Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Si jambo rahisi hivyo kama unavyofikiri. Tayari mitambo yote imesogezwa Goma. Ikitokea M23 wakaanza kutumia mitambo hiyo watatuhumiwa kufanya uhalifu wa kivita maana raia wengi watakufa. Suala ni kwa sasa kufanya kikao cha namna ya kuchangia rasilimali zilizopo.Goma ni Kongo, ardhi ya Kongo imevamiwa, katika ardhi yake, dawa ni wavamizi hao kuondolewa.
Bargaining for what?
Naungana na Rais wa Burundi, haifai kufuga ugonjwa!
M23 ni wakongo.Goma ni Kongo, ardhi ya Kongo imevamiwa, katika ardhi yake, dawa ni wavamizi hao kuondolewa.
Bargaining for what?
Naungana na Rais wa Burundi, haifai kufuga ugonjwa!