Rais wa Chile anusurika kuondolewa madarakani

Baada ya kujaribu mara mbili ya tatu nikawezaaaaaa
Hongera Dream Queen. Karibu katika ulimwengu wa marangirangi ambao umeamzishwa kwenye uzi huu na Mr Chemist na ndugu Tony Laurent akaomba msaada. Samahani sana Miss Zomboko, mwanzilishi wa uzi huu kuhusu Rais wa Chile kunusurika kuondolewa madarakani. Tumeuteka uzi kwa marangi rangi. Ombi la Tony Laurent limekuwa msaada kwa wana JF wengine pia. This is JF. Thank you Mr. Maxence Melo. God bless you for using your talent for the benefit of so many Tanzanians.
 
Ni mwendo wa kuchanganya Marangi tu,mwaka huu mbona mtanikoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…