Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Weka source ya taarifa , taarifa imekuja Kihuni kama stori ya udaku.Hii italeta shida kwa wanazi wa dini
Naunga mkono hojaWewe ndio kichaa!!!!!!
Kwani sio magufuli tena haya tuanmbie yy kaombwa ajengeqe kanisa ngap kakataaTundu Lissu naona ni Traore mtupu
Kwahiyo kiongozi ulitaka ajengewe miskiti 200 wakati hata maji shida RADA ya kuwaona maadui wako shida ELIMU shida aaaaa sio kweli muache mwambaKichaa kivip sasa
kumzd mudi aliyekaingilia katoto ka miaka 8.Traore kichaa!!!
Nikuulize wewekumzd mudi aliyekaingilia katoto ka miaka 8.
Wavaa kobas mtanunua.
Kijana mdogo Rais wa Bukinabe alipewa ofa ya kujengewa misikiti 200 kutoka nchi ya Saudi Arabia lakini kagoma. Kijana huyu mwenye maona ya kuikoboa nchi yake kawaambia Waarabu kama wanataka kufanya hivyo basi huu msaada na ofa hiyo wajenge shule, Hospitali na watengeneza mifumo ya biashara ili uwekezaji wao utasaidia vijana kupata ajira na kuibua nafasi nyingi za kazi. Chini ya Traore, Bukinabe imeibuka na kuwa nchi ya 11 kwa uzalishaji wa Vitunguu. Jaribu kuwaza kama msaada huu ungeletwa kwa nchini ambayo imekuwa ya kwanza kuzalisha zao la vijana wapumbavu wanaoshabikia Mpira na CCM.
Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.
TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.
Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.
Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.
Ni nini mtazamo wako.
Umenikumbusha mbali sana nilipokuwa nasoma Lushoto diploma ya sheria kwenye chuo cha uongozi wa Mahakama niliwahi kufanya maongezi na mwl wangu mmoja Mzanzibar alikuwa anaitwa Mzee Mzee. Alinieleza Kwa nn Zanzibar iko chini sana kielimuHuyu
Jamaa kichwa Sana Yaani hiyo misikiti ndio itajenga Ichi! Waarabu wajinga Sana misaada Yao ni misikiti na visima Tu.
myahudi yupo gaza anawawaisha jamaa zenu kwa makibra 72 na kwny mito ya gongo na wanzuki uko kwa shetani allah vp nenden mkawapganie ili nanyi muwaishwe maana mtakuta wenzenu wamewamalzia mabkra na gongo kwa shetan allah.Nikuulize wewe
Mwafrika wa kwanza mwenye akili kuwahi tokeaDah!...jamaa ana msimamo kweli kweli
Hapo ugaidi uko wapi kujenga misikiti. Mbona makanisa yanapojegwa hamsemi ugaidi. Hebu fafanua mkuuYupo sahihi kabisa naunga mkono Msaada mzuri ni kumsaidia vitu vya kujenga uchumi sio mambo ya Ugaidi