Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika kuzuru kaburi la Hayati Magufuli ni kiashiria alikuwa na mchango mkubwa katika maendeleo Afrika?

Nimependa ukalimani wa huyu msaidizi maalumu wa kiuchumi wa mh. Rais Samia Suluhu Hassan aliyeongozana na rais huyu wa AfDB kwa kusema kwa usahihi kile anachozungumza rais wa Benki ya Maendeleo Afrika AfDB, Dr. Akinwumi A. Adesina.
Pongez kwake
 
Ulichoona ni den tu
Hwawezi ona zaidi. Akili zao zina ukungu. Mtu amelala wanamfuata fata. Hatujaumbwa hivyo binadamu.

Mtu akilala aachwe apumzike. JPM amefanya makubwa kwa nchi hii kuzidi waliyofanya marais watatu Mwnyi, Mkapa na Kiwete. Yeye 5yrs only.

Wanaomponda ni wanafiki tu. Hakuna wa kuivunja legacy ya Magufuli .

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na mengine, Rais wa benki ya Afrika alitembelea kabli ya hayati Magufuli. Alisema alishindwa kuja kwenye mazishi kwa sababu ya Korona.

Amemutaja Hayati magufuli kama kiongozi mashuhuri afrika. Aliyeipenda Africa nzima na kutamani ipate amendeleao. Machozi yamemububujika hasa alipoona kabli la Hayati Magufuli.

Anaamini Samia ataendelea alipoishi.

Twenzetu Chato Mach 2022.

Muwe na Weekend Njema.
 
Sukuma gang on the move
 
Sio kuzulu kuzuru

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kutembelea kaburi la marehemu kunaashiria kuwa mtu huyo alikuwa mtu mwema na mwenye heri ?
 
Orodhesha hapa hayo mambo yaliyofanywa na huyo mungu mfu wenu ambayo kwa pamoja kawazidi Mwinyi,Mkapa na Kikwete.
 
Ni vigumu sana kutoandika chochote ukisikiliza na kuona tukio hili la Rais wa Benki kubwa kuliko zote Afrika Dkt. Adesina akitoa pole na rambi rambi kwa familia, nchi, taifa na Afrika kwa ujumla kwa kumpoteza Kiongozi wa mfano katika karne hii..zipo juhudi zinaendelea kubeza, kukosoa na hata kumkashifu kwa aliyofanya hayati Rais Magufuli, lakini kwa binadamu mwenye akili timamu aliyejaaliwa na Mola kutambua mambo kupitia hisia, kupitia salamu hizi za Dkt.Adesina ni wazi pasina na shaka hayati Rais Magufuli aliletwa na Mungu kutimiza kusudi maalum..na ALITIMIZA! Buriani Mwana wa Afrika, mpenda maendeleo, mnyenyekevu na mtumishi wa watu..buriani mtumishi wa Mungu! Ulale pema peponi!
 
Ndio maana tunapigwa kiswahili kwa mradi wa Mwalimu Nyerere HEP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…