mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Mkuu Jongwe hii PC itakuwa ya kuchezea Games tu. Sidhani Kama mambo sensitive urusi Wana ya reveal kiwango hichoKwanini Urusi wasitengeneze OS yao ambayo ni salama zaidi?
Hata ile KASPERSKY ni American modified, na wala haitumiki kwenye computer za Rais.Hakuna aliyesema XP ya Mrussi, walisema "Russian modified XP". But i sensed sarcasm in you!.
get the picture!?.
show me a modified anti-virus and i will show you a modified Window!. Hivi unajua saga walopitia kaspersky usa!?.Hata ile KASPERSKY ni American modified, na wala haitumiki kwenye computer za Rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iliyokufa chini ya Gorbachiev ilikuwa Umoja wa Nchi za Kisovieti za Kirusi (USSR)
Wewe je, unaamini nini?Kwahiyo mnaamini kabisa kwamba hiyo Ni xp........OK
Naamini hiyo sio xpWewe je, unaamini nini?
Basi, sawa!Naamini hiyo sio xp
Window sio open source mkuuHiyo ya Putin ni Windows XP jina tu.
Ndani kiutendaji na usalama ni tofauti sana.
Watakuwa wamesha modify vitu vingi mno kukabiliana na software bugs au back doors zozote.
Kwani wewe ukiwa na copy ya window ukafanya tweaking kidogo na ukaitumia mwenyewe bila kuuza ni kosa?Window sio open source mkuu
Hiyo ya Putin ni Windows XP jina tu.
Ndani kiutendaji na usalama ni tofauti sana.
Watakuwa wamesha modify vitu vingi mno kukabiliana na software bugs au back doors zozote.
Neno "salama" linahitaji uchambuzi wa kina ila kwa kifupi tu ni kwamba,Linux os vs windows os ipi salama zaidi?
Hahahaha words