Rais wa CAF ni Mzulu Patrice Motsepe kutoka Afrika Kusini. Simba pulizeni dawa muone Wazulu walivyo wabaya

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Nawakumbusha tu simba..

Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona....

Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele
 
Bangi sio nzuri .

Mimi sio mnazi wa soka la ndani,, ila kwa sasa simba ame"improve sana.. Hilo halina ubishi.

Ukisema mambo ya kupulizia dawa, jiulize haya..

Simba kacheza away mechi ngapi katika michuano hii ya CAF champions league mwaka huu na matokeo yake yakoje..

Kirahisi tu..

Alifungwa na platinumz 1 - 0
Alishinda dhidi ya Plateau 1 - 0
Alishinda dhidi ya Vita 1 - 0
Alidraw na el merreikh
Na akafungwa na al ahly 1-0 (al ahly ni bingwa mtetezi)...

Sasa jiulize tu swali rahisi,, je na uko viwanja vya ugenini alikua na hiyo access ya kupuliza dawa..
 
Hawa dawa yao ni mapaka meusi au sio ? War in Dar, no retreat no surrender
 
Utopolo utopolo pambaneni na uchafu wenu.
4 bila??aibu gani hii,mataifa ya nje yanatuonaje sisi?on target moja kweli?ile mikia kule mbele ilikua inarukaruka tu,halafu kwa kubana kalio eti tuna kikosi kipana!
 
Nawakumbusha tu simba..

Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona....

Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele
Unaweza kulinganisha Sports Training facilities za Simba na zile za Kaizer Chief, Mamelodi Sundown, Orlando Pirates?

Unaweza kulinganisha ubora wa PSL ya South na hii VPL ya TZ.

Uchawi ungekuwa unashinda mechi ya soka Misri wangekuwa mabingwa wa Dunia. Lakini mabingwa utakuta ni Spain, France, German etc na sababu kubwa ni uwekezaji mkubwa kwenye michezo.

Anyway, acha Wabongo tuamini ndumba na ndagu
 
Wamezidiwa uchawi hao misri
 
Hivi misri wachawi sana? Mbona bongo kila siku tunasifia nigeria?
 
Back
Top Bottom