Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Mwinyi aliwahi kuitisha Baraza la Mawaziri na kulivunja mbele yao

Mkuu shule gani mojawapo ilijengwa?
 
Mhuu mfano mzuri, Rias ngoja akalie kiti vizuri mtaona cheche zake.
Atakalia vizuri lini? Muda unakwenda huu, asipojiamini na kuanza na serikali yake ajue tu hatakuwa na muda mrefu (One term President).
 
Hahahaha kweli kbs kaka
 
Well said
 
Lakini yeye ndiye alimpachika pale inaelekea alikuwa anamuamini kumbuka aliwahi kuwa raisi wa zanzibar kwa mwaka mmoja lakini bado akamuamini kwenye nafasi ya uraisi wa Tanzania.
 
ukizingatia hapo mchonga alikuwepo lkn akatoa ruksa
 
Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa)

Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?"

Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? "

Ramadhan Kareem!
Mkuu source ya Uzi wako iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…