Mfano mdogo tu ambao miradi yake ilikua kabatini kwa miaka zaidi ya 50.Orodhesha hapa hayo mambo yaliyofanywa na huyo mungu mfu wenu ambayo kwa pamoja kawazidi Mwinyi,Mkapa na Kikwete.
[emoji871]Kwani hutaki?Rais wa Bank ya Africa Chato? Tulia uandike kitu kinachoeleweka.
Halafu siyo βkiashiliaβ, ni kiashiria. Huko shule sijui ulisomea nini?
AminaNi vigumu sana kutoandika chochote ukisikiliza na kuona tukio hili la Rais wa Benki kubwa kuliko zote Afrika Dkt. Adesina akitoa pole na rambi rambi kwa familia, nchi, taifa na Afrika kwa ujumla kwa kumpoteza Kiongozi wa mfano katika karne hii..zipo juhudi zinaendelea kubeza, kukosoa na hata kumkashifu kwa aliyofanya hayati Rais Magufuli, lakini kwa binadamu mwenye akili timamu aliyejaaliwa na Mola kutambua mambo kupitia hisia, kupitia salamu hizi za Dkt.Adesina ni wazi pasina na shaka hayati Rais Magufuli aliletwa na Mungu kutimiza kusudi maalum..na ALITIMIZA! Buriani Mwana wa Afrika, mpenda maendeleo, mnyenyekevu na mtumishi wa watu..buriani mtumishi wa Mungu! Ulale pema peponi!
Katuachia Deni kubwa kuliko waliopita.Ulichoona ni den tu
Dogo pole yule shetani tumeishamgaragaza yupo kuzimu chatoLeo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.
Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
View attachment 2115298
Vip kuhusu aliepo kwa Sasa ameyaondoa hayo?Katuachia Deni kubwa kuliko waliopita.
Alikuwa MUONGO kupitiliza.
Wananchi walliuwawa kuliko.
Amewagawa Watanzania kimatabaka.
Ameuwa Taasisi zote za serikali.
Amejenga HOFU ktk jamii yetu.
Ametuachia Generation ya YES, SIR
Amedhulumu matajiri
Ameuwa biashara.
.....
Atapumzikaje kwa amani ?
π€π€π€π€π€πππππβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈUlikuwa mmoja wa aina yake rais wetu mpendwa Tanzania, Afrika, na dunia imewahi kujua!
Pumzika kwa amani na nguvu shujaa wetu wa Kiafrika, tunakupenda na tutakukumbuka daima kwa matendo mema!
Ahsante Mwenyezi Mungu kwa uhai wa shujaa wetu aliyefariki, Dk John Joseph Pombe Magufuli!
You were one of its kind our beloved honorable president Tanzania, Africa, and the world has ever known!
Rest in peace and power our African hero, we love you and we 'll always remember you for the good deeds!
Thank you God Almighty for the life of our departed hero, Dr. John Joseph Pombe Magufuli!
Kuna manyang'au wakiyasikia maneno haya wanatamani kunywa Nuvan.... JPM was jewel and icon of committed leader in Africa.Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.
Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
View attachment 2115298
Ndio maana yakeLeo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.
Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
View attachment 2115298