Rais wa CAF ni Mzulu Patrice Motsepe kutoka Afrika Kusini. Simba pulizeni dawa muone Wazulu walivyo wabaya

Nawakumbusha tu simba..

Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona....

Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele
Mnafurahia kufungwa Simba huku Azam anawapumulia kichogoni. Na tutahakikisha hata nafasi ya pili hampati na Kombe la shirikisho hamchukui. Mna roho mbaya sana ya kichawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…