Rais wa Chile anusurika kuondolewa madarakani

Huu uzi umeshaondoka kwenye lengo lake la awali. Haya marangi rangi naona yametosha sasa!!! Au mnaonaje washikaji? Tuachane nayo haya mavitu. Au siyo?
Nawatakia alasiri njema!!!
 
mnaharibu thread mjue
 
Amenusurika kupitia mchakato halali (impeachment). Kuna wenzetu kule pande fulani ukisikia 'kunusurika' mara nyingi ni kuponea kifo (assassination) au mapinduzi.
Mkuu Zama za Covid phase 1 uzi wako ulikuwa miongoni mwa nyuzi 3 Bora kutujuza, ulitujaza taarifa,elimu na hofu ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…