Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.
Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
View attachment 2115298
View attachment 2115301
A true friend of Africans, President Adesina. He champions and lead the AfDB for the benefit of all African Countries. AfDB has been in better position since assuming his presidency.Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.
Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
View attachment 2115298
View attachment 2115301
Mnyarwanda unategemea niniLeo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.
Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
View attachment 2115298
View attachment 2115301
Huo ndio ukweli.Magufuri alikuwa icon WA dunia sio Africa
USSR
Adesina is a Nigerian. BTW wale Watanzania wanaotaka kufanya Masters au ajira kwa wale wenye masters tayari, AfDB wanatoa ajira na utapata approximately USD100,000.00 kwa mwaka tembelea website yao kwa maelezo zaidi.Mnyarwanda unategemea nini
Tufanye ndio hivyoLeo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.
Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
View attachment 2115298
View attachment 2115301
Mbona unatufokea aiseeA true friend of Africans, President Adesina. He champions and lead the AfDB for the benefit of all African Countries. AfDB has been in better position since assuming his presidency.
He made it possible for Tanzania/Kenya to obtain funds for the Road between Tanzania/Kenya and also the new International Airport in Dodoma. Thanks President Adesina for your support.