Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Ukiangalia izo picha unapata huruma usiyo kifani.........

Ila wakiwaga madarakani wanakuaga Mungu watu....

Naona Raisi anapitia bonde la uvuli wa mauti....sio rahisi kutoka salama kumwacha hai ni ku skip revenge... Kum toa uhai ni end of story........

Namwombea uhai Mr. President
 
Huko West Africa Bado majeshi yao yanajielewa na inapotokea watawala wakacross line majeshi huingilia na recently tumeona Mali. Na ukimsikilza huyo kiongozi wa mapinduzi anacite bad governance ndo imepelekea wao kuchukua power.
 
Kama ilikuwa tabia yake kutoa watu uhai, kweli kabisa na yeye aanze kusali mapema kabisa.
 
Mara nyingi ni matokeo kwa watawala wasiiofuata sheria. Wabadiri katiba ili wadumu mpaka wanachokwa na wapambe wao. Ni staili ya CCM.
 
Hata yule Rais wa Tanzania anaezurura kama yale Mapaka yasiyofugwa na ambae anaendeshwa na wateule wake anapaswa apinduliwe pia.
 
Huku bongo wanafanya usafi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…