Rais wa Harvard University ajiuzulu kutokana na Plagiarism iliyobainika kwenye machapisho yake

Rais wa Harvard University ajiuzulu kutokana na Plagiarism iliyobainika kwenye machapisho yake

Hii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism].

Haya yote yalijitokeza baada ya yeye Bi. Gay na marais wengine wawili wa vyuo vya Ivy League walipoitwa mbele ya kamati ya bunge la Marekani kwenda kutoa maelezo juu ya kuongezeka chuki dhidi ya Uyahudi
Kwenye vyuo walivyokuwa wanaviongoza.

Hapa waziri mkuu alituambia raisi ni mzima na anachapa kazi, je huyu unahisi angefaa awe wapi leo hii
 
Ni ubaguzi tu.

Kwani hawakujua siku zote hizo kwamba mama amechukua machapisho ya wengine na kuyafanya yake?

Kwa iwe leo?
Kama walijua na wakalifumbia macho, hicho ndo kibaya zaidi maana hakuna chuo kinachovumilia wizi wa maandiko ya watu.
 
Holocaust uongo nishawahi pata taarifa zake
Ila tunaenda na tone waliotumezesha wao ingawaje ukweli tushaujua
Hakukua na zayuni hata mmoja alioguswa
Holocaust nisawa sawa na six day war tu ya Gaynation
Holocaust siyo uongo, ni kisa cha matukio ya kweli kabisa. Survivors wa tukio hilo wengi bado wako hai mpaka leo hii, bado Wana kumbukumbu nzuri tu juu ya mkasa huo.
 
Mpumbavu sana huyo dada. Mwenzake alipoambiwa Digrii yake feki,aliyesema hivyo kuwa kuna "Plagiarism" imefanyika alitolewa roho. Yeye anajiuzulu!!!
 
Holocaust siyo uongo, ni kisa cha matukio ya kweli kabisa. Survivors wa tukio hilo wengi bado wako hai mpaka leo hii, bado Wana kumbukumbu nzuri tu juu ya mkasa huo.
Kwani c walipangwa hakuna ukweli wowote
Ndio maana United Shits Of Americant wanatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha watu
Ukiwa ndani ya United Shits Of Americant ukipinga Holocaust unaweza kufia jela
 
Hii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism].

Haya yote yalijitokeza baada ya yeye Bi. Gay na marais wengine wawili wa vyuo vya Ivy League walipoitwa mbele ya kamati ya bunge la Marekani kwenda kutoa maelezo juu ya kuongezeka chuki dhidi ya Uyahudi
Kwenye vyuo walivyokuwa wanaviongoza.

Plagiarism na kufoji data kwenye elimu ya juu ni tatizo kubwa sana kuliko watu wengi wanavyofikiri.

Huyu mama mimi nilikuwa namuhesabia siku tu.
 
Propaganda tokea awapige spana mazayuni ndio mme yajua haya

"Mmeyajua haya" mimi na nani?

Kiranga is a singularity. I am not single, I am a singularity.

Two things can be true at the same time.

Hoja ni plagiarism, ambayo kashindwa kuipangua. Mpaka kajiuzulu.

Hayo ya Mazayuni ni hoja nyingine. Inawezekana hakukosea.

Lakini, kama kafanya plagiarism kweli, hilo haliondoi ukweli kwamba kafanya plagiarism. Regardless ya habari za Uzayuni zikoje.

Na mimi hao Mazayuni wala sipo nao, naona matatizo yao. Kuanzia false entitlement yao kwamba wao ni taifa teule la Mungu ambaye mimi siamini kwamba yupo, mpaka occupation ya sehemu ya watu na kuifanya yao. I do not support any of that.

Lakini pia naona matatizo ya plagiarism katika academia.

Naruhusiwa kupinga Uzayuni na plagiarism kwa wakati mmoja?

Au natakiwa nichague kati ya Uzayuni na plagiarism ni support kimoja na kupinga kingine in a stupidly narrow minded clubbish squabble?

How is this a mutual exclusive choice?

Kwa nini unaona kama nikipinga plagiarism nina support Uzayuni? Wakati mimi si support Uzayuni wala plagiarism?
 
Plagiarism na kufoji data kwenye elimu ya juu ni tatizo kubwa sana kuliko watu wengi wanavyofikiri.

Huyu mama mimi nilikuwa namuhesabia siku tu.
Halafu inadaiwa ka plagiarize kwenye maandiko yake mengi tu.

Academic integrity ni kitu cha muhimu sana. Huwezi ukawa na kiongozi wa taasisi inayoweka kapaumbele kwenye academic integrity halafu kiongozi wake ana tuhuma nyingi za plagiarism.

Kufanya hivyo unakosa credibility ya ku enforce hiyo policy.
 
Ex GF wangu (Spellman babee) alikuwa anaandika Ph.D thesis. Nilimsaidia mambo mengi sana kumpa ideas.

Mama yake alikuwa anafanya helicopter parenting (kwao wana hela kitambo, mabaki ya matawi ya kina MLK). Yule mama alikuwa tayari kumlipa mtu amuandikie binti yake paper. I can see a lot of parents and children doing that/plagiarism/fudging data.

Just to get a rep.
 
Moderators kwa nini mmebadilisha kichwa cha mada?

Plagiarism siyo wizi wa mitihani bana.

Mnakoseaga sana mnapobadilisha kichwa cha mada bila kumhusisha mwanzisha mada.

Kichwa chenu cha mada mlichokiweka kinapotosha.
 
Ex GF wangu (Spellman babee) alikuwa anaandika Ph.D paper. Nilimsaidia mambo mengi sana kumpa ideas.

Mama yake alikuwa anafanya helicopter parenting (kwao wana hela kitambo). Yule mama alikuwa tayari kumlipa mtu amuandikie binti yake paper. I can see a lot of parents doing that/plagiarism/fudging data.

Just to get a rep.
Ndo maana wakati mwingine unaweza kuona mtu ana PhD., ila akifungua mdomo kuongea unaanza kujiuliza kama kweli mtu huyo ana PhD [read: Magufuli 😀].

Dizaini ya watu hawa tunao wengi sana Tanzania.

Tena hawa PhDs wetu wa siku hizi ndo bure kabisa.

Wale wa zamani, wana afadhali sana na PhDs zao si rahisi kuzihoji/ kuzitilia shaka.

Ila hawa akina Dkt. Kitila Mkumbo…..hmm….
 
Moderators kwa nini mmebadilisha kichwa cha mada?

Plagiarism siyo wizi wa mitihani bana.

Mnakoseaga sana mnapobadilisha kichwa cha mada bila kumhusisha mwanzisha mada.

Kichwa chenu cha mada mlichokiweka kinapotosha.
Pg test ni kipimo tu ila ikizidi sana ni tatizo
 
Back
Top Bottom