Bwana Utam JF-Expert Member Joined Feb 15, 2016 Posts 19,559 Reaction score 36,514 Jan 6, 2024 #81 econonist said: Mtu akiiba kazi za taaluma asichukuliwe hatua? Click to expand... Siku zote hizo hawakujua kama kaiba mpaka alipowakaanga wazayuni
econonist said: Mtu akiiba kazi za taaluma asichukuliwe hatua? Click to expand... Siku zote hizo hawakujua kama kaiba mpaka alipowakaanga wazayuni
BICHWA KOMWE - JF-Expert Member Joined Jul 21, 2022 Posts 6,373 Reaction score 16,073 Jan 6, 2024 #82 Nyani Ngabu said: Sana tu. Ila nani anayejali Tanzania hii? Click to expand... Hivi Samia ana andiko lolote la PhD?
Nyani Ngabu said: Sana tu. Ila nani anayejali Tanzania hii? Click to expand... Hivi Samia ana andiko lolote la PhD?
Puna JF-Expert Member Joined Oct 9, 2013 Posts 2,551 Reaction score 4,454 Jan 7, 2024 #83 Mpaji Mungu said: Mambele plagiarism ni issue sensitive sana Click to expand... Sio issues!Hapo tatizo ni Chuki dhidi ya Wayahudi kuongezeka kwenye hicho chuo.Wakaamua kumbana kwenye Plagiarism,isingekuwa Chuki kuongezeka Harvard dhidi ya Wayahudi wangechuna kama walivyochuna Hapo awali.
Mpaji Mungu said: Mambele plagiarism ni issue sensitive sana Click to expand... Sio issues!Hapo tatizo ni Chuki dhidi ya Wayahudi kuongezeka kwenye hicho chuo.Wakaamua kumbana kwenye Plagiarism,isingekuwa Chuki kuongezeka Harvard dhidi ya Wayahudi wangechuna kama walivyochuna Hapo awali.