Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
China ya Mao na Nyerere si China ya Ji Ping na Magufuli tuwakaribishe kama mabeberu marafiki. This is the naked truth
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau kwamba mtukufu wetu yeye anacheza nafasi zote, secretary, cleaner, katibu, mkaguzi na mengineyoMbona Meza ya Rais iko Mess hivyo jamani
An Personal secretary or special assistant to the President helps with time and daily management, of meetings, correspondence, and note-taking. The role of a personal assistant can be varied, such as answering phone calls, taking notes, scheduling meetings, emailing, texts, etc.
Uzuri tuko wazi, na tunasema wazi kuwa tunahitaji ushirikiano utakaonufaisha nchi mbili. Hakuna mmoja kumnyonya mwingine.Mmh ila tuwe makini nao hao wachina
Ni vyepesi vizuri sana hivyo. Mguu unakuwa comfortRais Magufuli bwana, hilo shoes analipenda balaa!!
Piga kazi JPM
Kwahiyo location hapo Magu Yuko photoshootPicha ya mwisho "NIME ZOOM" ila nimeona simu ipo off. Jamaa sijui alikua anaongea vipi.
Kwa hayo mapozi ya hizo picha nahisi atakua amemtumia mpiga picha wa diamond platnumz. Maana kuna kila dalili ya ile misemo "HEBU SOGEA NA KWA HUKU"
Ukimchunguza anayesema hivi ana single pair alafu mkuki moyoni sole imekaa upande.JF bhana!ni vyepes vizur sana hivo.mguu unakuwa comfort
Kwani hivi vyama vingi vimetupatia nini tangu tumeaanza vyama vingi tumekuwa tunazidi kuwa maskini.Nchi zote zinazoamini socialism hufuata mkondo wa kuwa na chama kimoja hazitaki demokrasia.
Nchina ina chama kimoja
Urusi ina vyama vingi ila nayo ni yale yale
Korea kaskazini yale yale
So kupongezana kwa kuua demokrasia ni kawaida yao.
Hata Trump alipoingia mlisema hivi hivi [emoji2]Wanahaha kwa sababu ya Biden!
Mbona Meza ya Rais iko Mess hivyo jamani
Uko sawa kabisaDrmokrasia ni mfumo uliotengenezwa na nchi za magharibi kuzinyonya nchi masikini...wanachofanya no kuinfluence maamuzi ya majority kuwachonganisha then wanakaa pembeni na kunyonya rasilimali....siamini katika.neno demokrasia