Rais wa Guinea Bisau akimchapa makonde Waziri wa Afya kwa kula pesa za COVID 19

howardlite

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
242
Reaction score
392
Huku kwetu Rais anaweza kujikuta karibu kila waziri wake anakula ngumi kwa ubadhirifu kwenye wizara zao πŸ˜€πŸ˜€.

Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kwa sehemu kuwapiga viboko ishirini na vinne,siku anaingia viboko kumi na viwili na siku anatoka jela viboko kumi na viwili akamuonyeshe mkewe πŸ˜€πŸ˜€.

Huku kwetu raisi anaweza kujikuta karibu kila waziri wake anakula ngumi kwa ubadhirifu kwenye wizara zao πŸ˜€πŸ˜€.

Haaaaa haaaa.... kama namuona Madelu akila za uso
 
Safi sana yaani...
Kwa msisitizo "I WANT THIS PRESIDENT! πŸ˜‚"

IMG_20230218_200603.jpg
 
Huku kwetu raisi anaweza kujikuta karibu kila waziri wake anakula ngumi kwa ubadhirifu kwenye wizara zao πŸ˜€πŸ˜€.
Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kwa sehemu kuwapiga viboko ishirini na vinne,siku anaingia viboko kumi na viwili na siku anatoka jela viboko kumi na viwili akamuonyeshe mkewe πŸ˜€πŸ˜€.
Nyerere , Waziri wake yupi alimfanyia hivyo? (viboko).
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyerere , Waziri wake yupi alimfanyia hivyo? (viboko).
Nimezungumzia dhana ya ndani ya ubadhirifu na rushwa namna ambavyo Nyerere alijaribu kwa nafasi yake pale viongozi wake walipohongwa na aliyekuja akihonga yakamkuta, nikihusisha na tukio hili.
 
Naanza kuona humu jf kuna wapumbavu wengi na watu ambao ni wa vijijini less informed!! Hii video ni ya muda sana nadhani wakati wa KIKWETE hata covid hatuijui!!!
 
Huku kwetu Rais anaweza kujikuta karibu kila waziri wake anakula ngumi kwa ubadhirifu kwenye wizara zao [emoji3][emoji3].

Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kwa sehemu kuwapiga viboko ishirini na vinne,siku anaingia viboko kumi na viwili na siku anatoka jela viboko kumi na viwili akamuonyeshe mkewe [emoji3][emoji3].
View attachment 2521887

Na kama aliyeingia jela ni mwanamke anaenda kumuonyesha nani? Maana mafisadi ni wake kwa waume!
 
Naanza kuona humu jf kuna wapumbavu wengi na watu ambao ni wa vijijini less informed!! Hii video ni ya muda sana nadhani wakati wa KIKWETE hata covid hatuijui!!!

Ni kweli mkuu kumbukumbu zako ziko sw n zangu. Asante
 
Back
Top Bottom