Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Sioni Biden akirudi tena awamu ijayo,yale yale ya Trump yanaenda kujirudia.Biden kaenda Camp David atakuwa huko hadi Jumatano na wapambe wake kudeal na hizi crisis tatu. COVID-19, Afghanistan na Wazamiaji ambao wanazidi kumiminika mpakani na Mexico.