Rais Vladimir Putin mpaka leo bado anatumia 'Windows XP'

Rais Vladimir Putin mpaka leo bado anatumia 'Windows XP'

Hiyo ya Putin ni Windows XP jina tu.
Ndani kiutendaji na usalama ni tofauti sana.
Watakuwa wamesha modify vitu vingi mno kukabiliana na software bugs au back doors zozote.
Window sio open source mkuu
 
Window sio open source mkuu
Kwani wewe ukiwa na copy ya window ukafanya tweaking kidogo na ukaitumia mwenyewe bila kuuza ni kosa?
Au Microsoft watapoteza nini hadi wakushitaki wakati haujasambaza na kujipatia pesa kupia hiyo kazi yao?

Watu wangapi wana copy righted software wamezifanyia modification na hawajashitakiwa? tatizo ukitaka kuuza au kufanyia uhalifu bidhaa yao.

Kwani ni lazima wawaambie Microsoft kama wame-modify software yao?
 
Hiko hivi, microsoft wakiacha kusuport version flan ya windows ni kwa mass public, ila kama unatumia enterprise na unapenda kuendelea na hio windows utakua unalipia kupewa patches:

tuseme leo watu bado wanatumia ubuntu, windows 98 na huwezi kuwaskia wamepata matatizo yoyote, ukiwa una update each now and then means unaanza upya, leo hii kama unatumia chrome huezi sema upo salama, whatsapp, facebook: putin anaweza sema yupo salama kwa sababu hackers hua wanatarget mass members: its very hard for you to target something haujui wapo patch number ngap na wamefix nn, tuseme unatumia windows 10 na patch imefix security hole flan, kila mtu atajua but huezi jua putin amewekewa patch gan
 
Linux os vs windows os ipi salama zaidi?
Neno "salama" linahitaji uchambuzi wa kina ila kwa kifupi tu ni kwamba,
Windows ina user base kubwa zaidi hivyo ni rafiki zaidi kwa hackers. Maana yake ni kwamba, kutokana na Windows kuwa na watumiaji wengi wa kawaida (normal users) inapelekea kulengwa zaidi na wadukuzi.

Linux ni open-source na inaweza kufanyiwa customization kwa kiasi kikubwa cha kuweza kusaidia kupunguza 'mianya' ya mashambulizi. Hilo linategemea pia na mtumiaji mwenyewe maana asipoweza kufanya hilo kwa usahihi, huo usalama hautokuwepo sana.

More customization pia ina hasara zake. Ili kuipa system yako usalama zaidi itahitajika pia kuzifungia (disable) features kadhaa. Maana yake ni kwamba mtumiaji analazimika 'kujinyima' baadhi ya vitu katika system yake ili kufidia uwepo wa usalama zaidi katika system husika.

Tofauti kubwa pia ipo katika management.
Operating Systems zote hizo haziko salama kwa asilimia 100. Hata na nyinginezo nyingi pia ni vivyo hivyo! Ni jinsi gani mtumiaji anavyoweza kui-manage na ku-maintain system yake ndivyo anavyoweza kuifanya iwe more secure ama iwe less secure.
 
Computer hizi za latest generation halafu unaiwekea windows xp ni sawa na kuiwekea galaxy note 10 android 2.1.1, kwanza processor za kisasa hazija buniwa kuendana na mfumo endeshi wa xp.

Ni mfumo wa zamani mno, limitation kwenye perfomance na software ni mkubwa mno mfano window xp haiwezi kutumia processor 2 kurahisisha kumaliza task 1, pia kama sijasahau xp ni 32 bit, tazama sasa tupo kwenye 64 bit.

Updates hupati.

Binafsi unaweza kuta hizo ni user interface tu ila os haijulikani ama

Ikawa ni XP yenye kuboreshwa.

Ama ni trick ya kucheza na akili za maadui zao au hata mkakuta ni linux yenye ui ya xp
Mfano ukiona ui ya linux mint unajua ni ios kitakacho kushtua ni brand ya machine.

Kwa uelewa wangu mdogo nimefikiri hivyo.
 
Back
Top Bottom