BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,043
Mkuu, Afghanistan wana rasilimali gani hadi waweze kuwalipa USD 6 trillion x 100?US hapo wamepata mara 100 ya hizo dola walizotumia!
Ndio mana mimi nikionaga wapinzani wanawashobokea hawa weupe napata hasira sana!
Ni kweli tawlaa zetu hasa waafrika zina shida, ila nikiona watu kama Lisu wameenda kwa hawa beberu kutafuta sapoti huwa nawadharau sana.