Jasusi Mbobezi
Senior Member
- May 17, 2020
- 195
- 851
1. Amempongeza kwa ushindi.
2. Amempongeza kwa kukabiliana na Corona
3. Amempongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka 5 iliyopita
4. Amesema anaiona Tanzania kuwa nchi itakayo ongoza kwa uchumi barani Africa
5. Amempongeza kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo mradi wa SGR, Nyerere Dam na ameahidi kushirikiana naye ktk utekelezaji wa miradi hiyo mikubwa.
Kwa upande wake rais JPM amemshukuru Rais wa China kwa kupiga simu na kumpongeza, amealika wawekezaji toka China kwa manufaa ya nchi zote, ameomba kupatiwa mikopo kwa gharama nafuu kwa ujenzi wa project nyingine kubwa za umeme na ameomba China kufungua masoko ya bidhaa toka Tz.
Maombi yote yamekubaliwa na Rais wa China