Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia kujengewa misikiti 200

Troure kawaweza watu wa makelele ya vipaza sauti. Waende huko na kelele zao
 
Huyu jamaa kaweka maisha yake rehani....ake chonjo kweli kweli maana watamuua.
Afanye kama alivyofanya fidel castro...yaani kila leo awe anabadilisha chupi, sock na hayo magwanda mapya kabisaaa every single day. Asipuuzie kabisa maisha yake kama alivyo fanya jiwe. Hawa matajiri watamsaka kweli kweli
 
Huyu kwa Sasa ni Rais Bora kwenye bara la Africa
 
Unajua dp world imeahidi kujenga miskiti mingapi?

Tulia muda mfup utapata jibu
Misikiti ni nyumba za ibada kama makanisa. Mbona kila siku kuna harambee na michango ya kujenga makanisa kwa wakristo au misaada ya Saudia imekuwa kero. Acheni double standard.
 
"Dini Nyingi Ni Msingi Wa Uchumi Kwa Watu Wachache Na Chanzo Cha Umaskini Kwa Watu Wengi"
 
Ni rahisi sana kuwamanipulate wafia dini, Traole hata angekubali huo msaada bado wafia dini wangesifia japo ni msaada wa kiwaki usio na manufaa yoyote.
 
Wafaransa wa natafuta entry point through wa Arab;
 
Traore, ni muslim, lakini amekataa msaada wa misikiti, kwa sababu yeye anaongoza watu wenye dini tofauti na wasio na dini, anataka msaada wa maendeleo kwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…