Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

Mabeberu jana wametoa msaada kwa tanzania na wenzako huko wanashangilia kwelikweli
Mwenye makengeza ya macho hana shida ya kuona ila ogopa mwenye makengeza ya ubongo huyo kila rangi huona ni kijani tupu!! Usimshangae kuona "rafiki" mmoja...
 
Leo "Sisi ni matajiri", siku inayofuata kulamba miguu ya Wachina na vibakuli vya ombaomba. Hapana shaka Mchina inaipigia hesabu Uranium
 
Hongera Rais kwa kudumisha udugu na ndugu zetu wa china.hao ni ndugu na rafiki wa kweli wa maendeleo ya afrika
 
Sasa ni lazima kutangaza mazungumzo yao ya simu. Huu nao ni ushamba au usukuma
Wewe una wivu tu, mbona tunaonaga kina tramp.merkel wanaongea wanasema today had conversation with nan nan huko.
acha wivu
 
Bora kuwa na rafiki wa kweli kuliko kuwa na rafiki mnafiki. Mababeru wasidhani watapigiwa magoti na Tanzania, Lissu arudi tu Tanzania maana nchi ina marafiki wa kweli wazuri kuliko huko anakoichafua nchi. Uzuri ni kuwa China hawana masharti katika misaada kama nchi za Ulaya.

Angalizo: Lissu awe makini na hao mababeru, asiendelee kuichafua Tanzania.. maana si ajabu mababeru wakajirudi kwetu huku wakimtelekeza Lisu kwani hawatakuwa tayari kuichia CHINA iwapite ktk mahusiano na Africa, tz ikiwemo kwani wanajua ni hasara kubwa kwao kuwaruhusu China kuwapita kwenye mahusiano dhidi ya Afrika.
I wish ungekua unawajua wachina vizuri ... kwa muhtasari tu jaribu kuwaulizia wachina wa kariakoo ili upate Cross section ya tabia za mchina hususan katika mambo ya urafiki na kusaidiana then utapata habari mchina ni mtu wa aina gani

Kwa kifupi tu jua kuwa kwa mchina hakuna urafiki wa bure kwa bahati mbaya mnajitangazia urafiki na uchina kwa sauti ili kujifariji na jinsi mlivyosuswa na mataifa ya magharibi na vile ambvyo mtakula kibano cha mbwa mwizi

Wakati sauti hiyo ya kujipendekeza kwa mchina inasikika kuwa mnaejipendekeza kwake huyo mchina huku akiwaona na kuwasikia na tayari anajua mnajipendekeza kwa urafiki ili mpate kipande cha mkate

Sasa basi kaeni mkijua mchina hakupi mkate wake bure, ogopa sana mtu asiejali haki za binadam eti ndio akusaidie, narudia hapa kwa herufi kubwa "Ogopa mtu asiejali haki za binadamu akusaidie" mtu huyo hana tofauti na Mamba anae kumeza huku akikulilia kwa kukuonea huruma

Tanzania sasa wakati umefika wa kumezwa na China huku akilia kwa kutuonea huruma!

Maendeleo ni Chama makini, lakini sio CCM.
 
Yaani inaonesha ni namna gani Tz na raisi wake tulivyotengwa ka simu kamoja kamekuwa bonge la Habari eti nchi nzima.
Aboreshe mazingira ya biashara waje wawekezaji wa aina mbali mbali.
 
China anapendwa na viongozi madiktecta kwa sababu yeye akija kuwekeza hadeal na mambo HUMMAN RIGHTS yaaani we kama unachinja watu wako na kuua wananchi wako kwao poa tu wenyewe wapo bize kuiba mali tu.
 
Nimestushwa tu na hizo picha hapo juu!
Huyu jamaa mbona hafanyi kazi? Mafaili yote hayo kayalaza juu mezani sijui kwa muda gani!
 
Nimestushwa tu na hizo picha hapo juu!
Huyu jamaa mbona hafanyi kazi? Mafaili yote hayo kayalaza juu mezani sijui kwa muda gani!
Yeye ni ndo kila kitu hamuamini mtu wacha ajipasue kichwa
 
I wish ungekua unawajua wachina vizuri ... kwa muhtasari tu jaribu kuwaulizia wachina wa kariakoo ili upate Cross section ya tabia za mchina hususan katika mambo ya urafiki na kusaidiana then utapata habari mchina ni mtu wa aina gani

Kwa kifupi tu jua kuwa kwa mchina hakuna urafiki wa bure kwa bahati mbaya mnajitangazia urafiki na uchina kwa sauti ili kujifariji na jinsi mlivyosuswa na mataifa ya magharibi na vile ambvyo mtakula kibano cha mbwa mwizi

Wakati sauti hiyo ya kujipendekeza kwa mchina inasikika kuwa mnaejipendekeza kwake huyo mchina huku akiwaona na kuwasikia na tayari anajua mnajipendekeza kwa urafiki ili mpate kipande cha mkate

Sasa basi kaeni mkijua mchina hakupi mkate wake bure, ogopa sana mtu asiejali haki za binadam eti ndio akusaidie, narudia hapa kwa herufi kubwa "OGOPA MTU ASIE JALI HAKI ZA BINADAM AKUSAIDIE" mtu huyo hana tofauti na Mamba anae kumeza huku akikulilia kwa kukuonea huruma

Tanzania sasa wakati umefika wa kumezwa na China huku akilia kwa kutuonea huruma !!!

MAENDELEO NI CHAMA MAKINI ... LAKINI SIO CCM !!!
Kwa taarifa yako hao mabeberu wameshaanza kujipendekeza kwa tz, "Ulaya yaipatia Tanzania TShs. 84 Billion" sasa hapo ndo kususwa??; uwe unafuatilia mambo, usiwe kasuku wa pambio hapo ufipa. Mwelezeni Lissu amebaki peke yake, hata bwana zake wamemkana.
 
Sawa ngoja tusubiri mapigo yao
Uzuri mchina hanaga kuremba,,kufikia june mwakani tunaweza kuanza kusafiri na treni za umeme,,bwawa linaweza kukamilika ndani ya mwezi tu,,reli miezi mitatu,,😚😎mchina hanaga mzaha kwenye kazi
 
Mchina atatupiga hela sana.
Anajaua tutakuwa hatuna pa kujishikilia ikiwa ulaya na usa watatuwekea vikwazo.
 
Wachina (pamoja na Warusi) walikuwa wakimpigia Mugabe hivi hivi wakati ule lakini wakaja kumwacha kwenye mataa baadae!
Tofautisha Mugabe na Magufuli don't think always assassination on African Presidents.Mugabe alichokosea ni kukaa muda mrefu madarakani but he did better for Zimbabweans ever
 
Demokrasia ni mfumo uliotengenezwa na nchi za magharibi kuzinyonya nchi masikini. Wanachofanya ni kuinfluence maamuzi ya majority kuwachonganisha then wanakaa pembeni na kunyonya rasilimali. Siamini katika neno Demokrasia.
Sahihi kabisa. Hakuna uthibitisho kuwa demokrasia ndiyo mfumo sahihi zaidi wa maisha. Binafsi sioni uhalisia wa huo wendawazimu wa kuitwa demokrasia.
 
Hapa lazima atafutiwe Katibu Mnyeka wa Rais ili awe anapitia bahasha hizi za Fedex, DHL , Posta n.k maana hapa lazima msaada mkubwa anatakiwa kupatiwa huyu mheshimiwa kiongozi wa nchi.

Hii siyo sifa ya uchapaji kazi lazima mkuu wa nchi apatiwe mtu ampunguzie majukumu ya kuzungukwa na makabrasha yote haya
Mambo ya kutafuniwa kila kitu mara nyingine hupelekea misleading nyingi sana. Kajitoa kuifanya kazi mwache azungukwe na mafaili hata yote. Hao waliokuwa na "wasaidizi" ndiyo walideliver Richmond, EPA, Bagamoyo, etc
 
Waliongea kwa lugha gani? Maana Xi Jinping yeye ni Kichina huyu mwamba Kiingereza hakipo.....
 
Back
Top Bottom