Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

GGG1.jpg
GG2.jpg
GGG3.jpg
GGG3.jpg
 
Binadamu bwana umeonjewa tupicha tutache tuu, Ushafungua thread Unataka uwapangie watu waweke nini maofisini kwao na waweke Vipi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hapa lazima atafutiwe Katibu Mnyeka wa Rais ili awe anapitia bahasha hizi za Fedex, DHL , Posta n.k maana hapa lazima msaada mkubwa anatakiwa kupatiwa huyu mheshimiwa kiongozi wa nchi.

Hii siyo sifa ya uchapaji kazi lazima mkuu wa nchi apatiwe mtu ampunguzie majukumu ya kuzungukwa na makabrasha yote haya
An Personal secretary or special assistant to the President helps with time and daily management, of meetings, correspondence, and note-taking. The role of a personal assistant can be varied, such as answering phone calls, taking notes, scheduling meetings, emailing, texts, etc.
 
Nchi zote zinazoamini socialism hufuata mkondo wa kuwa na chama kimoja hazitaki demokrasia.

Nchina ina chama kimoja
Urusi ina vyama vingi ila nayo ni yale yale
Korea kaskazini yale yale
So kupongezana kwa kuua demokrasia ni kawaida yao.
Kwani hivi vyama vingi vimetupatia nini tangu tumeaanza vyama vingi tumekuwa tunazidi kuwa maskini.
 
Drmokrasia ni mfumo uliotengenezwa na nchi za magharibi kuzinyonya nchi masikini...wanachofanya no kuinfluence maamuzi ya majority kuwachonganisha then wanakaa pembeni na kunyonya rasilimali....siamini katika.neno demokrasia
Uko sawa kabisa
 
Comm's na PR Unit ya Rais inafeli wapi jamani? Kweli kabisa walishindwa kuandaa mazingira bora ya kupiga hizo picha?
Mnampiga picha Rais, akiwa "kazini" hakuna hata bendera ya mezani?

Halafu mnampiga picha huku kuna maji ya chupa, kama vile tangazo la biashara? Ingekuwa kwenye hafla, angalau lakini hapo ni ofisini kwake! Halafu kuta zipo tupu kabisa, hakuna hata chochote cha kuibrand Tanzania kwenye hiyo ofisi. It's a missed opportunity!
 
Unamuona ameshakuwa mwehu kabisa angalia nyuma ya mgongo wake kuna chupa ya kikombe cha babu nini kinamsumbua kama sio tududu harafu anaonesha picha ya aina hiyo Dunia nzima mshamba ni mshamba hata aogeshwe kwa jiki.
 
Nawa Źoom tuu na hoja zenu za kipuuzi mara eti kwnn amevaa raba nyepesi?Mara mdharau mwonekano wa ofisi ,mara eti mshamba ,eti walitumia lugha gani ?hamna hoja mnaleta vioja tu.

Kama kuwa mpinzani ndo kuwa namna hii kwa kweli bora ccm iendelee kutawala milele maana wengi wenu vichwani ni chenga.
Ngoja niwafumbue macho kidogo tu.

Rais amechukulia tukio hilo la kupigiwa simu kama mtaji kisiasa na kuonyesha kukubalika kwake kwa mataifa makubwa km kiongozi wa nchi na vilevile kuvutia mataifa mengine zaidi pia inaonyesha ni kwa kiasi gani Tanzania bado inakubalika nje ya nchi licha ya kuchafuliwa na waganga njaa akina Lisu kwa kujifariji kuwa wataliangamiza taifa kwa kukosa marafiki na wawekezaji nchini.

Mataifa bado yanaimani na Tz na yashawadharau wapiga kelele na waganga njaa wakubwa akina Lissu.
 
Back
Top Bottom