Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika kuzuru kaburi la Hayati Magufuli ni kiashiria alikuwa na mchango mkubwa katika maendeleo Afrika?

Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika kuzuru kaburi la Hayati Magufuli ni kiashiria alikuwa na mchango mkubwa katika maendeleo Afrika?

Orodhesha hapa hayo mambo yaliyofanywa na huyo mungu mfu wenu ambayo kwa pamoja kawazidi Mwinyi,Mkapa na Kikwete.
Mfano mdogo tu ambao miradi yake ilikua kabatini kwa miaka zaidi ya 50.

Stiglers.

SGR..

Kuhamia Dodoma.

Hii hakuna aliyethubutu.

Ila yeye kafanya na usifikiri ni jambo dogo.

Maana siasa zake nazo hazikua ndogo ilihitajika guts haswa.
 
Rais wa Bank ya Africa Chato? Tulia uandike kitu kinachoeleweka.

Halafu siyo “kiashilia”, ni kiashiria. Huko shule sijui ulisomea nini?
[emoji871]Kwani hutaki?
 
Ni vigumu sana kutoandika chochote ukisikiliza na kuona tukio hili la Rais wa Benki kubwa kuliko zote Afrika Dkt. Adesina akitoa pole na rambi rambi kwa familia, nchi, taifa na Afrika kwa ujumla kwa kumpoteza Kiongozi wa mfano katika karne hii..zipo juhudi zinaendelea kubeza, kukosoa na hata kumkashifu kwa aliyofanya hayati Rais Magufuli, lakini kwa binadamu mwenye akili timamu aliyejaaliwa na Mola kutambua mambo kupitia hisia, kupitia salamu hizi za Dkt.Adesina ni wazi pasina na shaka hayati Rais Magufuli aliletwa na Mungu kutimiza kusudi maalum..na ALITIMIZA! Buriani Mwana wa Afrika, mpenda maendeleo, mnyenyekevu na mtumishi wa watu..buriani mtumishi wa Mungu! Ulale pema peponi!
Amina
 
Ulichoona ni den tu
Katuachia Deni kubwa kuliko waliopita.

Alikuwa MUONGO kupitiliza.

Wananchi walliuwawa kuliko.

Amewagawa Watanzania kimatabaka.

Ameuwa Taasisi zote za serikali.

Amejenga HOFU ktk jamii yetu.

Ametuachia Generation ya YES, SIR

Amedhulumu matajiri

Ameuwa biashara.
.....

Atapumzikaje kwa amani ?
 
Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.

Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?

View attachment 2115298
Dogo pole yule shetani tumeishamgaragaza yupo kuzimu chato
 
Labda jamaa alitaka kujiridhisha kama alikufa kweli na akazikwa ndio akataka aende hapo mahali kunapodaiwa ndio alizikwa.
 
Ulikuwa mmoja wa aina yake rais wetu mpendwa Tanzania, Afrika, na dunia imewahi kujua!
Pumzika kwa amani na nguvu shujaa wetu wa Kiafrika, tunakupenda na tutakukumbuka daima kwa matendo mema!
Ahsante Mwenyezi Mungu kwa uhai wa shujaa wetu aliyefariki, Dk John Joseph Pombe Magufuli!

You were one of its kind our beloved honorable president Tanzania, Africa, and the world has ever known!
Rest in peace and power our African hero, we love you and we 'll always remember you for the good deeds!
Thank you God Almighty for the life of our departed hero, Dr. John Joseph Pombe Magufuli!
 
Don’t fall for that, wanaanza kuweweseka na kuingiwa na woga, kuna mtu hakubaliki Duniani na hata Mbinguni wanajaribu kila kitu, wametoka kumchafua Magu (RIP) wakifikiri wangefanikiwa ikabum, sasa wameamua kumsifu wakubalike.

Usiwaamini hata siku moja, wamemchafua Magu mwanzo mwisho leo hii waje waruhusu mtu wa Bankster kuja kumsifu na kumsafisha?

It’s good to be true !
 
Dah! Ila watumishi wa umma aisee tuliisoma namba! No promotion! No annual incriment! Akasaini sheria ya Bodi ya Mikopo ya makato 15%!! Dah! Kamshahara kakashuka chini zaidi!!

Dah! Ile miaka 5 ya utawala wake, sitokuja niisahau kamwe! Akiulizwa anajibu kirahisi tu " ngoja ninunue ndege kwanza! "

Dah! Ilikuwa wafanyakazi wa serikali hatuombei tena Mei Mosi ifike kama ilivyokuwa enzi ya JK! Yaani full kutishiana nyau!! Tulisafiri kwa gharama zetu kutoka maeneo ya pembezoni, mpaka makao makuu ya Wilaya (Bomani) kwenda kuhakikiwa!!

Dah! Si mchezo.
 
Kiongozi wa kweli
20220213_103709.jpg
20220213_103715.jpg
20220213_103719.jpg
 
Katuachia Deni kubwa kuliko waliopita.

Alikuwa MUONGO kupitiliza.

Wananchi walliuwawa kuliko.

Amewagawa Watanzania kimatabaka.

Ameuwa Taasisi zote za serikali.

Amejenga HOFU ktk jamii yetu.

Ametuachia Generation ya YES, SIR

Amedhulumu matajiri

Ameuwa biashara.
.....

Atapumzikaje kwa amani ?
Vip kuhusu aliepo kwa Sasa ameyaondoa hayo?
 
Alifanya vizuri sehemu nyingi!lakini Moyo wake ulikua tayari ushaingia kutu na kuharibika kabisa!alikosa uvumilivu kama Baba wa familia!!Bahati mbaya akakutana na katiba isiyo na meno ya kumdhibiti akaonyesha Hali halisi ya Moyo wake bila breki!!!jpm ametufunza mambo Mengi Sana ambayo tusingejifunza kama angeingia mtu wa kawaida!!!FUNZO KUU ni kwamba nchi inahitaji MABADILIKO ya katiba na mfumo!!
 
Ulikuwa mmoja wa aina yake rais wetu mpendwa Tanzania, Afrika, na dunia imewahi kujua!
Pumzika kwa amani na nguvu shujaa wetu wa Kiafrika, tunakupenda na tutakukumbuka daima kwa matendo mema!
Ahsante Mwenyezi Mungu kwa uhai wa shujaa wetu aliyefariki, Dk John Joseph Pombe Magufuli!

You were one of its kind our beloved honorable president Tanzania, Africa, and the world has ever known!
Rest in peace and power our African hero, we love you and we 'll always remember you for the good deeds!
Thank you God Almighty for the life of our departed hero, Dr. John Joseph Pombe Magufuli!

🤔🤔🤔🤔🤔😂😂😂😂😂☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️
 
A true son of Africa...

Tukiacha barabara za lami na maji aliyotuletea uswekeni gongo la mboto after more than 20yrs of waiting, na kule mkoani alinifanya niijue thamani na nidhamu ya pesa, kujituma na kujibana ili kufikia malengo. Hela ilikua ngumu kuipata ila alinifanya niwe na heshima nayo...

Mwanzoni nliumia na kuchukia nlipokosa zile easy money nlizokua napata enzi za mkwere, bt eventually i learn my leasson, made some changes and i re-adjusted my self, and it paid like charm. Am glad alinifundisha in a hard way.

R.I.P Champ, till we meet again.
 
Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.

Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?

View attachment 2115298
Kuna manyang'au wakiyasikia maneno haya wanatamani kunywa Nuvan.... JPM was jewel and icon of committed leader in Africa.
 
Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.

Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?

View attachment 2115298
Ndio maana yake
 
Back
Top Bottom