Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Mwinyi aliwahi kuitisha Baraza la Mawaziri na kulivunja mbele yao

Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Mwinyi aliwahi kuitisha Baraza la Mawaziri na kulivunja mbele yao

Baada ya kulivunja maendeleo yalipatikana kwa kufufua uchumi uliokufa enzi za mtangulizi wake. Bidhaa dukani zilijaa kama vile unga, sukari, mchele, ngano, mafuta ya taa na ya kupikia, sabuni za kuogea na kufulia. Maduka makubwa nayo hayakuwa nyuma watu wakaanza kuingiza TV, Redio na vitu mbali mbali vinavyotumia umeme. Pia magari ya kila aina yakaanza kuingia kwa wingi yakiwemo mabasi ya abiria, barabara zikapanuliwa kutokana na mahitaji ya kipindi kile, moja ya barabara na alama aliyoacha Mwinyi ni hii ya morogoro road ambapo lile daraja la manzese lilijengwa wakati wa utawala wake, shule za serikali ziliongezeka, na za binafsi pia zikajengwa kwa wingi, nguo za mitumba na dukani zikaanza kuingia kwa wingi hata ww leo unavaa kiatu kizuri, jinsi zuri na unaenda kunyoa salon kwa mashine, hizo ni juhudi za Mwinyi ktk kuwaletea maendeleo raia wake. hapo sijataja hospital nyingi za serikali na private zilizojengwa kwa wingi chini ya utawala wake including madawa nk. Hakika Mwinyi ameifanyia mengi ya kiutu nchi hii, na alikuwa na uwezo wa kuthubutu bila kujali nani anasema nini.
Mkuu shule gani mojawapo ilijengwa?
 
Mhuu mfano mzuri, Rias ngoja akalie kiti vizuri mtaona cheche zake.
Atakalia vizuri lini? Muda unakwenda huu, asipojiamini na kuanza na serikali yake ajue tu hatakuwa na muda mrefu (One term President).
 
Kipindi hicho tulikuwa tunaongopeana tu huyu anaitwa Wan yu miluzi,Bruce mawani,Bruce kijeba, aisee kwa kweli tukikumbuka shida tulizokuwa tunapata kipindi kile halafu anakuja mtoto wa miaka ya90 anamtukana(mdhalau) Mzee Mwinyi unatamani kumchapa kibao
Hahahaha kweli kbs kaka
 
Walioahidi kuziondoa tembe na nyumba za nyasi bado ni walewale na ndio haohao wanaoahidi kushuka kwa bei za umeme na saruji....
Mzee Ruksa aliikuta nchi iko uchi.. baada ya kufilisiwa na "vita" pasipo kusahau "manyang'au" yaliyokuwa yamemzunguuka Mwalimu.
#Katiba mpya ndio suluhisho la sera na maendeleo...
Well said
 
Kwa mtazamo wako unaweza kuona kazi yake ilikuwa ndogo, ila lawama, fitna, majungu na chuki alivyovipata kutoka kwa mtangulizi wake, vilikuwa ni mzigo mkubwa kwake. mtangulizi aliona aliyoyafanya Mwinyi yalikuwa ya utu na yenye umuhimu mkubwa kwa taifa, kwahiyo mtangulizi aliona bila kumtengenezea Mwinyi majungu na chuki huenda legacy yake ingepotea kama chumvi majini
Lakini yeye ndiye alimpachika pale inaelekea alikuwa anamuamini kumbuka aliwahi kuwa raisi wa zanzibar kwa mwaka mmoja lakini bado akamuamini kwenye nafasi ya uraisi wa Tanzania.
 
Baada ya kulivunja maendeleo yalipatikana kwa kufufua uchumi uliokufa enzi za mtangulizi wake. Bidhaa dukani zilijaa kama vile unga, sukari, mchele, ngano, mafuta ya taa na ya kupikia, sabuni za kuogea na kufulia. Maduka makubwa nayo hayakuwa nyuma watu wakaanza kuingiza TV, Redio na vitu mbali mbali vinavyotumia umeme. Pia magari ya kila aina yakaanza kuingia kwa wingi yakiwemo mabasi ya abiria, barabara zikapanuliwa kutokana na mahitaji ya kipindi kile, moja ya barabara na alama aliyoacha Mwinyi ni hii ya morogoro road ambapo lile daraja la manzese lilijengwa wakati wa utawala wake, shule za serikali ziliongezeka, na za binafsi pia zikajengwa kwa wingi, nguo za mitumba na dukani zikaanza kuingia kwa wingi hata ww leo unavaa kiatu kizuri, jinsi zuri na unaenda kunyoa salon kwa mashine, hizo ni juhudi za Mwinyi ktk kuwaletea maendeleo raia wake. hapo sijataja hospital nyingi za serikali na private zilizojengwa kwa wingi chini ya utawala wake including madawa nk. Hela zikaanza kupatikana kwa wingi mitaani hata wauza miwa, machungwa, mihogo, samaki na chips mitaani nao walijenga. Hakika Mwinyi ameifanyia mengi ya kiutu nchi hii, na alikuwa na uwezo wa kuthubutu bila kujali nani anasema nini.
ukizingatia hapo mchonga alikuwepo lkn akatoa ruksa
 
Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa)

Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?"

Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? "

Ramadhan Kareem!
Mkuu source ya Uzi wako iko wapi?
 
Back
Top Bottom