Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hwawezi ona zaidi. Akili zao zina ukungu. Mtu amelala wanamfuata fata. Hatujaumbwa hivyo binadamu.Ulichoona ni den tu
Mwadera! Chato kulihoo!!Magufuri alikuwa icon WA dunia sio Africa
USSR
Kweli mkuu, ila dunia ya nyie wanyongeMagufuri alikuwa icon WA dunia sio Africa
USSR
Sukuma gang on the moveHwawezi ona zaidi. Akili zao zina ukungu. Mtu amelala wanamfuata fata. Hatujaumbwa hivyo binadamu.
Mtu akilala aachwe apumzike. JPM amefanya makubwa kwa nchi hii kuzidi waliyofanya marais watatu Mwnyi, Mkapa na Kiwete. Yeye 5yrs only.
Wanaomponda ni wanafiki tu. Hakuna wa kuivunja legacy ya Magufuli .
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Siyo kweli. Alikuwa muujiMagufuri alikuwa icon WA dunia sio Africa
USSR
Sio kuzulu kuzuruLeo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.
Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
View attachment 2115298
Orodhesha hapa hayo mambo yaliyofanywa na huyo mungu mfu wenu ambayo kwa pamoja kawazidi Mwinyi,Mkapa na Kikwete.Hwawezi ona zaidi. Akili zao zina ukungu. Mtu amelala wanamfuata fata. Hatujaumbwa hivyo binadamu.
Mtu akilala aachwe apumzike. JPM amefanya makubwa kwa nchi hii kuzidi waliyofanya marais watatu Mwnyi, Mkapa na Kiwete. Yeye 5yrs only.
Wanaomponda ni wanafiki tu. Hakuna wa kuivunja legacy ya Magufuli .
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Ni vigumu sana kutoandika chochote ukisikiliza na kuona tukio hili la Rais wa Benki kubwa kuliko zote Afrika Dkt. Adesina akitoa pole na rambi rambi kwa familia, nchi, taifa na Afrika kwa ujumla kwa kumpoteza Kiongozi wa mfano katika karne hii..zipo juhudi zinaendelea kubeza, kukosoa na hata kumkashifu kwa aliyofanya hayati Rais Magufuli, lakini kwa binadamu mwenye akili timamu aliyejaaliwa na Mola kutambua mambo kupitia hisia, kupitia salamu hizi za Dkt.Adesina ni wazi pasina na shaka hayati Rais Magufuli aliletwa na Mungu kutimiza kusudi maalum..na ALITIMIZA! Buriani Mwana wa Afrika, mpenda maendeleo, mnyenyekevu na mtumishi wa watu..buriani mtumishi wa Mungu! Ulale pema peponi!Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.
Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
View attachment 2115298
Ndio maana tunapigwa kiswahili kwa mradi wa Mwalimu Nyerere HEP.Tanzania: Samia clears path to 2023 launch of Shell, Equinor gas facility
By David Whitehouse
Posted on Friday, 4 February 2022 16:19
Samia Suluhu Hassan, President of Tanzania, speaks during the UN Climate Change Conference (COP26) in Glasgow, Scotland, Britain, November 2, 2021. REUTERS/Hannah McKay/Pool![]()
President Samia Suhulu is turning a page on the Magufuli regime and moving forward with talks on the development of the country’s natural gas reserves. Both Shell and Equinor are looking at 2023 as the start date for construction of new projects.
The November resumption of talks between Tanzania’s government and multinational corporates on plans to develop the country’s rich liquefied natural gas (LNG) reserves has triggered optimism that progress may finally be in sight.
Royal Dutch Shell and Norwegian company Equinor have been planning to build an LNG terminal at Lindi in southern Tanzania since 2014.
However, progress was undermined by revised terms introduced by Tanzania’s 2015 Petroleum Act, the 2016 Finance Act, and a series of natural resources laws pushed through by the late president John Magufuli in 2017. These enabled the authorities to renegotiate previous production-sharing agreements in their favour and in terms that were less attractive for investors ....
READ MORE Source : Tanzania: Samia clears path to 2023 launch of Shell, Equinor gas facility