DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa inasubiri kuidhinishwa na Seneti.
Kwa mujibu wa taarifa ya Radio France Internationale (RFI) iliyochapishwa Jumanne Septemba 16, 2025, hatua hiyo ilifikiwa Jumatatu Septemba 15, mara baada ya kusainiwa kwa pendekezo la marekebisho ya katiba yanayompa Rais mamlaka ya kuendelea kuongoza kwa kipindi kisicho na kikomo.
💬 Je, mabadiliko haya ni njia ya kuimarisha uthabiti wa uongozi au ni dalili ya kudidimiza demokrasia?