Rais wa Burundi katoa onyo ambalo tumeshalitoa mara nyingi humu. Kazi kwenu wenye mamlaka

Rais wa Burundi katoa onyo ambalo tumeshalitoa mara nyingi humu. Kazi kwenu wenye mamlaka

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Tumeshaandika nyuzi nyingi sana humu. Sasa kaongea Rais wa Burundi.

Nawakumbusha tu. Mkifanya nao mazungumzo kuhusu Goma na wakafanikiwa kituo kinachofuata ni Kagera na wakulianzisha ni Muhoozi K.
FB_IMG_1738490502190.jpg
 
Goma ni Kongo, ardhi ya Kongo imevamiwa, katika ardhi yake, dawa ni wavamizi hao kuondolewa.
Bargaining for what?
Naungana na Rais wa Burundi, haifai kufuga ugonjwa!
Si jambo rahisi hivyo kama unavyofikiri. Tayari mitambo yote imesogezwa Goma. Ikitokea M23 wakaanza kutumia mitambo hiyo watatuhumiwa kufanya uhalifu wa kivita maana raia wengi watakufa. Suala ni kwa sasa kufanya kikao cha namna ya kuchangia rasilimali zilizopo.

Makosa tayari yalifanywa kwenye Berlin Conference 1884-1885 ilipochorwa mipaka hivyo, ni wakati sasa kwa wafrika kuonyesha uwezo wao wa kiakili kutatua mgogoro huu.
 
Goma ni Kongo, ardhi ya Kongo imevamiwa, katika ardhi yake, dawa ni wavamizi hao kuondolewa.
Bargaining for what?
Naungana na Rais wa Burundi, haifai kufuga ugonjwa!
M23 ni wakongo.
 
m23 wako vizuriii...tuzidi kuwapa sapotii
 
Rasmi sasa, wanajeshi wawili wa JWTZ wameuawa wengine wamajeruhiwa. Mapambano yao yalikuwa eneo la Sake. Najiuliza kwa nini ilifichwa kwa siku kadhaa?. 🤔
 
akishachukua kongo anahamia Burundi ,itakuwa urusi ya afrika mashariki (itakuwa ndo nchi yenye eneo kubwa kupindukia
 
Back
Top Bottom