Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

Mwaka 2022 nilipata ufadhili wa masomo hivyo ikabidi niende kurasini kuomba passport, nilienda na documents zote kama utambulisho wangu. Nilipofika mapokezi nikasikilizwa vizuri na nikaambiwa niende chumba namba 115 kwa afisa aliyeitwa Renatus Vincent.

Afisa huyu baada ya kumpa documents zangu alinihoji vizuri na akaniambia nimpe namba ya mzazi ili aongee naye kama ni kweli hivyo basi baada ya kumpigia hawakuelewana vizuri sababu ya kelele ikabidi afisa huyo aniambie nilipie na kwenda kupiga picha na kuweka fingerprint hivyo ataongea naye kwa muda wake. Nakumbuka nilipoenda kupiga picha nikapewa tarehe ambayo naikumbuka 24/01/2022 ya kwenda kuchukua passport posta.

Lakini nilipoenda kuchukua passport sikuikuta zaidi niliambiwa kuna document ambayo haipo hivyo nirudi tena Kurasini kwa yule afisa. Hivyo nilipoenda kwa yule afisa akaniambia bado hajaongea na mzazi nimpe muda aongee naye, nakumbuka Ijumaa nilipompigia sababu alinipa namba alisema siwezi kupata passport sababu mzazi kashindwa kujieleza vizuri na ikizingatia anatokea Kigoma.

Hivyo ikabidi niwatoe wazazi mkoani waje hapa Kurasini kuhojiwa vizuri lakini afisa huyo alikataa kabisa kusaidia zaidi ya kusema Mimi siyo Mtanzania hivyo nimpe milioni 1 anisaidie au niombe uraia. Baada ya kuona hanisaidii ikabidi niende kwa kiongozi wake ambaye ni PCO kwa jina la pale anaitwa mama Dora ingawa sasa hayupo.

Kiongozi huyu hakuonesha kunisaidia sababu alikuwa upande wa yule afisa naye alitaka nitoe hiyo pesa. Ikabidi nitafute msaada zaidi sababu hakuna anayenisaidia ikabidi nitafute namba ya kamishina wa passport kwa jina anaitwa Gerald Kihinga, nakumbuka nilipompigia simu kumweleza changamoto yangu alisikitika sana akaniambia niende nipewe passport sababu yeye alikuwa amesafiri yupo Kagera.

Nilipoenda Kurasini yule afisa pamoja na yule PCO wakaniambia watanipa passport ya miaka 5 wakasema niende nikachukue posta. Nakumbuka ilikuwa Jumatatu nilipoenda pasta niliambiwa haipo ikabidi nimpigie tena Kihinga nakumbuka aliniambia njoo huku Kurasini.

Hivyo basi nilipokuwa namngoja Kihinga ndani ya ofisi yake ghafla akatokea PCO, nakumbuka aliniambia kwa hiyo umekuja kunisemea kwa boss wangu? Basi PCO yule akanifukuza nisionane na kamishina akanipeleka ofisini kwake pia akamuita yule afisa wa mwanzo then Mimi wakanitoa nje wakabaki wawili nakumbuka walikaa kama nusu saa then wakanichukua hadi kwa Kihinga na wakati wanaingia wakaniambia nibaki nje kwanza hivyo sijui kilichoendelea ndani ndo nikaitwa ndani baada ya dakika 30 basi Kihinga akabadilika akasema nitoe milioni 1 niombe uraia.

Sasa nikawa sina mtetezi tena ikabidi nitafute mbunge wangu ambaye alikuwa Kitila Mkumbo nikampigia simu nikamueleza hakika nakumbuka alisikitika sana akasema hata yeye mke wake jambo hili liliwahi kumkuta hivyo ndo maisha akasema ngoja awasiliane na uhamiaji.

Nakumbuka alinipigia Ijumaa jioni saa mbili usiku aliniambia Jumatatu niende uhamiaji kwa Kamishina sababu jambo limekaa sawa. Basi Jumatatu na mapema nikadamka hadi kwa Kihinga, lakini bado alisema nitoe milioni 1 ili anipe mtu anisaidie. Ikabidi niende siku nyingine nakumbuka siku hiyo nilienda nimevaa nguo nyekundu hakika nakumbuka siku hiyo msaidizi wa kamishina aliniambia niende nje nikatafute nguo nyingine nivae sababu nguo ile ilikuwa nyekundu kama jezi ya simba na ukizingatia kamishina alikuwa ni Yanga na walikuwa wamefungwa siku iliyopita na Simba, yule msaidizi alisema hatanisikiliza na hiyo nguo bora urudi uje wakati mwingine. Basi ikabidi nimpigie tena Kitila Mkumbo kumwambia kwamba bado wanataka pesa nakumbuka alisema watafutie tu wape kwani siunaenda kusoma nje sasa pesa hiyo itakushinda nini?

Basi hadi leo nikimtafuta hapokei wala hajibu SMS kama mwanzo, ikabidi nianze kumtafuta Waziri wa Mambo ya ndani ambaye alikuwa Masauni, nikafanikiwa kupata namba zake nikampigia pia nikamtumia ujumbe kwa njia ya WhatsApp alinijibu akanipa namba ya kamishina mkuu wa uhamiaji akasema nimtafute. Siku iliyofuata nikamtafuta akasema niende uhamiaji, nakumbuka nilipoenda afisa wakanikataza kuingia wakisema wewe ni nani umepata wapi namba ya mheshimiwa na kwanini umtafute basi tuwambie sisi una shida gani.

Ikabidi niende siku yake, nakumbuka nilienda asubuhi lakini nilionana naye saa kumi jioni. Akaniita akanihoji pia akamuita yule afisa lakini nasikitika yule afisa akaanza kuongea uongo kwamba nipipofika mapokezi watoa huduma walinishuku kwamba Mimi siyo RAIA.

Basi kamishina akasema niende nitafute cheti cha kuzaliwa cha bibi au babu then nimpe yule afisa wa mwanzo. Nilipoenda kutafuta nikakosa nikamfata yule afisa kumwambia nimekosa ila nina barua ya kiapo lakini yule afisa alikataa na akisema kesi haipo kwake hivyo ipo kwa Kamishna mkuu, sasa nikajikuta sina msaada tena nikimpigia kamishina anasema nilikupa mtu na yule mtu nikimfata anasema kesi yako iko juu

Basi ikabidi niandikie barua tena kwa Waziri wa Mambo ya ndani wa sasa lakini tokea mwezi wa kwanza sijajibiwa hivyo nakosa msaada.

Naomba mheshimiwa Rais na viongozi wengine watakaoguswa jambo hili naomba msaada
 
OK samahani wakuu kama hamjuanielewa vizuri. Mwaka 2022 nilipata ufadhili wa masomo hivyo ikabidi niende kurasini kuomba passport ,nilienda na documents zote kama utambulisho wangu.nilipofika mapokezi nikasikilizwa vizuri na nikaambiwa niende chumba namba 115 kwa afisa aliyeitwa renatus Vincent. Afisa huyu baada ya kumpa documents zangu alinihoji vizuri na akaniambia nimpe namba ya mzazi ili aongee naye kama ni kweli hivyo basi baada ya kumpigia hawakuelewana vizuri sababu ya kelele ikabidi afisa huyo aniambie nilipie na kwenda kupiga picha na kuweka fingerprint hivyo ataongea naye kwa mda wake .nakumbuka nilipoenda kupiga picha nikapewa talehe ambayo naikumbuka 24/01/2022 ya kwenda kuchukua passport posta. Lakini nilipoenda kuchukua passport sikuikuta zaidi niliambiwa kuna document ambayo haipo hivyo nirudi tena kurasini kwa yule afisa.hivyo nilipoenda kwa yule afisa akaniambia bado hajaongea na mzazi nimpe mda aongee naye, nakumbuka ijumaa nilipompigia sababu alinipa namba alisema siwezi kupata passport sababu mzazi kashindwa kujieleza vizuri na ikizingatia anatokea kigoma. Hivyo ikabidi niwatoe wazazi mkoani waje hapa kurasini kuhojiwa vizuri lakini afisa huyo alikataa kabisa kusaidia zaidi ya kusema Mimi siyo Mtanzania hivyo nimpe milioni 1 anisaidie au niombe uraia. Baaada ya kuona hanisaidii ikabidi niende kwa kiongozi wake ambaye ni PCO kwa jina la pale anaitwa mama Dora ingawa sasa hayupo.kiongozi huyu hakuonesha kumisaidia sababu alikuwa upande wa yule afisa naye alitaka nitoe hiyo pesa. Ikabidi nitafute msaada zaidi sababu hakuna anayenisaidia ikabidi nitafute namba ya kamishina wa passport kwa jina anaitwa Gerald kihinga ,nakumbuka nilipompigia simu kumweleza changamoto yangu alisikitika sana akaniambia niende nipewe passport sababu yeye alikuwa amesafiri yupo kagera. Nilipoenda kurasini yule afisa pamoja na yule PCO wakaniambia watanipa passport ya miaka 5 wakasema niende kiachukue posta.nakumbuka ilikuwa jumatatu nilipoenda pasta lakini nilipoenda niliambiwa haipo ikabidi nimpigie tena kihinga nakumbuka aliniambia njoo huku kurasini. Hivyo basi nilipokuwa namngoja kihinga ndani ya ofisi yake ngafula akatokea PCO nakumbuka aliniambia kwahyo umekuja kunisemea kwa boss wangu? Basi PCO yule akanifukuza nisionane na kamishina akanipeleka ofisini kwake pia akamuita yule afisa was mwanzo then Mimi wakanitoa nje wakabaki wawili nakumbuka walikaa kama nusu saa then wakanichukua hadi kwa kihinga na wakati wanaingia wakaniambia nibaki nje kwanza hivyo sijui kilichoendelea ndani ndo nikaitwa ndani baada ya dakika 30 basi kihinga akabadilika akasema nitoe milioni 1 niombe uraia .sasa nikawa sina mtetezi tena ikabidi nitafute mbunge wangu ambaye alikuwa kitila mkumbo nikampigia simu nikamueleza hakika nakumbuka alisikitika sana akasema hata yeye mkewake jambo hili liliwahi kumkuta hivyo ndo maisha akasema ngoja awasiliane na uhamiaji.nakumbuka alinipigia ijumaa jioni saa mbili usiku aliniambia jumatatu niende uhamiaji kwa Kamishina sababu jambo limekaa sawa.basi jumatatu na mapema nikadamka hadi kwa kihinga ,lakini bado alisema mitoe milioni 1 ili anipe mtu anisaidie.ikabidi niende siku nyingine nakumbuka siku hiyo nilienda nimevaa nguo nyekundu hakika nakumbuka siku hiyo msaidizi wa kamishina aliniambia niende nje nikatafute nguo nyingine nivae sababu nguo ile ilikuwa nyekundu kama jenzi ya simba na ukizingatia kamishina alikuwa ni yanga na walikuwa wamefungwa siku iliyopita na simba.yule msaidizi alisema hatikusikiliza nahiyo nguo bora urudi uje wakati mwingine.basi ikabidi nimpigie tena kitila mkumbo kumwambia kwamba bado wanataka pesa nakumbuka alisema watafutie tu wape kwani siunaenda kusoma nje sasa pesa hiyo itakushinda nini? Basi hadi leo nikimtafuta hapokei wala hajibu SMS kama mwanzo.ikabidi nianze kumtafuta waziri wa mambo ya ndani ambaye alikuwa masauni ,nikafanikiwa kupata namba zake nikampigia pia nikamtumia ujumbe kwa njia ya WhatsApp alinijibu akanipa namba ya kamishina mkuu wa uhamiaji akasema nimtafute .siku iliyofuata nikamtafuta akasema niende uhamiaji nakumbuka nilipoenda afisa wakanikataza kuingia wakisema wewe ni nani umepata wapi namba ya mheshimiwa na kwanini umtafute basi tuwambie sisi unashida gani. Ikabidi niende siku yake nakumbuka nilienda asubuhi lakini nilionana naye saa kumi jioni.akaniita akanihoji pia akamuita yule afisa lakini nasikitika yule afisa akaanza kuongea uongo kwamba nipipofika mapokezi watoa huduma walinishuku kwamba Mimi siyo RAIA. Basi kamishina akasema niende nitafute cheti cha kuzaliwa cha bibi au babu then nimpe yule afisa was mwanzo. Nilipoenda kutafuta nikakosa nikamfata yule afisa kumwambia nimekosa ila nina barua ya kiapo lakini yule afisa alikataa na akisema kesi haipo kwake hivyo ipo kwa kishina mkuu.sasa nikajikuta sina msaada tena nikimpigia kamishina anasema nilikupa mtu na yule mtu nikimfata anasema kesi yako iko juu .basi ikabidi niandikie barua tena kwa waziri wa mambo ya ndani wa sasa lakini tokea mwezi wa 1 haijajibiwa hadi sasa.hii ni kiufupi hali inavyoendelea kwahyo nakosa msaada sababu kila hatua nimefanya ya kuomba msaada bila mafanikio na ukitegemea tunapambania ndoto zetu na taifa kwa ujumla ,naombeni msaada hakika nimehangaika sana
Pole sana Mkuu, hakika umepitia mateso ambayo haukustahili. Watanzania wenzetu wamekosa utu kiasi hiki kisa shilingi milioni 1 tu.

Lakini kwa maelezo yako naona upo hatua za mwisho kabisa kuipata hati yako ya kusafiria, usikate tamaa endelea kuwasumbua.
 
Hivi Ndivyo Ulipaswa Ujieleze Apo Awali Ili uweze Kusaidika. Sio Unajieleza Nimechoka! Nimechoka! Nimechoka! Unatuchanganya.
 
Pole sana Mkuu, hakika umepitia mateso ambayo haukustahili. Watanzania wenzetu wamekosa utu kiasi hiki kisa shilingi milioni 1 tu.

Lakini kwa maelezo yako naona upo hatua za mwisho kabisa kuipata hati yako ya kusafiria, usikate tamaa endelea kuwasumbua.
Asante sana mkuu
 
Ecclesiastes 8:9.. "I saw all these things that happen on the earth. I thought about them a lot. I thought about the things that happen on the earth. I SAW THAT PEOPLE SOMETIMES USE THEIR POWER TO HURT OTHER PEOPLE.."

So sad...
 
Mwaka 2022 nilipata ufadhili wa masomo hivyo ikabidi niende kurasini kuomba passport ,nilienda na documents zote kama utambulisho wangu.nilipofika mapokezi nikasikilizwa vizuri na nikaambiwa niende chumba namba 115 kwa afisa aliyeitwa renatus Vincent. Afisa huyu baada ya kumpa documents zangu alinihoji vizuri na akaniambia nimpe namba ya mzazi ili aongee naye kama ni kweli hivyo basi baada ya kumpigia hawakuelewana vizuri sababu ya kelele ikabidi afisa huyo aniambie nilipie na kwenda kupiga picha na kuweka fingerprint hivyo ataongea naye kwa mda wake .nakumbuka nilipoenda kupiga picha nikapewa talehe ambayo naikumbuka 24/01/2022 ya kwenda kuchukua passport posta. Lakini nilipoenda kuchukua passport sikuikuta zaidi niliambiwa kuna document ambayo haipo hivyo nirudi tena kurasini kwa yule afisa.hivyo nilipoenda kwa yule afisa akaniambia bado hajaongea na mzazi nimpe mda aongee naye, nakumbuka ijumaa nilipompigia sababu alinipa namba alisema siwezi kupata passport sababu mzazi kashindwa kujieleza vizuri na ikizingatia anatokea kigoma. Hivyo ikabidi niwatoe wazazi mkoani waje hapa kurasini kuhojiwa vizuri lakini afisa huyo alikataa kabisa kusaidia zaidi ya kusema Mimi siyo Mtanzania hivyo nimpe milioni 1 anisaidie au niombe uraia. Baaada ya kuona hanisaidii ikabidi niende kwa kiongozi wake ambaye ni PCO kwa jina la pale anaitwa mama Dora ingawa sasa hayupo.kiongozi huyu hakuonesha kumisaidia sababu alikuwa upande wa yule afisa naye alitaka nitoe hiyo pesa. Ikabidi nitafute msaada zaidi sababu hakuna anayenisaidia ikabidi nitafute namba ya kamishina wa passport kwa jina anaitwa Gerald kihinga ,nakumbuka nilipompigia simu kumweleza changamoto yangu alisikitika sana akaniambia niende nipewe passport sababu yeye alikuwa amesafiri yupo kagera. Nilipoenda kurasini yule afisa pamoja na yule PCO wakaniambia watanipa passport ya miaka 5 wakasema niende kiachukue posta.nakumbuka ilikuwa jumatatu nilipoenda pasta lakini nilipoenda niliambiwa haipo ikabidi nimpigie tena kihinga nakumbuka aliniambia njoo huku kurasini. Hivyo basi nilipokuwa namngoja kihinga ndani ya ofisi yake ngafula akatokea PCO nakumbuka aliniambia kwahyo umekuja kunisemea kwa boss wangu? Basi PCO yule akanifukuza nisionane na kamishina akanipeleka ofisini kwake pia akamuita yule afisa was mwanzo then Mimi wakanitoa nje wakabaki wawili nakumbuka walikaa kama nusu saa then wakanichukua hadi kwa kihinga na wakati wanaingia wakaniambia nibaki nje kwanza hivyo sijui kilichoendelea ndani ndo nikaitwa ndani baada ya dakika 30 basi kihinga akabadilika akasema nitoe milioni 1 niombe uraia .sasa nikawa sina mtetezi tena ikabidi nitafute mbunge wangu ambaye alikuwa kitila mkumbo nikampigia simu nikamueleza hakika nakumbuka alisikitika sana akasema hata yeye mkewake jambo hili liliwahi kumkuta hivyo ndo maisha akasema ngoja awasiliane na uhamiaji.nakumbuka alinipigia ijumaa jioni saa mbili usiku aliniambia jumatatu niende uhamiaji kwa Kamishina sababu jambo limekaa sawa.basi jumatatu na mapema nikadamka hadi kwa kihinga ,lakini bado alisema mitoe milioni 1 ili anipe mtu anisaidie.ikabidi niende siku nyingine nakumbuka siku hiyo nilienda nimevaa nguo nyekundu hakika nakumbuka siku hiyo msaidizi wa kamishina aliniambia niende nje nikatafute nguo nyingine nivae sababu nguo ile ilikuwa nyekundu kama jenzi ya simba na ukizingatia kamishina alikuwa ni yanga na walikuwa wamefungwa siku iliyopita na simba.yule msaidizi alisema hatikusikiliza nahiyo nguo bora urudi uje wakati mwingine.basi ikabidi nimpigie tena kitila mkumbo kumwambia kwamba bado wanataka pesa nakumbuka alisema watafutie tu wape kwani siunaenda kusoma nje sasa pesa hiyo itakushinda nini? Basi hadi leo nikimtafuta hapokei wala hajibu SMS kama mwanzo.ikabidi nianze kumtafuta waziri wa mambo ya ndani ambaye alikuwa masauni ,nikafanikiwa kupata namba zake nikampigia pia nikamtumia ujumbe kwa njia ya WhatsApp alinijibu akanipa namba ya kamishina mkuu wa uhamiaji akasema nimtafute .siku iliyofuata nikamtafuta akasema niende uhamiaji nakumbuka nilipoenda afisa wakanikataza kuingia wakisema wewe ni nani umepata wapi namba ya mheshimiwa na kwanini umtafute basi tuwambie sisi unashida gani. Ikabidi niende siku yake nakumbuka nilienda asubuhi lakini nilionana naye saa kumi jioni.akaniita akanihoji pia akamuita yule afisa lakini nasikitika yule afisa akaanza kuongea uongo kwamba nipipofika mapokezi watoa huduma walinishuku kwamba Mimi siyo RAIA. Basi kamishina akasema niende nitafute cheti cha kuzaliwa cha bibi au babu then nimpe yule afisa was mwanzo. Nilipoenda kutafuta nikakosa nikamfata yule afisa kumwambia nimekosa ila nina barua ya kiapo lakini yule afisa alikataa na akisema kesi haipo kwake hivyo ipo kwa kishina mkuu.sasa nikajikuta sina msaada tena nikimpigia kamishina anasema nilikupa mtu na yule mtu nikimfata anasema kesi yako iko juu .basi ikabidi niandikie barua tena kwa waziri wa mambo ya ndani wa sasa lakini tokea mwezi wa kwanza sijajibiwa hivyo nakosa msaada.naomba mheshimiwa rais na viongozi wengine watakaoguswa jambo hili naomba msaada
Duh,pole sana mkuu.Ungeelezea hivi toka mwanzo hata kauli za kejeli za wadau usingepata zaidi ya kusikitika na kuhuzunishwa na huduma mbovu kwenye ofisi za serikali.

Wachezaji juzi kati tu wamepewa uraia wa mchongo na pengine pasipoti juu ,mtu aliyeishi miaka na miaka anazungushwa namna hii.
 
1. Hii ndio Tanzania ninayoijua Mimi.

Mambo Kama haya ndio sababu mojawapo iliyowalazimisha M23 kule Kivu kuanzisha vurumai dhidi ya Utawala wa nchi hiyo ya DRC. Watu wanaoishi pembezoni mwa nchi hiyo ya DRC wamekuwa wakibaguliwa na kutengwa na Utawala wa huko eti kwa sababu kwamba wao siyo Raia wa nchi hiyo ya DR Congo. Mwendelezo wa vitendo vya namna hii ndio vimesababisha Wananchi wengi Sana wa Kivu, Goma, Bukavu na Watu wengine kutoka katika majimbo mengine ya pembezoni mwa nchi hiyo kujihisi kwamba wao siyo sehemu mojawapo ya Utawala kwenye nchi hiyo, na matokeo yake sasa wameamua kuwaunga mkono M23.

Watanzania tunapaswa tujifunze kitu kutokana na hilo suala linaloendelea kwa majirani zetu wa huko DR Congo. Tusirudie kufanya makosa yale yale ambayo wenzetu yanawagharimu kwa Sasa.

2. Kwa maoni yangu, endapo kama kweli huyo Mtu siyo Raia wa Tanzania, basi Uhamiaji walipaswa kumhudumia kulingana na hadhi yake ya Uraia wake endapo kama kweli haiwezekani kabisa kumpatia Hati ya Kusafiria (Passport) ya nchi hii ya Tanzania. Kwa msaada wa haraka kwake, Uhamiaji wangempatia hadhi ya Ukimbizi au kumpatia hadhi ya Raia Asiyekuwa na Nchi, hivyo mhusika angeweza kusaidika kwa kupata Hati ya Kusafiria (Passport) ya Kimataifa ambazo huwa zinatolewa kwa Watu au Raia Wasiokuwa na Nchi. Hii ingeweza kumsaidia Mhusika katika kutatua tatizo lake.
 
Inasikitisha ,inaumiza sn.Tanzania nchi ya hovyo kupita kiasi.

Mama Samia unaona haya?

Huku Arusha tunakatiwa maji kwa madeni ya kubambikiza.
Dar BALAA bili za wahindi mkuu mnalioannyie
 
Inasikitisha ,inaumiza sn.Tanzania nchi ya hovyo kupita kiasi.

Mama Samia unaona haya?

Huku Arusha tunakatiwa maji kwa madeni ya kubambikiza.
Huyo unayemlilia naye ni kama mgeni kwenye nchi hii
 
Kote huko umekwama kuna shida,,,, kuna namna maelezo yako hayako clear! Tafuta doc zote muhimu, like vyeti vya wazaz ikiwezekana na babu vya kuzaliwa (nenda RITA) Dom, ishu ya uraia ni ngumu sana hasa kwenu wakazi wa kigoma,,,,kuna muingiliano sana ,,! Anza tena form the scratch ukiwa na hizo supporting documents, ikiwezekana na hati za viapo,,,, Sasa wewe naona ni mzee wa kususa, ukikataliwa ofic hii, unaenda ya juu unadhan ndo utasaidika ? Ishu ya uraia sio nyepes kama unavyofikiri,,, ikitokea umefanya la kufanya huko nje, alafu ukute una passport ya bongo, badae wagundue sio mmbongo huoni unaharibu image ya taifa ! Acha kukurupuka ! You need time
 
Back
Top Bottom