komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Saudia wakijenga misikiti wanajua hela yao itarudi kwa mgongo wa kwenda kuhiji. Wanazalisha waislam dunia nzima, halafu wanakusanya mapesa kwa kuwalundika macca kuhiji."Dini Nyingi Ni Msingi Wa Uchumi Kwa Watu Wachache Na Chanzo Cha Umaskini Kwa Watu Wengi"
Dini biasharaSaudia wakijenga misikiti wanajua hela yao itarudi kwa mgongo wa kwenda kuhiji. Wanazalisha waislam dunia nzima, halafu wanakusanya mapesa kwa kuwalundika macca kuhiji.
Wewe jamaa, mbona iko sawa ? Hata wewe ungechagua shule, hospitali, viwanda, maji, umeme na barabara kuliko misikiti. Na Traore kasema misikiti ipo haina watu. Sasa hapo kichaa nani, wewe au yeyeKwani unaongea nini mbona sikuelewi
Lissu huyu ambaye alipambana na Mkapa kupinga serikali isiuze migodi kwa wazungu mabeberu, na kuwatoa wananchi au Lissu wa India.Hapo uongo,lissu na mabeberu ni damudamu
Kwaajili ya ujinga wa imani yao ukiikumbatia sana maendeleo zeroUmenikumbusha mbali sana nilipokuwa nasoma Lushoto diploma ya sheria kwenye chuo cha uongozi wa Mahakama niliwahi kufanya maongezi na mwl wangu mmoja Mzanzibar alikuwa anaitwa Mzee Mzee. Alinieleza Kwa nn Zanzibar iko chini sana kielimu
Jamaa wanamkubalia sana Lissu sema ukijani unawasumbua.Lissu huyu ambaye alipambana na Mkapa kupinga serikali isiuze migodi kwa wazungu mabeberu, na kuwatoa wananchi au Lissu wa India.
Kaonesha msimamo lakini kama kiongozi kakurupuka, Ilibidi ashukuru huo msaada sio kuukataa moja kwa moja huku akitoa pendekezo mbadala kama hivo alivotaka wamjengee mashuleNasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.
TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.
Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.
Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.
Ni nini mtazamo wako.
Ashukuru ili iweje alikuambia ana shida ya misikiti ?Kaonesha msimamo lakini kama kiongozi kakurupuka, Ilibidi ashukuru huo msaada sio kuukataa moja kwa moja huku akitoa pendekezo mbadala kama hivo alivotaka wamjengee mashule
Tunaweza bishana hapa kumbe mashehe wa kule ndio walioomba misikiti! Ww unahisi waarabu mapunguwani? Wanajitolea tu!!Ashukuru ili iweje alikuambia ana shida ya misikiti ?
We unaongelea nini kwanimyahudi yupo gaza anawawaisha jamaa zenu kwa makibra 72 na kwny mito ya gongo na wanzuki uko kwa shetani allah vp nenden mkawapganie ili nanyi muwaishwe maana mtakuta wenzenu wamewamalzia mabkra na gongo kwa shetan allah.
Unaongelea kuhusu niniKichaa mzuri anayewazidi wenye akili wanaoshinda misikitini bila ajira wala mahitaji kichaa anayewazidi, wenye akili wanaowaza kuvaa mabomu kuua.
Tatizo nilivyosema kichaa watu wanadhani nimemtukana wakati nimemaanisha kitu kingine kabisaYupo sahihi, misikiti wanayo tayari,