grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
TIs just a matter of time she will eventually pull that card 😂😂Good riddance to bad rubbish.
Sitoshangaa akianza kulaumu ubaguzi wa rangi….the lowest hanging fruit in America for many black people.
Ni kweli, ukifanya uchunguzi wa kina wengi watafutiwa ithibati za utaalamu wao kwa kesi za Plagiarism.Hata hapa kwetu wengi wameiba
Hapa waziri mkuu alituambia raisi ni mzima na anachapa kazi, je huyu unahisi angefaa awe wapi leo hiiHii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism].
Haya yote yalijitokeza baada ya yeye Bi. Gay na marais wengine wawili wa vyuo vya Ivy League walipoitwa mbele ya kamati ya bunge la Marekani kwenda kutoa maelezo juu ya kuongezeka chuki dhidi ya Uyahudi
Kwenye vyuo walivyokuwa wanaviongoza.
Harvard President Gay resigns after rocky testimony, plagiarism allegations
Harvard President Claudine Gay said she would resign from her position on Tuesday, ending a six-month tenure marred by allegations of plagiarism and backlash over her congressional testimony about antisemitism on campus. Gay had come under pressure to resign from Harvard's Jewish community and...www.yahoo.com
Kwahio hio plagiarism haijaonekana miaka yote mpaka alipoulaani utawala haramu wa kizayuni wa israhell???Ni kweli, ukifanya uchunguzi wa kina wengi watafutiwa ithibati za utaalamu wao kwa kesi za Plagiarism.
Kama walijua na wakalifumbia macho, hicho ndo kibaya zaidi maana hakuna chuo kinachovumilia wizi wa maandiko ya watu.Ni ubaguzi tu.
Kwani hawakujua siku zote hizo kwamba mama amechukua machapisho ya wengine na kuyafanya yake?
Kwa iwe leo?
Holocaust siyo uongo, ni kisa cha matukio ya kweli kabisa. Survivors wa tukio hilo wengi bado wako hai mpaka leo hii, bado Wana kumbukumbu nzuri tu juu ya mkasa huo.Holocaust uongo nishawahi pata taarifa zake
Ila tunaenda na tone waliotumezesha wao ingawaje ukweli tushaujua
Hakukua na zayuni hata mmoja alioguswa
Holocaust nisawa sawa na six day war tu ya Gaynation
Kwani c walipangwa hakuna ukweli wowoteHolocaust siyo uongo, ni kisa cha matukio ya kweli kabisa. Survivors wa tukio hilo wengi bado wako hai mpaka leo hii, bado Wana kumbukumbu nzuri tu juu ya mkasa huo.
Plagiarism na kufoji data kwenye elimu ya juu ni tatizo kubwa sana kuliko watu wengi wanavyofikiri.Hii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism].
Haya yote yalijitokeza baada ya yeye Bi. Gay na marais wengine wawili wa vyuo vya Ivy League walipoitwa mbele ya kamati ya bunge la Marekani kwenda kutoa maelezo juu ya kuongezeka chuki dhidi ya Uyahudi
Kwenye vyuo walivyokuwa wanaviongoza.
Harvard President Gay resigns after rocky testimony, plagiarism allegations
Harvard President Claudine Gay said she would resign from her position on Tuesday, ending a six-month tenure marred by allegations of plagiarism and backlash over her congressional testimony about antisemitism on campus. Gay had come under pressure to resign from Harvard's Jewish community and...www.yahoo.com
Propaganda tokea awapige spana mazayuni ndio mme yajua hayaPlagiarism na kufoji data kwenye elimu ya juu ni tatizo kubwa sana kuliko watu wengi wanavyofikiri.
Huyu mama mimi nilikuwa namuhesabia siku tu.
Propaganda tokea awapige spana mazayuni ndio mme yajua haya
Halafu inadaiwa ka plagiarize kwenye maandiko yake mengi tu.Plagiarism na kufoji data kwenye elimu ya juu ni tatizo kubwa sana kuliko watu wengi wanavyofikiri.
Huyu mama mimi nilikuwa namuhesabia siku tu.
Ex GF wangu (Spellman babee) alikuwa anaandika Ph.D thesis. Nilimsaidia mambo mengi sana kumpa ideas.Halafu inadaiwa ka plagiarize kwenye maandiko yake mengi tu.
Academic integrity ni kitu cha muhimu sana. Huwezi ukawa na kiongozi wa taasisi inayoweka kapaumbele kwenye academic integrity halafu kiongozi wake ana tuhuma nyingi za plagiarism.
Kufanya hivyo unakosa credibility ya ku enforce hiyo policy.
Ndiyo hivyo mkuu.Kwa hiyo mtu yoyote akienda kinyume na wayahudi basi huyo hafai kwa mujibu wa marekani si ndio
Ndo maana wakati mwingine unaweza kuona mtu ana PhD., ila akifungua mdomo kuongea unaanza kujiuliza kama kweli mtu huyo ana PhD [read: Magufuli 😀].Ex GF wangu (Spellman babee) alikuwa anaandika Ph.D paper. Nilimsaidia mambo mengi sana kumpa ideas.
Mama yake alikuwa anafanya helicopter parenting (kwao wana hela kitambo). Yule mama alikuwa tayari kumlipa mtu amuandikie binti yake paper. I can see a lot of parents doing that/plagiarism/fudging data.
Just to get a rep.
Pg test ni kipimo tu ila ikizidi sana ni tatizoModerators kwa nini mmebadilisha kichwa cha mada?
Plagiarism siyo wizi wa mitihani bana.
Mnakoseaga sana mnapobadilisha kichwa cha mada bila kumhusisha mwanzisha mada.
Kichwa chenu cha mada mlichokiweka kinapotosha.