ni yanga na walikuwa wamefungwa siku iliyopita na simba, yule msaidizi alisema hatikusikiliza nahiyo nguo bora urudi uje wakati mwingine.basi ikabidi nimpigie tena kitila mkumbo kumwambia kwamba bado wanataka pesa nakumbuka alisema watafutie tu wape kwani siunaenda kusoma nje sasa pesa hiyo itakushinda nini?

Basi hadi leo nikimtafuta hapokei wala hajibu SMS kama mwanzo ikabidi nianze kumtafuta waziri wa mambo ya ndani ambaye alikuwa masauni ,nikafanikiwa kupata namba zake nikampigia pia nikamtumia ujumbe kwa njia ya WhatsApp alinijibu akanipa namba ya kamishina mkuu wa uhamiaji akasema nimtafute .siku iliyofuata nikamtafuta akasema niende uhamiaji nakumbuka nilipoenda afisa wakanikataza kuingia wakisema wewe ni nani umepata wapi namba ya mheshimiwa na kwanini umtafute basi tuwambie sisi unashida gani.

Ikabidi niende siku yake nakumbuka nilienda asubuhi lakini nilionana naye saa kumi jioni.akaniita akanihoji pia akamuita yule afisa lakini nasikitika yule afisa akaanza kuongea uongo kwamba nipipofika mapokezi watoa huduma walinishuku kwamba Mimi siyo RAIA.

Basi kamishina akasema niende nitafute cheti cha kuzaliwa cha bibi au babu then nimpe yule afisa was mwanzo. Nilipoenda kutafuta nikakosa nikamfata yule afisa kumwambia nimekosa ila nina barua ya kiapo lakini yule afisa alikataa na akisema kesi haipo kwake hivyo ipo kwa kishina mkuu, sasa nikajikuta sina msaada tena nikimpigia kamishina anasema nilikupa mtu na yule mtu nikimfata anasema kesi yako iko juu .basi ikabidi niandikie barua tena kwa waziri wa mambo ya ndani wa sasa lakini tokea mwezi wa kwanza sijajibiwa hivyo nakosa msaada.naomba mheshimiwa rais na viongozi wengine watakaoguswa jambo hili naomba msaada
Kijana hauna ile kadi ya kijani yenye jembe na nyundo ....? Siku nyingine ukienda uamiaji tafuta zile nguo za kijani na ile kadi ya kuchambia yenye jembe na nyundo na tai ya bendera ya taifa kisha ukiingia ofisini mwao waambie unataka passport ndani ya siku 2... wakikuambia vyeti wewe toa tu kitambulisho cha ccm ...hapo badala ya wewe kudaiwa milioni 1 wewe ndiyo utaletewa na chai na mandazi tena kwa pesa zao mifukono hata ukiwa na mafua watakununulia resso kwa pesa zao.....bora ungeenda kwa mtu wa ccm kutafuta hiyo passport ...ndani ya ccm hata wasiokuwa raia wanapassport .....
 
Zote zipo mkuu.tena ikabidi nijitasimini nione kama Mimi ndo tatizo ikabidi niende kimyakimya kuomba tena passport pale posta ili niangalie je documents zangu ndo shida au watu.basi nakumbuka posta pale nikifanya maombi nikamaliza nikapewa na talehe yakuchukua kwahyo nikaona tatizo siyo Mimi.lkn kwa kuwa nilishaomba hapo mwanzo majina yalikutana kwenye system ikabidi niitwe posta kuhojiwa why nimeomba Mara 2 nakumbuka afisa ambaye alinihoji alitoa machozi akaniambia nakuruhusu ondoka tu ila tuoandike barua hata rais akiiona atajua kuna jambo haliko sawa .hivyo akaniambia nirudi tena kurasini sababu ndo ombi limekwama kule
Unavyo vyote kweli je KADI YA CCM NA MAGWANDA YA KIJANI NA CHUPI YA CCM NA TAI YA BENDERA YA TAIFA UNAVYO ?....
 
Watu wa kigoma wanataby sana kupata ganda ukituliwa mashaka tu kazi unayo pia dogo umefanya issue yako kuwa ngumu zaid namba ya nida ya mama na baba huna kwani? Kama huna issue inakuwa ngumu zaid pia iyo 1ml waliropoka tu we ungewashusha maana unashida wangegoma ndo ungeenda mbele
 
Kama hauna hivyo basi faini yake ndiyo hiyo milioni 1 wanayo kudai😁 kama na hiyo hauna mtafute JOKETI AU MAREHEMU WASIRA HARAKA SANA.
Nimemtafuta hadi comred kawaida kwenye kiti wa uvccm taifa lakini bado wako kimya
 
Back
Top Bottom