Rais wa Harvard University ajiuzulu kutokana na Plagiarism iliyobainika kwenye machapisho yake

Rais wa Harvard University ajiuzulu kutokana na Plagiarism iliyobainika kwenye machapisho yake

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Hii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism].

Haya yote yalijitokeza baada ya yeye Bi. Gay na marais wengine wawili wa vyuo vya Ivy League walipoitwa mbele ya kamati ya bunge la Marekani kwenda kutoa maelezo juu ya kuongezeka chuki dhidi ya Uyahudi
Kwenye vyuo walivyokuwa wanaviongoza.

Chuki dhidi ya Uyahudi
👐👐👐
Screenshot_20231216-231425.png
 
Hii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism].

Haya yote yalijitokeza baada ya yeye Bi. Gay na marais wengine wawili wa vyuo vya Ivy League walipoitwa mbele ya kamati ya bunge la Marekani kwenda kutoa maelezo juu ya kuongezeka chuki dhidi ya Uyahudi
Kwenye vyuo walivyokuwa wanaviongoza.

Nyani Ngabu huyo.. 😂😂😂
 
Huku ndiyo kuwajibika na kulinda heshima siyo tu ya taasisi tajwa kubwa bali hata heshima yake
 
God Bless Israel
God yupi wa kuibariki Israel, (yesu) au? Maana kama ni mungu yesu hawezi kuwabariki hao waisrael kwa maana hao ndio waliompa kisago na kumtundika pale msalabani na kichupi na mpaka wa leo hii hawamtambui na hawamkubali, sasa hata kama wewe ndo mungu yesu kuweza kweli?? ,,, yani wakudunde alafu ubawariki..
 
Hii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism].

Haya yote yalijitokeza baada ya yeye Bi. Gay na marais wengine wawili wa vyuo vya Ivy League walipoitwa mbele ya kamati ya bunge la Marekani kwenda kutoa maelezo juu ya kuongezeka chuki dhidi ya Uyahudi
Kwenye vyuo walivyokuwa wanaviongoza.

Kwa hiyo mtu yoyote akienda kinyume na wayahudi basi huyo hafai kwa mujibu wa marekani si ndio
 
Yaani tokea hawa wamama wawapige spana mazayuni kua wanaua watu wasio na hatia haya niliyategeme

Hawa watu hawajakopi lolote lile ila kusema ukweli dhidi ya mazayuni ndio imekua tatizo kwao

Mazayuni ni washenzi sana ukweli utasemwa mpaka kiama

Hitler alikosea sana kutubakishia hili tatizo sugu la kansa ya dunia
 
God yupi wa kuibariki Israel, (yesu) au? Maana kama ni mungu yesu hawezi kuwabariki hao waisrael kwa maana hao ndio waliompa kisago na kumtundika pale msalabani na kichupi na mpaka wa leo hii hawamtambui na hawamkubali, sasa hata kama wewe ndo mungu yesu kuweza kweli?? ,,, yani wakudunde alafu ubawariki..
[emoji1787][emoji1787]
 
Screenshot_2024-01-02-22-34-23-858_com.instagram.android.jpg

Rais wa Chuo Kikuu cha Harvard, Claudine Gay amejiuzulu nafasi yake kutoka na kashfa ya uwepo wa Wizi wa Mitihani chuoni hapo pamoja na ubaguzi dhidi ya Wanafunzi wa Kiyahudi.

Harvard President Claudine Gay announced Tuesday she is stepping down amid a firestorm of controversy at the university.

“It is with a heavy heart but a deep love for Harvard that I write to share that I will be stepping down as president,” Gay wrote in a letter to the Harvard community. “After consultation with members of the Corporation, it has become clear that it is in the best interests of Harvard for me to resign so that our community can navigate this moment of extraordinary challenge with a focus on the institution rather than any individual.”

Gay did not say when she plans to formally step down but she described the decision as “difficult beyond words.”

“Amidst all of this, it has been distressing to have doubt cast on my commitments to confronting hate and to upholding scholarly rigor — two bedrock values that are fundamental to who I am — and frightening to be subjected to personal attacks and threats fueled by racial animus,” Gay wrote.

She is resigning just six months into her presidency. The first Black president in Harvard’s nearly 400-year history and the second woman, Gay acknowledged how short her tenure was.

“When my brief presidency is remembered, I hope it will be seen as a moment of reawakening to the importance of striving to find our common humanity — and of not allowing rancor and vituperation to undermine the vital process of education,” Gay said.

Harvard University President Claudine Gay watches a video being played during a House Education and The Workforce Committee hearing titled "Holding Campus Leaders Accountable and Confronting Antisemitism" on Capitol Hill in Washington, U.S., December 5, 2023.

She was undone in part by her responses at a congressional hearing last month, as well as an ongoing plagiarism scandal.

At the House hearing, Gay was criticized for a lack of direct answer about policies and procedures to combat bullying and harassment of Jewish students.

Alan M. Garber, who currently serves as provost and chief academic officer at Harvard, will step in as interim president until the school finds a new leader, the Harvard Corporation announced in a letter on Tuesday.

The Corporation said the search for a new president would “begin in due course,” but did not specify an exact timeline.

Gay said in her letter she would return to a faculty position “and to the scholarship and teaching that are the lifeblood of what we do.”

A spokesperson did not imm
 
Back
Top Bottom