Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Makubaliano gani si useme hapa na ushahidi utuwekee tuone.? Wabongo mnajifanyaga mnajua sana mambo kumbe ushuzi mtupu.America siyo mjinga kuna makubaliano tu yaliyofanyika na Taleban hawawezi kuondoka wakamuacha ADUI yao kuwa madarakani