Responded Rais wa FEMATA, John Bina: Tutawashtaki Waliohusika Kula Hela za Wachimbaji Waliolipia Safari ya Canada

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Your browser is not able to display this video.

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina, amesema viongozi wote ndani ya Shirikisho hilo wanaodaiwa kutapeli fedha za Wachimbaji wadogo watafikishwa Mahakamani na kuhakikisha wanarejesha fedha hizo.

Wachimbaji hao walilipa zaidi ya Shilingi Milioni 11 kwa ajili ya safari ya kwenda Canada kutafuta wawekezaji.

Hoja ya awali ~ Waziri wa Madini, Tusaidie Wachimbaji: Tulilipia Safari ya Canada, Hatujasafiri Wala Kurejeshewa Fedha

Safari hiyo ilishindikana baada ya wachimbaji 11 kukosa visa, huku fedha walizolipa zikiendelea kuwa suala la madai ya kurejeshwa kwa wanachama.

Bina amefafanua kuwa Hatua hiyo inalenga kuhakikisha fedha za Wachimbaji hai zinarejeshwa na kutoa fundisho kwa viongozi wengine.

Your browser is not able to display this video.
Pia soma ~ π…πžπ¦πšπ­πš: Wachimbaji Madini waliokwama kwenda Canada watajeshewa fedha zao Oktoba 23, 2026
 
Tunaomba Mwenye CV ya Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina
 
Tunaomba tuione Katiba ya FEMATA, na ofisi yao iliko,huku Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…