Rais wa Afghanistan kakimbia nchi!

America siyo mjinga kuna makubaliano tu yaliyofanyika na Taleban hawawezi kuondoka wakamuacha ADUI yao kuwa madarakani
Makubaliano gani si useme hapa na ushahidi utuwekee tuone.? Wabongo mnajifanyaga mnajua sana mambo kumbe ushuzi mtupu.
 
Taarifa za ndani zinasema 50% ya jeshi la serikali ya afghanistan ilikuwa upande wa taliban, so hilo hata yeye usa alilijua kabisa, ni kama alivoikimbia somalia miaka ya 90
Hizo taarifa za ndani umezipata wapi? Tuwekee hapa na sisi tuzione/ tuzisome
 
Nakumbuka Trump alishafanya kikao ma hawa Wataliban ma kukubaliana nao mambo kadhaa. Isije ikawa ndiyo walishaamua kuwarudisha madarakani
Kama Donald Trump alifanya nao hao Taliban kikao na kupanga kuwarudisha madarakani kwanini leo Trump anamlaumu Joe Biden kwa kuondoa majeshi huko Afghanistan?
 
kutafuta maisha mazuri kumefanya watu wakose uzalendo, wanaisaliti nchi ilimradi tu mambo yao yaende. UBINAFSI
 
Kama Donald Trump alifanya nao hao Taliban kikao na kupanga kuwarudisha madarakani kwanini leo Trump anamlaumu Joe Biden kwa kuondoa majeshi huko Afghanistan?
Means does not justfy the ends
 
PhD ya utapeli
 
Makubaliano gani si useme hapa na ushahidi utuwekee tuone.? Wabongo mnajifanyaga mnajua sana mambo kumbe ushuzi mtupu.
Niweke nini wewe hauoni, viwanja wa vya ndege mpaka muda huu vipo chini ya America.
Kaa chini ujiulize kwa nini Taliban hawajashambilia kiwanja cha ndege wakati Kabul yote wameteka.
Kuna makubaliano yalifanyika UEA Taliban ili waachie walitakiwa kuvunja ushirikiano na kundi la Al queda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…