Tetetete
Tatizo hii misukule ya mwendazake akili hamna. Na ni mzigo kwa Taifa kuwa na misukule ya aina hii. Unaweza ukaomba vibaya kuwa nayo imfuate bosi waoHata lile Daraja la Manzese(Msufini)kipindi linajengwa na upanuzi wa ile barabara ya Morogoro yalikuwa ni maendeleo makubwa na yamfano kwa kipindi hicho
Mzee Ruksa alikuwa kauzu huwezi kumyumbisha!ukizingatia hapo mchonga alikuwepo lkn akatoa ruksa
Hii misukule ya Mwendazake inaamini kwamba nchi hii haijawahi kuwa na Rais bora kuliko Mwendazake, kumbe kinyume chake ni kwamba hatujawahi kuwa na Rais wa ajabu mwenye roho mbaya aliyekosa utu na mbinafsi anayefurahia kuumiza wengine kama mwendazake.Kipindi hicho tulikuwa tunaongopeana tu huyu anaitwa Wan yu miluzi,Bruce mawani,Bruce kijeba, aisee kwa kweli tukikumbuka shida tulizokuwa tunapata kipindi kile halafu anakuja mtoto wa miaka ya90 anamtukana(mdhalau) Mzee Mwinyi unatamani kumchapa kibao
Saiv naona umebadilika kabisa, umeacha ule ujinga ujinga wa Lumumba! Mshauri na wale kina bia yake, ussr, jingalao na stroke waache upuuzi ule hausaidii kitu...Sana.
Wewe ulikuwa hujafikiriwa kuzaliwa wakati huo!
Si kweli Warioba alishukuru . Bahati mbaya kwake kuna mtu moja (Manyama Mkondya) alimkatia rufaa kule bunda na kushinda kesi. Malecela akatolewa ubalozini UK na kuja kuchukuwa nafasi yake .Alikuwa Waryoba aliyeuliza akiwa waziri mkuu wakati huo ni katika kuweka rekodi sawa tu.
Kwakweli[emoji23][emoji23]Endeleeni kujifunza historia!
Alimpachika pale kwa lengo la kumshikia akili, amwambie Mwinyi fanya hivi au fanya vile nk. kumbuka moyo wa mtu msitu kwahiyo Mwinyi ukimuona kwa macho anaonekana ni mpole, lkn anachokiwaza akilini kwake hauwezi kukijua. Baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa CCM na nchi ikiwa chini ya mikono yake hapo ndo alipoanza kuonesha kuwa anaweza kufanya chochote mwenyew bila kushikiwa akili na mtu yoyote. Akaanza kwa kuufufua uchumi uliokufa enzi za mtangulizi wake, akaruhusu vitu viingie na vingine vitoke ili nchi iweze kupata hela za kigeni. Pesa ikawa nyingi mtaan hadi wauza kahawa, wachoma mahindi, wauza machungwa, mamantilie mitaani wakaanza kununua viwanja na kujenga sehem mbali mbali, mji ukapanuka, biashara zikawa nyingi, zahanati, mahospital, na maduka ya kuuza madawa yakawa mengi. I mean neema ikawa kubwa hata mtangulizi akapata tumbo joto la kupoteza heshima na legacy yake. Ndo hapo sasa akaanza kutupa madongo ya lawama kwa Mwinyi ili kujaribu kumfunga paka kengele, lkn Mwinyi alipuuza yale aliyoona hayana manufaa kwa taifa na kufanya yale aliyoona binafsi yana manufaa kwa taifa. Mema aliyofanya Mwinyi ktk nchi hii mengi ndugu nikisema niyataje siwezi kuyamaliza hapa. Kifupi huu mfumo unaoongoza leo pamoja na maendeleo muasisi wake ni MwinyiLakini yeye ndiye alimpachika pale inaelekea alikuwa anamuamini kumbuka aliwahi kuwa raisi wa zanzibar kwa mwaka mmoja lakini bado akamuamini kwenye nafasi ya uraisi wa Tanzania.
Kumbuka bado nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama alikuwa ana uwezo wa kumfanya kama JumbeAlimpachika pale kwa lengo la kumshikia akili, amwambie Mwinyi fanya hivi au fanya vile nk. kumbuka Mwinyi akimuona kwa macho ni mpole lkn anachokiwaza akilini kwake hauwezi kukijua. Baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa CCM na nchi ikiwa chini ya mikono yake hapo ndo alipoanza kuonesha kuwa anaweza kufanya chochote mwenyew bila kushikiwa akili na mtu yoyote. Akaanza kwa kuufufua uchumi uliokufa enzi za mtangulizi wake, akaruhusu vitu viingie na vingine vitoke ili nchi iweze kupata hela za kigeni. Pesa ikawa nyingi mtaan hadi wauza kahawa, wachoma mahindi, wauza machungwa, mamantilie mitaani wakaanza kununua viwanja na kujenga sehem mbali mbali, mji ukapanuka, biashara zikawa nyingi, zahanati, mahospital, na maduka ya kuuza madawa yakawa mengi. I mean neema ikawa kubwa hata mtangulizi akapata tumbo joto la kupoteza heshima na legacy yake. Ndo hapo sasa akaanza kutupa madongo ya lawama kwa Mwinyi ili kujaribu kumfunga paka kengele, lkn Mwinyi alipuuza yale aliyoona hayana manufaa kwa taifa na kufanya yale aliyoona binafsi yana manufaa kwa taifa. Mema aliyofanya Mwinyi ktk nchi hii mengi ndugu nikisema niyataje siwezi kuyamaliza hapa. Kifupi huu mfumo unaoongoza leo pamoja na maendeleo muasisi wake ni Mwinyi
Mwinyi alianza kuleta mapinduzi zaidi baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa CCM. Soma vizur post yang ya 107 utaenielewa. Na ndipo alipouwa azimio la Arusha maana aliona halina tija kwa maisha ya wananchi masikini. Wengi waliishi maisha ya ufukara chini ya azimio hilo bila faida yoyoteKumbuka bado nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama alikuwa ana uwezo wa kumfanya kama Jumbe
Okay, napata picha sasa ya kwanini mawaziri wengi wakuu wa sasa ni lazima wapambane wapite bila kupingwa ili isiwakute ya WariobaSi kweli Warioba alishukuru . Bahati mbaya kwake kuna mtu moja (Manyama Mkondya) alimkatia rufaa kule bunda na kushinda kesi. Malecela akatolewa ubalozini UK na kuja kuchukuwa nafasi yake .
Mkuu acha kunilaani mimi siyo zao la NdugaiTatizo hii misukule ya mwendazake akili hamna. Na ni mzigo kwa Taifa kuwa na misukule ya aina hii. Unaweza ukaomba vibaya kuwa nayo imfuate bosi wao
SawaMaendeleo ni suala endelevu.
Vijana wa juzi hawajui hili mkuu. Sisi tuliokuepo tunayakumbuka haya. Mzee mtulivu, mwenye subra na hekma.Alimpachika pale kwa lengo la kumshikia akili, amwambie Mwinyi fanya hivi au fanya vile nk. kumbuka moyo wa mtu msitu kwahiyo Mwinyi ukimuona kwa macho anaonekana ni mpole, lkn anachokiwaza akilini kwake hauwezi kukijua. Baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa CCM na nchi ikiwa chini ya mikono yake hapo ndo alipoanza kuonesha kuwa anaweza kufanya chochote mwenyew bila kushikiwa akili na mtu yoyote. Akaanza kwa kuufufua uchumi uliokufa enzi za mtangulizi wake, akaruhusu vitu viingie na vingine vitoke ili nchi iweze kupata hela za kigeni. Pesa ikawa nyingi mtaan hadi wauza kahawa, wachoma mahindi, wauza machungwa, mamantilie mitaani wakaanza kununua viwanja na kujenga sehem mbali mbali, mji ukapanuka, biashara zikawa nyingi, zahanati, mahospital, na maduka ya kuuza madawa yakawa mengi. I mean neema ikawa kubwa hata mtangulizi akapata tumbo joto la kupoteza heshima na legacy yake. Ndo hapo sasa akaanza kutupa madongo ya lawama kwa Mwinyi ili kujaribu kumfunga paka kengele, lkn Mwinyi alipuuza yale aliyoona hayana manufaa kwa taifa na kufanya yale aliyoona binafsi yana manufaa kwa taifa. Mema aliyofanya Mwinyi ktk nchi hii mengi ndugu nikisema niyataje siwezi kuyamaliza hapa. Kifupi huu mfumo unaoongoza leo pamoja na maendeleo muasisi wake ni Mwinyi
OKAY. SAMAHANI NDUGU YANGU. NILIFIKIRI NI WALE WALE ZAO LA HUYU ULIYEMTAJA NA LA MWENDAZAKEMkuu acha kunilaani mimi siyo zao la Ndugai
Wako wapumbavu aina mbili...Kipindi hicho tulikuwa tunaongopeana tu huyu anaitwa Wan yu miluzi,Bruce mawani,Bruce kijeba, aisee kwa kweli tukikumbuka shida tulizokuwa tunapata kipindi kile halafu anakuja mtoto wa miaka ya90 anamtukana(mdhalau) Mzee Mwinyi unatamani kumchapa kibao
Hapana comradeOKAY. SAMAHANI NDUGU YANGU. NILIFIKIRI NI WALE WALE ZAO LA HUYU ULIYEMTAJA NA LA MWENDAZAKE
Ongeza 'nzuri zaidi'Kutoka point moja kwenda nyingine
Usisahau Mwinyi alisimama akasema "mimi ndiye rais..." toka siku hiyo Mzee yule alinyamaza mpaka alipoibukia kwa Che NkapaKumbuka bado nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama alikuwa ana uwezo wa kumfanya kama Jumbe
πππ Nzealikutana na mwambaUsisahau Mwinyi alisimama akasema "mimi ndiye rais..." toka siku hiyo Mzee yule alinyamaza mpaka alipoibukia kwa Che Nkapa