SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mnafurahia kufungwa Simba huku Azam anawapumulia kichogoni. Na tutahakikisha hata nafasi ya pili hampati na Kombe la shirikisho hamchukui. Mna roho mbaya sana ya kichawiNawakumbusha tu simba..
Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona....
Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele