Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

Pole kwa changamoto yako, tunafahamu ni kweli Kigoma kuna watu wasio watanzania kujichanganya na raia wa Tanzania mwishoe wanasema ni raia hivyo basi Uhamiaji wanastahili kuchunguza kwa kina na kupata uhakika wa uraia wako ila sio kukunyima passport bila uchunguzi.

Pia hakikisha umejaza fomu zako vizuri, kukosea fomu kunaweza kuleta utata na mkanganyiko kama huu ulionao.
 
Huyu ana hoja ya kuchanganya uraia hilo swala lake kwa hatua alizoenda lingeshafanyiwa utatuzi kinachomuuma hapo kukosa hiyo nafasi ya kwenda kusoma nje.WARUNDI WENGI WAMEPENYA HUMU TANZANIA KWA KUJIITA WAHA,WASHUBI,WASUBI NA WAHANGAZA
 
Sema shida dadavua bayana iliyo ya kweli, umeongea unailalia kama shoga acha ufala wa aina hio
 
Kwahyo tukusaidie kulalamika bila kujua tatizo...?sawa usione tuna roho mbaya wacha nikusaidie "MH RAIS MSAIDIE HUYU NDUGU AMECHOKA AMECHOKA AMECHOKA"
Kumbe anataka Passport.

Alishindwa kujieleza vizuri hapo awali kweli inawezekana sio mtanzania!
 
Bado hujaliona tatizo lako hapo? Mama yako kama ni Mtanzania anashindwa vipi kujieleza?
Hivi kisandu yupoo
Anaitwa DJ Namilson, sijui kana kaenda kwao Marekani au kafia wapi!
Mkuu sijayakanyaga ndugu yangu naimani nimeeleza vizuri
Wewe wasema, lakini mimi siyo immigration bado maelezo yako yana ukakasi.
Je, ipi hasa remedy ya kosa la namna hiyo? Ni kwamba hakuna kabisa suluhisho la tatizo la namna hiyo zaidi ya Mwombaji kunyimwa Passport?
Passport ni mali ya Jamhuri, ukiweza kueleza kwa misingi ya kisheria kwa nini uapply passport mbili utaeleweka, kama hujadeal na hizi mambo hujui seriously problem aliyocomit mleta mada.

Kwanza hii mifumo ya biometric fingerprint na passport mpya vimeletwa kudhibiti udanganyifu na mleta mada amenaswa na mfumo baada ya kufanya udanganyifu.
Nani amemuelwe anieleweshe?/ alfu Mkuu ukihitaji msaada Fongokaaa usaidiwe
Yeye mwenyewe hajielewi, unategemea utamuelewa?
Et siyo RAIA wa TANZANIA na kauli hii ilianza baada ya Mimi kushindwa kutoa ile million 1
Thibitisha uraia wako simple tu, mama yako mzazi tu ameshindwa kujieleza.
Mkuu mbona nimeeleza kila kitu
Bado hujasema.
Et mama katokea Kongo baba Burundi
Thibitisha uraia wao wa kuzaliwa ni rahisi tu, vyeti vya ubatizo au shule walizosoma.

Tena kwa issue ya passport wazazi huwa inahitajika Arfidavit tu.
 
Kumbe anataka Passport.

Alishindwa kujieleza vizuri hapo awali kweli inawezekana sio mtanzania!
Mkuu wa Majeshi Nkunda alishatowa tahadhari, Tanzania kuna wageni wengi wameingia mpaka kwenye vyombo vya serikali.
 
1. Kama siyo Raia wa Tanzania, Je, mleta mada anaishi nchini Tanzania akiwa na hadhi ipi hasa kuhusu uraia wake?
a) Ni Mhamiaji haramu??
b) Ni Mkimbizi??
c) Au ni Raia asiye na nchi??

Kila tatizo hapa juu Lina suluhisho lake kisheria.
2. (a) Kama ni Mhamiajj haramu, anapaswa kuwa Deported out of the Country to his country of the origin.

(b) Kama ni Mkimbizi, basi apewe Nyaraka za kusafiria kulingana na Hadhi yake ya Ukimbizi. Serikali ina wajibu wa kufanya hivyo au imfukuze mtu huyo kuondoka hapa nchini Tanzania.

(c) Endapo kama ni Raia asiye na Nchi, basi Serikali au Mamlaka zingine zenye uhusiano wa kiutendaji na Serikali impatie Mtu huyu Hati ya Kusafiria ya Kimataifa (International Passport or International Travel Document)
 
Huyu ana hoja ya kuchanganya uraia hilo swala lake kwa hatua alizoenda lingeshafanyiwa utatuzi kinachomuuma hapo kukosa hiyo nafasi ya kwenda kusoma nje.WARUNDI WENGI WAMEPENYA HUMU TANZANIA KWA KUJIITA WAHA,WASHUBI,WASUBI NA WAHANGAZA
Kweli kafika Hadi pale kwa CGI. Hapo shida kweli huwenda Uraia wake unamashaka. Hili lipo sana kweli kwa watu wa Kanda hizo na mipakani
 
Kweli kafika Hadi pale kwa CGI. Hapo shida kweli huwenda Uraia wake unamashaka. Hili lipo sana kweli kwa watu wa Kanda hizo na mipakani
Kumbe anataka Passport.

Alishindwa kujieleza vizuri hapo awali kweli inawezekana sio mtanzania!
Huyu ana hoja ya kuchanganya uraia hilo swala lake kwa hatua alizoenda lingeshafanyiwa utatuzi kinachomuuma hapo kukosa hiyo nafasi ya kwenda kusoma nje.WARUNDI WENGI WAMEPENYA HUMU TANZANIA KWA KUJIITA WAHA,WASHUBI,WASUBI NA WAHANGAZA

Tatizo hilo la mleta mada Serikali inawajibika nalo moja kwa moja katika kulipatia Ufumbuzi hata kama itathibitika kwa vielelezo kwamba kweli mleta mada siyo Raia wa Tanzania.

1. Kama siyo Raia wa Tanzania, Je, mleta mada anaishi nchini Tanzania akiwa na hadhi ipi hasa kuhusu uraia wake?
a) Ni Mhamiaji haramu??
b) Ni Mkimbizi??
c) Au ni Raia asiye na nchi??

Kila tatizo hapa juu Lina suluhisho lake kisheria.
2. (a) Kama ni Mhamiajj haramu, anapaswa kuwa Deported out of the Country to his country of the origin.

(b) Kama ni Mkimbizi, basi apewe Nyaraka za kusafiria kulingana na Hadhi yake ya Ukimbizi. Serikali ina wajibu wa kufanya hivyo au imfukuze mtu huyo kuondoka hapa nchini Tanzania.

(c) Endapo kama ni Raia asiye na Nchi, basi Serikali au Mamlaka zingine zenye uhusiano wa kiutendaji na Serikali impatie Mtu huyu Hati ya Kusafiria ya Kimataifa (International Passport or International Travel Document)
 
Sijui Raisi Nini Nini..sijui amfanyie Nini...hata sikumwelewa..nikasepa zangu
 
Mkuu nimeshafanya hivyo
 
Umegeneralize mno, be specific wapi na wapi ulifanyiwa nini.
 
Wewe ni muongo, kama ni mkweli kuna part umetuficha kwa makusudi, eti "ALIKUA KWENYE KELELE " 😂😂, kwanza mtake radhi engineer Masauni
 
Watu miungu serikalini wapo kuwasumbua watu tu. Kukomesha hili ilikua kuweka miamala yote online na inafuatiliwa na watu maalum nje ya idara husika.
Mola atakufungulia suluhisho na faraja, usikate tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…